Esperance
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 364
- 84
mkuu hata me nimemshtukia kuna kitu behind the scene.Wako watu wanatumiwa na JK. Huyu ni mmoja wao.
mkuu hata me nimemshtukia kuna kitu behind the scene.Wako watu wanatumiwa na JK. Huyu ni mmoja wao.
........na yeye akiwa mlinzi mlangoni......... wezi wanaingia na kutoka anawaangalia na kubakia kuomba ''hela ya kula'' kwa hao weziwaziri amekubali kwamba tumeibiwa na makampuni ya madini
CCM yamwaga pikipiki Kawe Monday, 18 July 2011 08:11 newsroom NA KHADIJA MUSSA CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa pikipiki 15 kwa vijana wa jimbo la Kawe, Dar es Salaam, ambapo pia kimezoa wanachama wapya 200, baadhi wakiwa kutoka vyama vya upinzani. Pikipiki hizo ni sehemu ya 26 zilizotolewa na Chama kwa ajili yavijana, ambapo 11 zimepelekwa mkoani Singida. Jumla ya gharama ya pikipiki hizo ni sh. milioni 46.8. Wanachama hao walijiunga na CCM jana, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Tegeta, ambao uliohutubiwa na Katibu wa NEC yaCCM, Uchumi na Fedha, Mwigulu Nchemba. Kwa mujibu wa wanachama wapya, wamevutiwa na sera za CCM, hivyo kuamua kujiunga na Chama. Nchemba katika mkutano huo uliohudhuriwa na umati wa wananchi, wanachama na wapenzi wa CCM, alikabidhi pikipiki 15 kwa vijana wa jimbo hilo. Alisema pikipiki hizo zimetolewa kwa mkopo, ambapo vijana watatakiwa kuunda vikundi na kukabidhi sh. 30,000 kila wiki kwa kiongozi wa kikundi, yakiwa ni marejesho ili kuwezesha kununuliwa nyingine. Katibu huyo wa NEC alisema fedhahizo zitatumika kununua pikipiki nyingine zitakazogawiwa kwa vijana wengine, ambapo kila mwezi mmoja atapatiwa. Aliwataka vijana hao kuwa waaminifu, kwani wakirejesha fedha hizo kwa wakati zitawezesha vijana 360 kupata pikipiki katika kipindi cha miaka mitano. Nchemba alisema pikipikihizo zitawasaidia vijana kujipatia ajira, ikiwa ni utekelezaji wa Ilaniya uchaguzi ya CCM kwa vitendo. Aliwataka viongozi wa vyama vya upinzani kutumia nguvu na akili katika kubuni vitu ambavyo vitawakwamua wananchi kimaendeleo, na si kuchochea vurugu na maandamano, kwani hayana tija kwa taifa. Nchemba aliingia kwenye mkutano huo akiwa amepanda pikipiki, akiwa amefuatana na Katibu wa UVCCM Taifa, Martine Shigela.
Mie nilionana naye Club 84 jumamosi usiku, alikuja around 00:49 am, alikuwa down sana ila hakuwa na malaya.Ngeleja jana tulikutana pharmacy akinunua VALIUM!!
teh teh mkuu bt huyu juz alikua akiwasifia magamba, mm simuamin kabisaaaSaid Bagailehttps://www.jamiiforums.com/members/esperance.html mkuu vipi?? ndo wewe umemwanga cheche bungeni.....halafu umelog in kwenye jf via mobile.....nimekusikia mkuu
Nadhani mmesikia Mchango wangu leo wakuu. Nia ni kuwasulubu wote wasiolitakia mema taifa hili. Issue sio jina la Kigwangala ninalotumia bali ni Mchango wangu kwa jamii.
Huyo ndio waziri wengine ni blah.Magufuli kichwa sana, kila Mbunge anampongeza kwa kujibu maswali vizuri!
Nadhani mmesikia Mchango wangu leo wakuu. Nia ni kuwasulubu wote wasiolitakia mema taifa hili. Issue sio jina la Kigwangala ninalotumia bali ni Mchango wangu kwa jamii.
Nadhani mmesikia Mchango wangu leo wakuu. Nia ni kuwasulubu wote wasiolitakia mema taifa hili. Issue sio jina la Kigwangala ninalotumia bali ni Mchango wangu kwa jamii.
haya bwana hongera leo umeongea mambo ya maana,kidogo uambiwe upeleke uthibitisho una bahat ni magamba wenzio. Safi.Nadhani mmesikia Mchango wangu leo wakuu. Nia ni kuwasulubu wote wasiolitakia mema taifa hili. Issue sio jina la Kigwangala ninalotumia bali ni Mchango wangu kwa jamii.