Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

Kanumba Makaburini Kinondoni.jpg

Hiyo ni nini.


Usipotoshe nani alikwambia kulikuwa na maandamano siku ile?
 
shamlashamla sasa zinanza kueleke jangwani nimeona elikopta ya cdm ikielekea makao makuu ya chama! sijui kuchua makamanda wakuuu?
ok mwambie yule, wao na wale plus wewe usoge jangwani kwa amani....
peoples .... power..

Ni Shamrashamra na si shamlashamla ... learn how to spell ... pro cdm utawajua tu watu wa kulekule kiswahili kibovu
 
Tehe tehe, wekyeamba inu ni inu wai mono mao

.
Ote inu chio Mao pho, nyio Tata!
Ndio namalizia kula ka ngambura kangu nilikochoma hapa Keys hotel halafu moja kwa moja naelekea Jangwani kushughudia M4C physically.
.
 
Polisi walishindwa kuzuia nguvu ya umma ili watu waweze kutoa last
respect kwa Kanumba R.I.P, wataweza wapi kusimamia mkutano wa CDM.

CDM wanajiheshimu, wala hawakutaka polisi wa kuwasindikiza.
 
I really wish I can attend lakini nimefurahi kwamba M4C imefika dar maana mara nyingi imeonekana kwamba watu wa dar hawavutwi sana na chadema. Sasa M4C kila kona ya tz.
Mungu ibariki Chadema, Mungu Ibariki Tanzania.
 
Kwa yule anayefahamu atoe link ya ITV kwenye mtandao ili wenzetu ambao hawataweza kufika jangwani kutokana na location waliyopo basi wafuatilie live!!!!

Natanguliza shukrani.

Tiba
 
Hakika, kila mara panapotokea fujo Polisi wanakuwaga wamesababisha otherwise mikutano hufanyika huku ikiambatana na maandamano makubwa bila ulinzi na panakuwa na utulivu wa hali ya juu.
Viva Chadema.
 
Utajua leo kuwa hii ni M4Chaga au M4CHANGEEEE!!!!!! Acha kujichelewesha njoo leo jangwani uvue Gamba kama
wenzio wajanja wanavyowahi""Please kimbia haraka usije ukakosa hata pa kusimama.

Nitakuwa maeneneo ya Kariakoo juu ya Ghorofa langu nitapiga picha kuona jinsi M4Chaga ILIVODORORA!
 
I really wish I can attend lakini nimefurahi kwamba M4C imefika dar maana mara nyingi imeonekana kwamba watu wa dar hawavutwi sana na chadema. Sasa M4C kila kona ya tz.
Mungu ibariki Chadema, Mungu Ibariki Tanzania.

Bado watu wa Darisalama kindakindaki tunasisitiza CDM haina mashiko Dar , na kama kutajaa basi ujue wote hao ni WAGENI TU walotujazia mji wetu !
 
Teh teh teh umenicheksha kweli Njiwa, kuvaa tuwafundishe mpaka kiswahili tuwafundishe jamaniii! eeeeh !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom