Angekuwa anajiheshimu asingefanya hayo anayoyafanyaUjue huyu mama ni mtu anae jiheshimu sana mi hata nashindwa kujua imekuwaje kuwaje. Ujue ni ngumu sana kum-face mtu na kumwambia mkeo anakucheat
Eti unasema anajiheshimu ... unaongeza sana? (hapo kwenye rangi) kama angekuwa anajiheshimu asingelifikia hapo ... nimekushtukia niwewe mwenyewe unakula huo mzigo! unazuga watu acha hizo bwana..............
Sasa nikitoka nae mamito si atajua, mie hata sipo kwenye chain yao
Sema hii ni social network unless otherwise ninge weka mpaka na majina yao. Kwa kifupi wanakaa kinyerezi
Ujue huyu mama ni mtu anae jiheshimu sana mi hata nashindwa kujua imekuwaje kuwaje. Ujue ni ngumu sana kum-face mtu na kumwambia mkeo anakucheat

Kwa tabia yake anayoionesha,haistahili heshima yoyote!Ujue huyu mama ni mtu anae jiheshimu sana mi hata nashindwa kujua imekuwaje kuwaje. Ujue ni ngumu sana kum-face mtu na kumwambia mkeo anakucheat
jamani mambo mengine ya ni Kumwomba Mungu aepushie jamii, huwezi jua ni kwa nini anafanya hivo nyumba zina mambo sana na hayo ya kutaja majina yao hayakuhusu Mwombe Mungu akuongoze katika mahusiano huwezi kusema umefika hutateleza wewe,