Hivi hiyo kesi ina utata kiasi gani hadi ichukue muda wote huu? Huyo hakimu au sijui jaji, kaandika kitabu kizima au?
Mahakama kuu ya Tanzania imetengua maamuzi ya Chadma ya kumvua madaraka Zitto Kabwe.
Judge amesisitiza sana umuhimu wa demokrasia na kuvumiliana inapotokea tofauti ya mawazo. Amesema, kila mtanzania anastahili kusikilizwa na kupewa nafasi ya kuamua atakalo bila kuvunja katiba ya nchi. Kwa hiyo haoni iweje hawa Chadema, tena watatu watatu tu, mwenyekiti, katibu na mnadhimu mkuu wa chama ndiyo wawe miungu watu kwa kunyanyasa watao maoni chanya kuhusu mustakabari wa nchi kidemokrasia.
Ha ha ha!!! Hata signature yako inajieleza kabisa. Niliyosema ndiyo kweli yenyewe na si kujihami!!!
Mahakama kuu ya Tanzania imetengua maamuzi ya Chadma ya kumvua madaraka Zitto Kabwe.
Judge amesisitiza sana umuhimu wa demokrasia na kuvumiliana inapotokea tofauti ya mawazo. Amesema, kila mtanzania anastahili kusikilizwa na kupewa nafasi ya kuamua atakalo bila kuvunja katiba ya nchi. Kwa hiyo haoni iweje hawa Chadema, tena watatu watatu tu, mwenyekiti, katibu na mnadhimu mkuu wa chama ndiyo wawe miungu watu kwa kunyanyasa watao maoni chanya kuhusu mustakabari wa nchi kidemokrasia.
Team ya Mbowe na Wachaga wengine,,,,Hameni mjini nendeni
tena xmass kwenu mrudi mwezi wa pili. Zitto kawatia adabu.
mkuu zitto anapendwa na waha wenzake, lakini kama sisi wa kusini hatuna mpango naye! Mwambieni biashara ya uswis aiache mara moja, maana kwa sasa aendelee na mgao toka kwa fisadi Nimrod!Sijui kwanini nyie wachaga hamumpendi zito
mnawivu wa kishambenga nyie
Aya bhana wewe mtaalamu Wa Kiswahili umeshinda Mkuu!
mkuu sana @sixgates ,,,, ,@ritz ,,,,,, Latoya mko wapi leo hatupati updates? mkuu @sixgates sielewi leo kuna nini maana nyuzi zako zote zinazimwa nakuaminia mkuu pamoja tutafika tu.
cc FaizaFoxy....... ZeMarcopolo..... MSALANI.... Simiyu Yetu...... Mzee.... Pasco
Wakuu nimelazimika kuripoti japo sipo eneo la tukio lakini kwamsaada wa vitendea kazi muhimu vilivyopo mahakamani hakuna kitakachoharibika,
Watu wameshaingia kwenyevukumbi wa mahakama, mawakili wa pande zote wapo,
Lisu anatanabaisha kuwa uamuzi wa kesi hii utasomwa saa kumi kamili.
Vuteni subira kila kitu kitakuja hapa live,
Wakuu,
Jaji ameingia, na karani tayari ameshasoma jalada la kesi husika
Mawakili wanajitambulisha,
Jaji anaomba radhi kwa kuchelewa kuanza kusoma hukumu
Anarudia summary ya juzi aliyosoma kuhusu historia ya pingamizi na mwenendo wake
Zitto alitaka alitaka CC isijadili uanachama, amri yoyote itolewe na mahakama pia chama kilipe gharama za kesi
Upande wa utetezi umeweka pingamizi leo asubuhi kutolipa gharama ya kesi ikiwa Zitto atashindwa kesi
Best tafuta hata bilionea mmoja mdooogo tu uje naye yatawezekana. Vipi Baba V mzima?Keleuuuwi,sasa babaangu hiyo mambo nitawesa kweli mimi...naona dalili za kushindwa apa