Kutoka Makao Makuu CHADEMA: M/kiti Mbowe aahirisha maandamano ya UKUTA ya Oktoba Mosi

Ni kweli watawala walidhamilia kutoa dispilini, '' kipigo cha kufa mtu '' walidhamilia kupiga watu hata ikibidi wengine wafe kwani ilishasemwa mara nyingi kuwa amani yetu italindwa kwa ghalama yoyote. Viongozi wa chadema wangeoneka si waungwana kama wangeendelea kuwashawishi wafuasi wao wajipeleke kwenye maangamizi wakati wameshaelewa kila kitu kilichopagwa kuwatokea wao na wafuasi wao ikiwa wangeandamana. Hapa viongozi wa chadema wanastahili pongezi kwa wepesi wao wa kusoma alama za nyakati, Kwani kama si hivyo saa hii tungekuwa tukiongelea maafa yaliyotokana na UKUTA. Hongereni viongozi wa chadema, hali ilikuwa mbaya hata wananchi tuliona.
 
Yeah.... Inapendeza sana kua na chama kikubwa na kinachowafanya watawala kupasua vichwa na kubuni mbinu ya kukiangamiza... Viva CDM... viva UKAWA.
 
kwa kifupi hata maandamano yangeruhusiwa ingekuwa ni aibu kwa chadema
Maana utafiti unaonyesha asilimia 90 watu wako siku hizi wako bize kusaka maisha mambo ya siasa hayana faida yoyote
 
Wewe unaonesha kiwango kidogo mno cha kufikiri... Unasema twaweza imenunuliwa mara tena unasema kuna asilimia sijui ngapi sijui zime sema nn..

Ndio maana mnachezewa akili zenu na ninyi mnakaa kama nyumbu tu kushangilia!

Haya wewe uliyeonyesha kiwango kikubwa toa hoja basi
 
Msikubali hili Moja tu la Twaweza Mkubali na Mengine
Aisee Bavocha kujitambua mnatabu sana.Na ndio maana wakuu wanacheza na akili

kwani mlipotamka UKUTA hamkujua kupigwa kupo?sasa leo ndio kila mtu kupigwaaaaaaaaaa eeeeeeeeee kupigwae eeeeee

Umemaliza?Huna hoja zaidi sana ni vihoja tu kama vya Msajili wa vyama
 
Hii chadema sijui ilipotelea wapi

Upinzani tanzania ni janja janja Sana

Hapa nasubiri system ilete another opposite political part

Hii nchi itaendelea siku ccm watakapogombana
 
Back
Top Bottom