Kutoka Bungeni, live

Anaanza mchango wake na elimu,anasema tumepiga hatua mbele kielimu lakini tunachangamoto nyingi,asema hakuna nchi yeyote duniani iliyoendelea bila kuweka kipaumbele katka elimu
 
Analinganisha bajeti ya Tz na za nchi kama marekan,india,na zinginezo,asema hizo nchi zimeendelea lakini kipaumbele zimewekwa katika elimu,anahoji kwanini Tz haikuweka kama kipaumbele namber 1
 
Amesema kama isingekuwa kwa bajeti nzuri enzi ya Nyerere zamani hizo, basi Pinda au Mwanasheria Mkuu wa serikali wasiongethubutu kwenda shule, maana wanatoka vijijini mno, na wazazi wao walikuwa hawana uwezo kabisa !
Hivyo ameshauri serikali itoe kipaumbele kwa Elimu kwanza!
 
Anasema mishahara lazima ziboreshwe,madiwani walipwe mishaharana wafanyakazi wote ambao hawawezi kujipangia posho kuboreshewa mishahara
 
Amesema kama isingekuwa kwa bajeti nzuri enzi ya Nyerere zamani hizo, basi Pinda au Mwanasheria Mkuu wa serikali wasiongethubutu kwenda shule, maana wanatoka vijijini mno, na wazazi wao walikuwa hawana uwezo kabisa !
Hivyo ameshauri serikali itoe kipaumbele kwa Elimu kwanza!

vichwa vya CDM utavijua tu, yaani wakisimama kuongea km unataka kutoka hutatoka hadi wamalize, akisimama wa magamba kuongea lazima km upo sehemu hutasubiri aongee, utaondoka bila hata kuaga.
 
sasa wewe kaka kama hazikuhusu au hauzipendi si uendelee na thread zingine? Wengine tunazihitaji sana sababu hatuna namna nyingine ya kuzipata

Angalia avatar yake; ni mbunge huyo yeye huenda yupo ndani kama si mtoro!
 
Huyu mama mwongeaji anaanza kwa kupongeza wanawake wa singida na serikali kwani wameboreha barabara singida kiasi unasafiri kwa masaa manane mpaka Dar tofauti na miaka ya nyuma ambayo unasafiri kwa wiki moja
 
Bora huyo aliyeamua kuacha kupiga chaki udsm.........siasa bhana.......inalipa
Anaanza mchango wake na elimu,anasema tumepiga hatua mbele kielimu lakini tunachangamoto nyingi,asema hakuna nchi yeyote duniani iliyoendelea bila kuweka kipaumbele katka elimu
 
Ameongelea pia kuboreswa kwa masilahi ya wafanya kazi hasa walimu.Naye anaunga hoja ya madiwani kulipwa mishahara kwani wanasimamia pesa nyingi za maendeleo za halmashauri mbalimbali,thus wafikiriwe katika bajeti hii
 
Kweli ana hulka ya upole.....huyu alichakachuliwa na wana-ccm kwemye kura za maoni.....ndio akajiunga na chadema,,,,,,,,,then akawin
Mh Prof anaonekana siyo machachari kama wana CDM wengine,ni kama mpole kiana
 
Daar singida kwa saa4!!!!!!!!!?????????Hiyo kali.......natamani nisemu MUONGO anaongopa
Huyu mama mwongeaji anaanza kwa kupongeza wanawake wa singida na serikali kwani wameboreha barabara singida kiasi unasafiri kwa masaa manane mpaka Dar tofauti na miaka ya nyuma ambayo unasafiri kwa wiki moja
 
Mbona hotuba ya Pinda tupu sana. Bado wanaendelea kuijadili! Wanahalalisha posho tu hao.
 
Huyu anawapongeza CDM kwa kukubali mwafaka pale Arusha na CCM,na anasema wame'copy' kutoka Zenj
 
Back
Top Bottom