Kutoka Zanzibar, CHADEMA yaanza kazi rasmi

nimesomweshwa na serikali ya.ccm mpaka masters level kwa nini nisifanye kazi nje ya nchi nyie endeleeni kulalama jf wenzenu tunasonga mbele

Basi hujaelimika! Yaani una masters lakini hujui vitu basic? Au ni masters ya Atlantic university?
 
ikiwezekana hata kwenye urais wakati ujao msimamisheni muislam kazi ya kutoa elimu kwa waislam na kufuta hilo doa itakua rahisi sana,tatizo la chadema ukaidi!

walewale na akili zako zilizobaki stagnant yaani CHADEMA wafanye kazi kwa kuwaridhisha waislamu? hakuna kitu kama hicho mwenye sifa na uwezo ndie atakaye pewa nafasi.....
 
I am not suprised sababu Zanzibar kwa sasa hakuna chama cha upinzani hivyo wanaiona CHADEMA kma a new hope
 
Back
Top Bottom