Mbu! Kwema nyumbani kwako? Yaani nauliza mkuu uko salama au kuna mtu kang'ang'ania nonino yako mdomoni?
Mbu bwana..umefikiria nini mwaego?? Sijawahi patwa na hili, Mungu epushia mbali..
Umepotea btw...!!
Hahahahaa, Soulmate hebu itabidi tutete kidogo, kulikoni??
Hapa mtu mzima lazima itakutoka ukunga wa ............We achiaaaaaaa!!
Mbaya zaidi uwe umeiba hahaha
Hivi na wakaka nao wanawezashikwa dege dege wakiwa uwanja wa mechi au? loh sipati picha maana itakuwa ni aina mpya ya ukeketaji!