Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

Status
Not open for further replies.
Naona kuna kila dalili ya CHADEMA kutoka Kaskazini na kuwa cha Watanzania wote.
 
WACHAGA Logic yao sijui ikoje....

Siku CHADEMA ikishinda kesi au Uchaguzi utasikia wanasema haki imetendeka...

Siku CHADEMA ikishindwa Kesi au UACHAGUZI wanasema kuna uchakachuzi umefanyika...

Hizi zinaweza kuwa ni side effects za gongo
 
Hivi hii tabia ya kulazimisha Ukabila mnaitoa wapi? Na nini lengo lenu?
 
mh! Cdm inaenda ikipoteza mvuto sasa. Bora niwe mshabiki wa m2 mzima lowasa.

Wewe nenda tu, hiyo ndio shida ya watu kama wewe ambao hufuata watu badala ya kufuata Itikadi na Falsafa.

Watu hufa lakini Itikadi na Falsafa havifi; hebu angalia Falsafa za Galilei na Plato, wao walishakufa karne nyingii, lakini Mawazo yanaishi hadi leo. Angalia Itikadi za kina Mao na Mahtama Ghandhi; wao wamekufa karne nyingi lakini Itikadi zao zinaishi hara leo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom