Kutoka Makao Makuu CHADEMA: M/kiti Mbowe aahirisha maandamano ya UKUTA ya Oktoba Mosi

Hivi issue ya UKUTA bado ipo kwelii maana sasa hivi macho ya watanzania katika siasa HABARI INAYOPAMBA MOTO NI LIPUMBA NA CUF

Haswa macho ya watanzania wanataka kufahamu nini kitajiri chadema off course kipindi hiki imeanza kusahaulika,

Sasa hivi habali ya mjini inayosikika ni cuf , maalim seif, mtatiro na lipumba kuhusu ukuta watu washaanza kusahau taratibuuu hahaa

Kaka yangu ben sanane ni utani tuu huu lakini kweli

Mbona utekelezaji unaendelea tatizo mlikuwa mnasubiri vijana wapigwe waumizwe ili mfurahi.SIye tunaendelea wakati nyie mnasubiri siye tupo mzigoni mpaka kieleweke
 
Hivi issue ya UKUTA bado ipo kwelii maana sasa hivi macho ya watanzania katika siasa HABARI INAYOPAMBA MOTO NI LIPUMBA NA CUF

Haswa macho ya watanzania wanataka kufahamu nini kitajiri chadema off course kipindi hiki imeanza kusahaulika,

Sasa hivi habali ya mjini inayosikika ni cuf , maalim seif, mtatiro na lipumba kuhusu ukuta watu washaanza kusahau taratibuuu hahaa

Kaka yangu ben sanane ni utani tuu huu lakini kweli

Ukiona mpaka TWAWEZESHWA wameamua kutoa RIPOTI ya Mwendokasi ujue UKUTA umeshaanza kujengwa na wameuelewa
 
Mbowe na wafuas wake mnamatatizo ya akili...hata muitishe maandamano nchi nzima...hamtopata uungwaji mkono toka kwa WaTz wazalaendo.
 
14463311_10154572965094339_432469204327422221_n.jpg
Kipanya naye.... mgomvi sana
 
UKUTA ulijengwa juu ya mchanga, uliporomoka Septemba 1, hautajengwa na kusimama tena.

Mzee wa Chilonwa.
 
Back
Top Bottom