Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
kasema nini?Anafuata Prof Kahigi CHADEMA
kasema nini?Anafuata Prof Kahigi CHADEMA
Amesema kama isingekuwa kwa bajeti nzuri enzi ya Nyerere zamani hizo, basi Pinda au Mwanasheria Mkuu wa serikali wasiongethubutu kwenda shule, maana wanatoka vijijini mno, na wazazi wao walikuwa hawana uwezo kabisa !
Hivyo ameshauri serikali itoe kipaumbele kwa Elimu kwanza!
mh kazungumza nini? yale yaleAnafuata Prof Kahigi CHADEMA
sasa wewe kaka kama hazikuhusu au hauzipendi si uendelee na thread zingine? Wengine tunazihitaji sana sababu hatuna namna nyingine ya kuzipata
Anaanza mchango wake na elimu,anasema tumepiga hatua mbele kielimu lakini tunachangamoto nyingi,asema hakuna nchi yeyote duniani iliyoendelea bila kuweka kipaumbele katka elimu
Mh Prof anaonekana siyo machachari kama wana CDM wengine,ni kama mpole kiana
Huyu mama mwongeaji anaanza kwa kupongeza wanawake wa singida na serikali kwani wameboreha barabara singida kiasi unasafiri kwa masaa manane mpaka Dar tofauti na miaka ya nyuma ambayo unasafiri kwa wiki moja
Kabisa,alikuwa mwalimu wangu wa kisw,ila anabana