Jiko Bomba Ni Jiko Lililotengenezwa Kutumia Unit Moja Tu Ya Umeme Mwezi Mzima

Sharo empress

Member
Jul 29, 2022
13
45
Utateseka kuuziwa majiko ambayo hayadumu mpaka lini? Hamia Jiko Bomba Leo....

Sifa za majiko yetu

1. Yame tengenezwa kwa chuma kizito, ni imara na yana dumu sana...

2. Unaweza kutumia mkaa, chenga za mkaa, Rafiki coal Briquettes, kuni, kokoto, vifuu vya nazi, magunzi ya mahindi...

3. Jiko linawaka kwa moto mkali kushinda gas, endapo utatumia kwa kiwango cha juu cha uwakaji wa jiko..

4. Unaweza kuunganisha na sola, inatumia 12v

5. Lina sehemu ya charge ambayo ni very quality modified

6. Unaweza kuunganisha na umeme, ambapo litatumia unit moja mwezi mzima...

7. Lina regulator system, ya kuongeza na kupunguza moto..

8. Lina full oxygen air supply ambayo inafanya kuwa tofauti na majiko ya kawaida

9. Yapo yale ya kuhamishika ( movable) na la kujengea

10. Kuna size aina zote za masufuria

11. Kuna rangi aina zote kulingana na uhitaji wa mteja..

Bei za majiko yetu

  • Elfu 65
  • Elfu 85
  • 120,000
  • 165,000
Nakuendelea

Tunapatikana Dar-es-salaam, Ndani Ya Ofisi Za Tirdo hapa msasani Unashuka kituo kinaitwa macho...

Mawasiliano:

Whatsapp: 0687131494

Normal call: 0626752501
 
Hapo gharama mara mbili. Gharama za hiyo unit moja na gharama ya source of energy ie hizo fire wood, charcoal n.k.

Tuambie ukweli hilo jiko muewekea fan kama source ya kusupport moto ukolee kwa kasi which inaongeza uishaji haraka wa mkaa, kuni au makaa ya mawe.
 
Hapo gharama mara mbili. Gharama za hiyo unit moja na gharama ya source of energy ie hizo fire wood, charcoal n.k.

Tuambie ukweli hilo jiko muewekea fan kama source ya kusupport moto ukolee kwa kasi which inaongeza uishaji haraka wa mkaa, kuni au makaa ya mawe.
Nayajua hayo majikoUzuri ni ukali wa moto wake. Moto wake ujifungulia Hadi mwisho unaweza kuyeyusha sufuria jepesi
 
Hiyo namba sita inatakiwa uifafanue sababu ukituambia ukiunganisha unit moja kwa mwezi je inatakiwa utuelezee ni kwa matumizi ya namna gani?
 
Hiyo unit moja mwezi mzima kwa kazi gani? Au ni la kutotolesha mayai?
Kwenye Mitandao ya kijamii Unaweza Kutupata kwa Jina La " Jiko Bomba"...

Kwasasa Tunafanya kazi Chini ya Serikali, Na Hakuna Risk yoyote utakayoipata Ukifanya Biashara nasisi...

Kama nilivoandika hapo Jiko ni la mkaa ila Unaweza Kuunganisha na umeme ambapo linatumia Unit moja ya Umeme mwezi mzima...
Hujaweka picha za
 
Jiko ni la kutumia mkaa, Ila Ukipenda kuliunganisha na umeme Umeme unaoenda kutumika ni mdogo sana sawa na ule wa kucharge simu.....

Ndio maana nimeandika Unit moja ya umeme, Ila Jiko unaweza kulitumia pia bila ya kuliunganisha kwenye umeme
Hiyo namba sita inatakiwa uifafanue sababu ukituambia ukiunganisha unit moja kwa mwezi je inatakiwa utuelezee ni kwa matumizi ya namna gani?
 
Back
Top Bottom