LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 516
Wana JF,
Mwaume unakutana na binti/dada/mwanamke kwenye mizunguko yako ya kimaisha.
Katika kuongea ongea naye, unaomba namba ya simu ya binti/dada/mwanamke.
Katika kuomba simu,
Baadhi ya wanawake hutoa namba zao bila hiyana hata kama mumezungumza kwa dakika mbili tu.
Kwa upande mwingine, baadhi ya akina dada hukataa kutoa namba zao za simu kwa sababu zao binafsi.
Maswali,
Binti/dada/Mwanamke anapotoa/kutotoa namba yake ya simu huwa anatoa ujumbe gani kwa muombaji?
Na akina dada huwa mnajisikije kutoa/kutotoa namba za simu zenu kwa wanaume ambao mumezungumza nao dakika mbili tu?
Wanaume huwa mnajiskiaje binti/data/mwanamke akikupa/akikunyima namba yake ya simu?
Karibuni wanaJF, tushare uzoefu.