Kilichotokea ni: swali la mjumbe lilielekezwa kwa nssf iliyowakilishwa hapa na ndugu mataka ambalo liliuliza hivi "bwana mataka tunaomba ufafanuzi juu ya mradi wa ujenzi wa udom kulingana na ushahidi nilio nao nikuwa ktk mradi huo kosatant alipewa mmoja tu na huyo mtu alibebwa kutokana na ushemeji wa mmoja wa wajumbe wa kamati ya miradi nani ya nssf!
Mradi wa ujenzi wa Benjamini mkapa tower upande wa umeme kandarasi CRJE alipewa afanye wakati yeye ni wa ujenzi na haikufuata utaratibu wa tenda?

Hizi habari hazina ukweli wowote ule. Unapotosha umma.

Ushahidi huo mbona uko vague?

CRJE sio ma consultant wa Mkapa tower bali consultant alikuwa ni Mhindi (Mtanzania) na si Mchina kama unavyosema
Yecco mbona unakuwa activist.Eng Mattaka metoa data kikamilifu juu ya swali alilouliza yule mkandarasi juu ya UDOM.Majibu ya Eng Mataka hayajawaridhisha makandarasi hivyo amesema anazo nyaraka atazileta kesho, imebidi aingilie kati mw/kiti wa crb kutuliza murkari ya mataka na muuliza swali baada ya kutokea mabishano ya kihoja na kiutaalamu!

Mimi naripoti kinachotokea hapa! Mimi si jaji wala shidi wa upande mmoja! Tumeambiwa kesho ushahidi wa kinyaraka wa nssf utakuja hivyo kuwa na subira!!!
Watu wanaandika wakifikiri wako peke yao hapa Mlimani City, na sisi tupo wajameni andikeni ukweli!!!!!!!!Hizi habari hazina ukweli wowote ule. Unapotosha umma.
Ushahidi huo mbona uko vague?
CRJE sio ma consultant wa Mkapa tower bali consultant alikuwa ni Mhindi (Mtanzania) na si Mchina kama unavyosema

Yecco mbona unakuwa activist.Eng Mattaka metoa data kikamilifu juu ya swali alilouliza yule mkandarasi juu ya UDOM.

Ndg Mataka data zote na maelezo amezitoa kichwani kama anavyofanya Magufuli.Imekuwa aibu kubwa kwa muuliza swali kwani alichokuiliza kilikuwa kimejaa majungu na chuki.

Inasikitisha sana kwa huyu jamaa kulifanya jopo la watu wenye akili yeye kumwaga upupu usio na idhibati.
Eng Magesa: mkandarasi yeyote atakae bainika kuuza bango/stika atafutwa mara moja!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/138291-crje-na-ufisadi-serikalini-2.html#post2369029
Tuhuma za rushwa NSSF na ma contractor ni nzito lakini najiuliza huko Dodoma kuna nini?