Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

Status
Not open for further replies.
kwa mfumo wa elimu ye2 msomi lazma ajue kuandka english safi coz uktoka elimu ya msing mpaka chuo ni lugha hyo inayo2mka sas kama hujui english mitihan yako ulkua unajbia lugha gan?na darasan ulkua unaelewa?hao uliowatolea mifano elimu zao hazjabase ktk lugha ya kiingereza so haukua mfano sahihi....asante

Sasa wewe ndio umeandika lugha gani hapa? Maana nimeshindwa kuelewa kama ni kiingereza ama ni Kiswahili. Jinsi ulivyoandika tu, inadhihirisha kwamba hata mwandiko wako ni mbaya aisee.

Samahani lakini.
 
Unazungumzia CDM ipi? Taasisi ile ishakuwa kubwa zaidi ya Slaa na Mbowe! Munkari wa vijana na chuki walizokuwa nazo haimithiliki mkuu...Tunajua Zitto apo alipo yuko kazini kupotezea issue ya kupanda kwa bei ya Umeme! Hata babu wa Loliondo mlimtengeneza kupotezea issues zenye maslahi mapana kwa wananchi! Kwa hili huwa nina wa-admire sana Mkuu... Ili kisiasa huu ndo mwisho wa Zitto... Mioyo ya wananchama na wapenzi wa CDM tayari imeshaingia kutu na katu haitaweza kusafishika kwa usaliti unaofanywa na Zitto et al...Kitu kimoja ambacho hamkifahamu ni kuwa nyuma ya CDM kuna watu wengi sana wenye kutaka mabadiliko yatakayo wafaidisha Watanzania kwa mara ya kwanza toka uhuru! Rasilimali hizi zinazochotwa na wahindi, wachina wazungu na makuwadi wa CCM lazima zitunufaishe sisi ambao ni walengwa kwanza! chachu hii ya mabadiliko unaochochewa na kupanda kwa gharama za maisha ndo msingi wa chuki dhidi ya wasaliti Zitto et al na ndiyo msingi mkuu wa kuing'oa CCM madarakani 2015...

mkuu heshima kwako
unaposema zitto kapewa artel kanda ya mangaribi umeniacha kidogo embu nidadavulie
 
Zitto Kabwe
ISAYA 54:14 Utathibitika katika haki
utakua mbali na kuonewa, kwa
maana hutoogopa, na mbali na hofu,
kwa maana haitakukaribia.Tazama,
yamkini watakusanyana , lakini si kwa
shauri langu watu wowote
watakaokusanyana juu yako
wataanguka kwa ajili yako.
 
Hlafu ndio nyinyi munataka kuingia magogoni 2015 nani awape labda magogoni ya tengeru!

Nyinyi nani? Mimi ni taasisi? Hebu peleka wowowo lako mbele kula kulala wewe usiyejuwa hata gharama ya maisha wala January hii huna hata mtoto wa kusingiziwa kudemand school fees na stationary.

Ifike wakati sasa hapa JF kula kulala kodi ya nyumba shikamoo watengewe jukwaa lao maana hakuna wanalolijuwa kuhusu gharama za maisha.
 
Mie nalalamikia wale wanaojivika uzalendo wakati wizania wao haupo kabisa hata kwa asiyejiweza kwa Shule,

Usiseme Serikali yote haifai la hasha ...! Bali pana baadhi ya watu wanatumia vyeo vyao kuipaka sifa chafu,

Ningelikuona una wazo pale ambapo Challenges zako hizo ungeliziingiza katika chama chako si ati usubiri mpaka ushike madaraka ndipo uanze kukosoa, kwani mifano iliyopo ya kutofahamiana katika mambo madogo huioni hadi usubiri madaraka ndipo uanze kukosoa?

Naamini hupendivkupinga ukweli, utakuwa umefahamuvjapo kiduchu,

Ahsanta mkuu Ntuzu.



Mkuu rafiki Yangu! Nisingependa kuizungumzia serikali Leo! Mi nipo hapa kwa soga tu! Lkn unavyo ipamba serikali wewe sikuelewi!

Ebu niambie Mkuu kwa mtu anaelepiwa kima cha chini kwa huko Dar ataweza kuishi na kulipia pango Km vyumba viwili na Maji na Umeme Na Chakula Na usafiri na matibabu kutona na kupanda kwa ghalama za Umeme?

Zaidi mi naona kiza tu' ndio maana watu maofisini rushwa haitoisha Wala ubadhirifu hautoisha maofisini!

Wabara Mimi ni Mpenda mabadiliko ndio maana unaona naongea hivi!
 
Utaila wa zitto ndoo umemponza acha endeleevkuaibika kazomewa kamavmbwa mwitu kupita mtaani wakati anaingia hapa mahakamani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom