Kuwa na afya bora sio chaguo maalum la kuwa waziri-waziri chami

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Nasikiliza itv watakuwa na kipindi jumatatu wakihojiaana na waziri wa viwanda na biashara mh chami..kwenye marudio..katika maelezo yake anaeleza mbinu zinazofanya serikali ya kikwete kuimarika kwenye sekta hi na alipoulizwa swala la afya yake alikua kama mbogo akasema

"""nanukuu!!!!!""mi nashangaa ati waziri chami afya yake mbovu awezi kuendelea na uwaziiri kwa afya yake nani kawaambia afya bora ndio chaguo la kuwa waziri..waziri ni pale unapoweza kutimiza majukumu ya kumsaidia rais na ndio maana makelele yao wengi hata rahisi anayapuuzaaa naomba watanzania mjue hilo..ammjui dk wangu amjui afya yangu mtu anaamka na kuropoka tu oooh chami anaumwa hiki anaumwa kile

kazi kweli kweli tusishangae wanaendelea kuumwa wakafia kwenye viti sijui wakitoka marupurupu yao awapati ama...bianfsi ni kweli anachosema ila nahisi ukifika swala la ufanisi mwenye afya bora anaitajika zaidi
 
Back
Top Bottom