Kutoka Morogoro: Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

malofa, vibaka, wapumbavu, oil chafu, na makapi wote leo wapo morogoro leo. UKAWA juuuuu!
 
Ndugu zangu wapendwa wa TANZANIA,kwa hekima na taadhima,naomba tuangalie ahadi alizoahidi Dr.Jakaya Mrisho Kikwete mwaka 2010 - 2015,..Je alitekeleza? Na pia tuangalie ahadi anazotoa John Pombe Magufuli wa CCM ile ile katika kuusaka URAIS wa TANZANIA!! Ahadi za JK kwenye kampeni za kusaka Urais 2010 ni.....
1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa-Nzega, Tabora (HAJATEKELEZA)
2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda- Tanga mjini (HAJATEKELEZA)
3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria- Igunga (HAJATEKELEZA)
4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU)- Shinyanga (HAJATEKELEZA)
5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini- Dodoma (HAJATEKELEZA)
6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono-Dodoma mjini (HAJATEKELEZA)
7. Kuwapatia trekta wakulima -Kata ya Mrijo, Dodoma (HAJATEKELEZA)
8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi-Kagera (HAJATEKELEZA)
9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi- Kagera (HAJATEKELEZA)
10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba- Bukoba Mjini (HAJATEKELEZA)
11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini (HAJATEKELEZA)
12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda- Kagera (HAJATEKELEZA)
13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme- Kagera (HAJATEKELEZA)
14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu- Kagera (HAINA MENO)
15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino- Mbeya (MAUAJI YANAENDELEA)
16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba- Kagera (HAJATEKELEZA NA ZILIZOPO MBOVU HAZIFAI)
17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali (HAJATEKELEZA)
18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika- Mwanza (HAJATEKELEZA)
19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu-Mwanza (HAJATEKELEZA)
20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani- Geita
21. Kulinda muungano kwa nguvu zote- Pemba (KERO HAZIJATATULIWA)
22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa-Morogoro (HAJATEKELEZA)
23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa- Mbeya mjini (HAJATEKELEZA)
24. Kujenga bandari Kasanga –Rukwa (HAJATEKELEZA)
25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea (HAJATEKELEZA NA WALIMU WAMEPUUZWA WANAULIZA -SHEMEJI UNATUACHAJE?)
26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira -Mbeya (HAJATEKELEZA)
27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama- Tanga (HAJATEKELEZA)
28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini- Iringa (HAJATEKELEZA)
29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani –Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam- Same mkoani Kilimanjaro (HAJATEKELEZA)
30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same-Same Mjini (HAJATEKELEZA)
31. Kuboresha barabara za Igunga -Tabora (HAJATEKELEZA)
32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu- Kisesa Magu (AMETEKELEZA)
33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya- Mbeya Mjini (HAJATEKELEZA)
34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN)- Hydom Manyara (HAJATEKELEZA)
35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa-Musoma (HAJATEKELEZA CCM NDIO CHANZO CHA CHOKOCHOKO)
36. Kulinda haki za walemavu- Makete (HAJATEKELEZA,WANATUMIKA KWENYE KAMPENI TU)
37. Kujenga baabara ya Njombe- Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109- Iringa mjini (HAJATEKELEZA)
38. Kujenga barabara Musoma–Mto wa Mbu Arusha-Arusha (HAJATEKELEZA)
39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini (HAJATEKELEZA)
40. Kujenga barabara ya lami Manyoni- Kigoma– Kaliua,Tabora (HAJATEKELEZA)
41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi- Arusha Mjini
42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa,mpaka Singida-Dodoma (HAJATEKELEZA)
43. Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009- Longido (HAJATEKELEZA)
44.Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria-Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga (HAJATEKELEZA)
45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini (HAJATEKELEZA NCHI IPO GIZANI)
46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo- Busekera, Wilaya ya Musoma, . (HAJATEKELEZA)
47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido- Longido (HAJATEKELEZA)
48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti – Ngorongoro (HAJATEKELEZA)
49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri- Mbulu mkoani Manyara (HAJATEKELEZA)
50. Kusambaza maji nchi nzima-Babati vijijini (HAJATEKELEZA)
51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015-Babati vijijini Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha.-Iringa (HAJATEKELEZA NA HALI NI MBAYA SANA)
52. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika- Iringa
53. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania- Iringa (HAJATEKELEZA)
54. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi-Ifunda (HAJATEKELEZA - CHOKOCHOKO ZA CCM ZINAHATARISHA AMANI)
55. kutokomeza malaria 2015-Bunda,mkoa wa Mara (HAJATEKELEZA)
56. kuwapa wanawake nafasi zaidi- Kilolo ,Iringa (ANGALAU)
57. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii-Kibandamaiti Mjini Zanzibar (HAJATEKELEZA)
58. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa- Kabandamaiti mjini Zanzibar (HAJATEKELEZA)
59. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada-Kibandamaiti (HAJATEKELEZA)
60. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay-Ruvuma (HAJATEKELEZA)
61. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400-Mbambabay Ruvuma (HAJATEKELEZA)
62. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga(MBICU) –Ruvuma (HAJATEKELEZA)
61. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania –Ruvuma (MISAADA YA VYANDARUA NA VYOO KWA MSAADA WA WATU WA MAREKANI)
62. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam (HAJATEKELEZA)
63. Mtwara kuwa mji wa Viwanda –Mtwara (HAJATEKELEZA)
64. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu-Kibaha (HAJATEKELEZA)
65. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa- Kibaha. (HAJATEKELEZA)
66.Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda -Kibaha (HAJATEKELEZA) N.K
CCM HAIAMINIKI TENA,WAKATI UMEFIKA CCM INAPASWA ITOLEWE KWA NJIA YA KURA MADARAKANI?..KWA NINI WASITEKELEZE AHADI HIZI KABLA YA KUAHIDI ZINGINE?....CHAGUA LOWASSA..CHAGUA UKAWA (CHADEMA/CUF/NLD/NCCR MAGEUZI)


Mkuu hii ni nzuri sana, tafadhari anzisha uzi wake wa hii kitu haraka sana.....!
 
attachment.php

Hujambo na karibu ktk Mkutano na Muendelezo wa kampeni za Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA Mh. Edward Ngoyai Lowassa.

Hali katika Mji huu ni utulivu wa kutosha huku hamasa ya wakaazi wengi vinywani mwao wakizungumzia ujio wa Lowassa kama Mkombozi wa kizazi hiki.

Nimezunguka baadhi ya maeneo na kujionea hali halisi ya mji huu ilivyo kwa sasa.


Nimegundua wakaazi wengi wa Mkoa huu ni wakulima jambo ambalo UKAWA itakuwa katika nafasi nzuri ya kuibuka na Ushindi hapo Oktoba 25.
Huu umati tafadhari sana RED BRIGADE hakikisheni usalama hasa ili kuepuka watu kukanyagana .
 
ndugu zangu wapendwa wa tanzania,kwa hekima na taadhima,naomba tuangalie ahadi alizoahidi dr.jakaya mrisho kikwete mwaka 2010 - 2015,..je alitekeleza? Na pia tuangalie ahadii anazotoa john pombe magufuli wa ccm ile ile katika kuusaka urais wa tanzania!! Ahadi za jk kwenye kampeni za kusaka urais 2010 ni.....
1. Kujenga reli mpya kutoka dar es salaam mpaka mikoa ya kanda ya ziwa-nzega, tabora (hajatekeleza)
2. Mkoa wa tanga kuwa jiji la viwanda- tanga mjini (hajatekeleza)
3. Tabora kutumia maji ya ziwa victoria- igunga (hajatekeleza)
4. Kulipa madeni ya chama cha ushirika mkoa wa shinyanga (shirecu)- shinyanga (hajatekeleza)
5. Kumaliza migogoro ya ardhi nchini- dodoma (hajatekeleza)
6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono-dodoma mjini (hajatekeleza)
7. Kuwapatia trekta wakulima -kata ya mrijo, dodoma (hajatekeleza)
8. Wananchi kutoondolewa kwenye ranchi ya misenyi-kagera (hajatekeleza)
9. Kujenga uwanja wa ndege misenyi- kagera (hajatekeleza)
10. Kupanua uwanja wa ndege bukoba- bukoba mjini (hajatekeleza)
11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa kigoma - kigoma mjini (hajatekeleza)
12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka uganda- kagera (hajatekeleza)
13. Mikoa ya kagera, kigoma, lindi, rukwa na ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme- kagera (hajatekeleza)
14. Kuimarisha takukuru kwa miaka mitatu- kagera (haina meno)
15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino- mbeya (mauaji yanaendelea)
16. Kununua meli kubwa kuliko mv bukoba- kagera (hajatekeleza na zilizopo mbovu hazifai)
17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali (hajatekeleza)
18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika- mwanza (hajatekeleza)
19. Kuimarisha usalama ziwa victoria na ziwa tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu-mwanza (hajatekeleza)
20. Wilaya ya geita kuwa hadhi ya mkoa januari mwakani- geita
21. Kulinda muungano kwa nguvu zote- pemba (kero hazijatatuliwa)
22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko kilosa-morogoro (hajatekeleza)
23. Kununua meli mpya kubwa ziwa nyasa- mbeya mjini (hajatekeleza)
24. Kujenga bandari kasanga –rukwa (hajatekeleza)
25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - songea (hajatekeleza na walimu wamepuuzwa wanauliza -shemeji unatuachaje?)
26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe kiwira -mbeya (hajatekeleza)
27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha pangani kuzama- tanga (hajatekeleza)
28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini- iringa (hajatekeleza)
29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka same mpaka kisiwani –kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya moshi - dar es salaam- same mkoani kilimanjaro (hajatekeleza)
30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya same-same mjini (hajatekeleza)
31. Kuboresha barabara za igunga -tabora (hajatekeleza)
32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu- kisesa magu (ametekeleza)
33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya- mbeya mjini (hajatekeleza)
34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo hospitali ya taifa ya muhimbili (mhn)- hydom manyara (hajatekeleza)
35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa-musoma (hajatekeleza ccm ndio chanzo cha chokochoko)
36. Kulinda haki za walemavu- makete (hajatekeleza,wanatumika kwenye kampeni tu)
37. Kujenga baabara ya njombe- makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109- iringa mjini (hajatekeleza)
38. Kujenga barabara musoma–mto wa mbu arusha-arusha (hajatekeleza)
39. Kuanzisha jimbo la ulyankulu- shinyanga mjini (hajatekeleza)
40. Kujenga barabara ya lami manyoni- kigoma– kaliua,tabora (hajatekeleza)
41. Kukarabati barabara ya arusha moshi- arusha mjini
42. Kuboresha barabara ya handeni, kondoa,mpaka singida-dodoma (hajatekeleza)
43. Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009- longido (hajatekeleza)
44.vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa ziwa victoria-shinyanga-kahama kuunganishiwa maji - shinyanga (hajatekeleza)
45. Tatizo la umeme kufikia kikomo novemba mwaka huu mkoani arusha – arusha mjini (hajatekeleza nchi ipo gizani)
46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo- busekera, wilaya ya musoma, . (hajatekeleza)
47. Kuwapatia maji wakazi wa wilaya ya longido- longido (hajatekeleza)
48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa hifadhi ya taifa ya serengeti – ngorongoro (hajatekeleza)
49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri- mbulu mkoani manyara (hajatekeleza)
50. Kusambaza maji nchi nzima-babati vijijini (hajatekeleza)
51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. Mwaka 2010-2015-babati vijijini kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha.-iringa (hajatekeleza na hali ni mbaya sana)
52. Kuhakikisha isimani inapata maji ya uhakika- iringa
53. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika hifadhi ya taifa ya ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote tanzania- iringa (hajatekeleza)
54. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi-ifunda (hajatekeleza - chokochoko za ccm zinahatarisha amani)
55. Kutokomeza malaria 2015-bunda,mkoa wa mara (hajatekeleza)
56. Kuwapa wanawake nafasi zaidi- kilolo ,iringa (angalau)
57. Ahadi kuisadia zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii-kibandamaiti mjini zanzibar (hajatekeleza)
58. Kuipandisha hadhi hospitali ya mnazi mmoja zanzibar kuwa ya rufaa- kabandamaiti mjini zanzibar (hajatekeleza)
59. Kuisaidia zanzibar kila panapohitajika msaada-kibandamaiti (hajatekeleza)
60. Serikali kujenga upya bandari ya mbambabay-ruvuma (hajatekeleza)
61. Ununuzi wa meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400-mbambabay ruvuma (hajatekeleza)
62. Kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa mbinga(mbicu) –ruvuma (hajatekeleza)
61. Ahadi rais wa marekani barack obama kuimwagia misaada tanzania –ruvuma (misaada ya vyandarua na vyoo kwa msaada wa watu wa marekani)
62. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-dar es salaam (hajatekeleza)
63. Mtwara kuwa mji wa viwanda –mtwara (hajatekeleza)
64. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu-kibaha (hajatekeleza)
65. Hospitali ya tumbi kuwa ya mkoa- kibaha. (hajatekeleza)
66.halmashauri ya manispaa ya kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda -kibaha (hajatekeleza) n.k
ccm haiaminiki tena,wakati umefika ccm inapaswa itolewe kwa njia ya kura madarakani?..kwa nini wasitekeleze ahadi hizi kabla ya kuahidi zingine?....chagua lowassa..chagua ukawa (chadema/cuf/nld/nccr mageuzi)
kilivite
 
Jaman huku Moro Leo ni vurugu sana hawa ukawa wamekodisha bodaboda kwenye vijiwe karibu vyote sasa ni vurugu barabarani tena ni kweli wako pombe inasikitisha saaana why wanafanya vurugu hivi kiukwel niwakorofi kuna baadh ya maduka yamefungwa kwa hofu ya kuibiwa na pia nimepata taarifa tayari kuna ajali zmetokea ntawajuza

ikikuingiaa ndo huwa unapiga kelele, tulia wasisikiee
 
Back
Top Bottom