Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,110
Mkuu hata km ni LED. Wati 3 unapata mwanga (lumens) hafifu sn. Wati 3 ya LED ni chini ya wati 30 ya zile balbu za kibuyu (incandescent).Zipo fine ni LED. Zipo mjini kwenye maduka ya vifaa vya umeme. Ukisoma review yake mitandaoni, iko poa
Labda km unatumia kulalia ila sio za kufanyia kazi utaumia macho. Wati 3 ni km unatumia kibatari kilichonyanyuliwa utambi