kutoka nje ya ndoa

Mwambie amuache huyo mama...yaani wamekaa muda wote wa miaka ishirini na mama analalamika kwamba hapati raha.Yeye avumilie ndi uzuri na ubaya wa ndoa.Vingineyo utamkuta rafiki yako ndani ya "futi sita" siku moja.
 
niwatam kweli wamama wanaojitoa kwa roho moja,

ila siku ya kukamatwa ndo inakuwa shughuli
 
msela atakuwa kanogewa na penzi la jimama na zaidi atakuwa anapewa za matumiz so n ngumu kumshawishi aache labda km wasemavyo wadau act umbeya yan ukawaambie wazazi wa jamaa yako labda wakimsema atasikia la sivyo mwambie jamaa ajiandae kuliwa mana "MLA VYA WATU NAYE HULIWA"
 
Ujue huyu mama ni mtu anae jiheshimu sana mi hata nashindwa kujua imekuwaje kuwaje. Ujue ni ngumu sana kum-face mtu na kumwambia mkeo anakucheat
Angekuwa anajiheshimu asingefanya hayo anayoyafanya
 
Eti unasema anajiheshimu ... unaongeza sana? (hapo kwenye rangi) kama angekuwa anajiheshimu asingelifikia hapo ... nimekushtukia niwewe mwenyewe unakula huo mzigo! unazuga watu acha hizo bwana..............

Sasa nikitoka nae mamito si atajua, mie hata sipo kwenye chain yao
 
wewe hayo mambo nakushauri uyaache kama yalivyo usije kuundiwa zengwe wewe
 
Ujue huyu mama ni mtu anae jiheshimu sana mi hata nashindwa kujua imekuwaje kuwaje. Ujue ni ngumu sana kum-face mtu na kumwambia mkeo anakucheat

anajiheshimu vip wakati unasema anatoka nje ya ndoa, yote tisa waache waenjoy maana hata mume wake atakuwa na kabinti kanakomfurahisha, kisa mama mnakuja juu kwani yeye hana haki ya kupata raha kama wababa wanazopata kwa vibinti, kama umekosa kazi ya kufanya nenda kamwambie huyo baba.
 
Sema hii ni social network unless otherwise ninge weka mpaka na majina yao. Kwa kifupi wanakaa kinyerezi

jamani mambo mengine ya ni Kumwomba Mungu aepushie jamii, huwezi jua ni kwa nini anafanya hivo nyumba zina mambo sana na hayo ya kutaja majina yao hayakuhusu Mwombe Mungu akuongoze katika mahusiano huwezi kusema umefika hutateleza wewe,
 
Ujue huyu mama ni mtu anae jiheshimu sana mi hata nashindwa kujua imekuwaje kuwaje. Ujue ni ngumu sana kum-face mtu na kumwambia mkeo anakucheat

sio ngumu kumface mtu ili kumwambia kama mkewe anamcheat kama unao ushahidi
tatizo kama na huyo jamaa ancheat atatake easy na kukugeuzia kibao wewe
 
Ndoa ya miaka zaidi ya 20. Mama inawezekana yupo kati ya 45-50 hivi, mzee atakuwa tayari kesha jichokea, hana uwezo wala muda wa kutupia kila siku, concentration yake kwenye maisha tu. Hayo ndiyo matatizo ya kupishana sana umri.
 
Ujue huyu mama ni mtu anae jiheshimu sana mi hata nashindwa kujua imekuwaje kuwaje. Ujue ni ngumu sana kum-face mtu na kumwambia mkeo anakucheat
Kwa tabia yake anayoionesha,haistahili heshima yoyote!
 
Umeona eeh...

Haya mambo ya nyumba za watu ni magumu; haikawii wakawa wamekubaliana na mumewe kuwa wife atafute wa kumridhisha kwingine.

Kuna watu waume zao jogoo hapandi mtungi kabisa sababu ya maradhi (hasa kisukari)...wengine wanaamu kulinda viapo vyao na kutulia ...wengine hawawezi ndio maana wanafanya wafanyayo.

Unaweza kwenda kusema kikakushuka...

jamani mambo mengine ya ni Kumwomba Mungu aepushie jamii, huwezi jua ni kwa nini anafanya hivo nyumba zina mambo sana na hayo ya kutaja majina yao hayakuhusu Mwombe Mungu akuongoze katika mahusiano huwezi kusema umefika hutateleza wewe,
 
Mshauri rafiki yako awe analia huo mzigo mbali, kama ni kinyerezi awe anaulia mzigo Texas(tegeta),kigamboni, au kwa wachoma makanisa(mbagala) .........
 
Back
Top Bottom