Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

Status
Not open for further replies.
hukumu inaendela kusomwa kuanzia mwanzo wa kesi hii. mambo mengi yalishalipotiwa huko nyuma hivyo hamna haja ya kuyarudia tena. kinachosubiriwa ni "verdict"
 
Chezea Zitto weweeeee......mtabaki kubwabwaja tu..ohh mnafki,ohh msaliti...ohh kimepanda...ohh kimeshuka...chezea nyota za watu wewe...and if u really hate Zitto Kabwe let me help u kidogo.....well GO AND HUG TRANSFORMER...chadema juuuuuuu.kwikwikwikwikwi.
Sawa dada,tumekusikia ... najua una machungu ya kutoshwa cdm .. pole sana... maisha popote
 
hana jipya. Anabubujikwa na michozi baada ya kushindwa kesi

Alishasema hayuko mahakamani leo!! Anapokea update ndiyo anarusha. Mahakamani leo nafikiri wamezuia ipad na simu kurusha taarifa. Katika jambo lolote la ushindani kuna kushinda au kushindwa!!!!! Yote ni matokeo tu.
 
hahahaha duh mbona kimya Yerickoooo siyo kawaida yako kabisa kutoa taarifa kimapozi na ki'nukta nukta hivi huwaga unatoa taarifa na mshawasha na mbwembwe za hali ya juu

Kulikoni Leo Jamani..???
Atautoa wapi ujasiri wa ku Updates kwa mbwembwe wakati Zitto kesha kimbia na Mic huko? Mwenzako anafiria tonge lake pale Ufipa!!
 
Wakati tukisubiri updates..........

blogger-image-315952796.jpg


Getty_040313_JayZ.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom