Kutoka Mlimani City: Mkutano wa Makandarasi Tanzania 2011!

Rais amefungua rasmi kutano wa siku tatu!
Amemaliza kwa kuwashukuru wajumbe!
 
Mshindi wa tatu Pendo Mdoe kutoka shule ya sekonda sumae morogoro!
 
Mshindi wa pili ni edito gwea kutoka malopa!
Mshindi wa kwanzi ni Joseph Shirima kutoka shule ya mawenzi moshi
 
wakuu wote mkutanoni,najua mtatenda haki kwa kuigusia MECCO! Hivi MECCO ilikufaje wataalamu wetu?
 
Naamu mkutano unaahirishwa kwa leo!

YECCO (T) LTD kampuni ya ukandarasi wa umeme inawashukuru wadau wote mliokuwa nasi tangu asubuhi mpaka jioni hii,
Tutajumuika nanyi kesho kuanzia saa mbili asubuhi!
Wasiliana nasi kwa 0715865544/0755865544, email yeccotltd@yahoo.com
 
Naaaam ndugu wazalendo tuungana tena katika mkutano wetu wa mwaka wa makandarasi!
Fuatana nasi kujua kila kinachoendelea hapa Mlimani City!
 
Leo siasa hakuna wala midundiko! Rasmi semina inaanza leo waelekezi wakuu wa semina hii ni wahandisi wazalendo wakishirikiana na wageni toka South Afrika,Kenya,Zimbabwe na Malawi!
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Eng magesa: kuanzia sasa class five mpaka one ni lazima uwe limited company!
 
Eng Magesa: mkandarasi yeyote atakae bainika kuuza bango/stika atafutwa mara moja!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom