Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,774
kwangu kuna taa14 friji moja na pasi moja, na haviwezi kuwaka muda wote walininyima hiyo tarif na natumia umeme wa 40,000/- kila mwezi!!!Ndugu mm nipo kwenye tariff hiyo tokea mwaka 2013, na kwangu tuko wawili ila sometime napata wageni, 3 bedrooms taa ziko 15 ila haziwaki kwa wakati mmoja, fridge, tv mbili, water pump, rice cooker na pasi, na sijawahi kuvuka unit 70 kwa mwezi gharama ya umeme in 6000 na maji unit 5 shillingi 8000 na sijafanya makeke yeyote Yale!
hakuna uwiano kabisa!!
vigezo vyao haviko sawa