Kutoka Makao Makuu CHADEMA: M/kiti Mbowe aahirisha maandamano ya UKUTA ya Oktoba Mosi

UKUTA LAZIMA UWEPO ILI KUINUSURU NCHI, SI MMESIKIA UYUO VIKUU KUFANYA MIJADALA NA MIDAHALO MPAKA KIBALI CHA POLOSI???
 
Mwezi uliopita nilifanikiwa kumshawishi bosi sijaenda job.. embu semeni kinachoeleweka niandae kizungu cha majonzi
hahahaha basi hiyo kazi itakuwa ni ya familia yenu,,,,,, tehehehe malaika wameshuka na kuisambaratisha Ukuta na sasa mbowe na lowasa wamekula mifuko ya cement....
 
UKUTA LAZIMA UWEPO ILI KUINUSURU NCHI, SI MMESIKIA UYUO VIKUU KUFANYA MIJADALA NA MIDAHALO MPAKA KIBALI CHA POLOSI???
UKUTA uliopangwa octoba mosi umeshafanyika Dernmark na Germany. Hivyo endeleeni kununua T- Shirt za Chama, na mkalipie kadi zenu za uanachama ili tupate tena mtaji wa kufanya ukuta Marekani, Malaysia, SADC na kwingineko.

Big UP MBoweeeeeeeeee na Lowassaaaaaaa Mpaka waje wajijue kuwa wao ni Mitaji itachukua miaka MIA
 
hahahahaha eti kwa tarehe maalum tajeni tarehe safari hii hakuna kuwasubiri muandamane ni kuwatandika viboko kabisa..... aisee Mbowe muoga sana eti tarehe maalum.... Chadema chini ya Lowasa hakutakuwa na maandamano.
 
hahahaha Mbowe kweli ni chekibob yani anasema ukuta umeshafanyika germany,dernmark na sasa wanapanga kwenda kuufanya marekani,malaysia na kwingineko...hahahaha halafu hapa nchini wanachadema kazi yenu ni kununua t-shirt za ukuta,kofia,magauni ili kuchangia operation ukuta huko ugaibuni teh teh
 
Ufipa Mbona Mmekimbia humu au mmeenda kufuatilia hiyo Tarehe Maalum ya UKUTA

Leo nimeamini Mbowe Kweli Bingwa wa Ujasiriamali Tanzania. Sasa kesho tutatia T-Shirt za Chama mtaani zinazohamasisha mikutano ya Siasa Nchi nzima
 
UKUTA uliopangwa octoba mosi umeshafanyika Dernmark na Germany. Hivyo endeleeni kununua T- Shirt za Chama, na mkalipie kadi zenu za uanachama ili tupate tena mtaji wa kufanya ukuta Marekani, Malaysia, SADC na kwingineko.

Big UP MBoweeeeeeeeee na Lowassaaaaaaa Mpaka waje wajijue kuwa wao ni Mitaji itachukua miaka MIA
mbowe ana akili sana daaaa ukuta kwenye level za kimataifa teh teh...
 
Kuna watu walipotea sana, ila wakisikia CDM tu hao.. hivi JPM nae bado anadhamini ile team ya buku saba.
 
hahahaha Mbowe kweli ni chekibob yani anasema ukuta umeshafanyika germany,dernmark na sasa wanapanga kwenda kuufanya marekani,malaysia na kwingineko...hahahaha halafu hapa nchini wanachadema kazi yenu ni kununua t-shirt za ukuta,kofia,magauni ili kuchangia operation ukuta huko ugaibuni teh teh
ndio ulichoelewa
[HASHTAG]#jpm[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom