Kutoa na Kutotoa Namba ya Simu kwa Wanawake

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,640
516
Wana JF,
Mwaume unakutana na binti/dada/mwanamke kwenye mizunguko yako ya kimaisha.
Katika kuongea ongea naye, unaomba namba ya simu ya binti/dada/mwanamke.
Katika kuomba simu,
Baadhi ya wanawake hutoa namba zao bila hiyana hata kama mumezungumza kwa dakika mbili tu.
Kwa upande mwingine, baadhi ya akina dada hukataa kutoa namba zao za simu kwa sababu zao binafsi.

Maswali,
Binti/dada/Mwanamke anapotoa/kutotoa namba yake ya simu huwa anatoa ujumbe gani kwa muombaji?
Na akina dada huwa mnajisikije kutoa/kutotoa namba za simu zenu kwa wanaume ambao mumezungumza nao dakika mbili tu?
Wanaume huwa mnajiskiaje binti/data/mwanamke akikupa/akikunyima namba yake ya simu?

Karibuni wanaJF, tushare uzoefu.
 
kuna wengine akikupa namba ndo 'amekubali' tongozo

kuna wengine anakupa namba kama njia ya 'kukufukuza kwa haraka' ukipiga hapokei

kuna wengine anakupa namba 'ili muwasiliane zaidi' kabla ya kukubali tongozo

kuna wengine anakupa namba kikazi zaidi,kiofisi au kibiashara zaidi,hataki mapenzi\

kuna wengine 'uarafiki tu wa kawaida'...
 
+10 to the boss. dada akikupa namba haimaanishi ndio umepata ruhusa ya kummega likewise ninapoomba namba ya dada bado sijapanga (in my head) kuwa tutakuwa kitu zaidi, its too early to plan that on day one. don't count your chickens before the eggs hatch, utatengeneza scenario in your head ambayo sio real.
 
+10 to the boss. dada
akikupa namba haimaanishi ndio umepata ruhusa ya kummega likewise
ninapoomba namba ya dada bado sijapanga (in my head) kuwa tutakuwa kitu
zaidi, its too early to plan that on day one. don't count your chickens
before the eggs hatch, utatengeneza scenario in your head ambayo sio
real.
that's wise
 
Mazungumzo ya dakika 2 alafu binti unatoa namba ni kujitafungulia usumbufu usio wa lazima
 
Demu kutoa namba ya simu tu hovyo hovyo ni ukicheche tu,kama vipi unatoa namba za gari au unampa line ya fire au call center 0713800800.
 
kuna wengine akikupa namba ndo 'amekubali' tongozo

kuna wengine anakupa namba kama njia ya 'kukufukuza kwa haraka' ukipiga hapokei

kuna wengine anakupa namba 'ili muwasiliane zaidi' kabla ya kukubali tongozo

kuna wengine anakupa namba kikazi zaidi,kiofisi au kibiashara zaidi,hataki mapenzi\

kuna wengine 'uarafiki tu wa kawaida'...

Umeongea point nzuri ila hiyo pt ya mwisho unasema uraifiki wa kawaida ndo ukoje
 
Nakuuliza mtoa mada, nijibu then na mimi ntakujibu, Je huwa mnajisikiaje mnapokutana na mwanamke, ukaongea nae dakika mbili tu na hapo hapo unaomba namba? lengo huwa nini?
 
Mie sipendi kutoa namba yangu kwa strangers kwa sababu sipendi usumbufu!
 
kuna wengine akikupa namba ndo 'amekubali' tongozo

kuna wengine anakupa namba kama njia ya 'kukufukuza kwa haraka' ukipiga hapokei

kuna wengine anakupa namba 'ili muwasiliane zaidi' kabla ya kukubali tongozo

kuna wengine anakupa namba kikazi zaidi,kiofisi au kibiashara zaidi,hataki mapenzi\

kuna wengine 'uarafiki tu wa kawaida'...

Ngoja nipite tu kabisa, naona umeweka hadharani kila kitu
 
Nna line 3, hyo moja ni kwa hao wasumbufu, so ukitaka namba nakupa ukianza usumbufu nakuweka ktk black list au namba inapotea hewani mwezi! C basi?
 
Inategemeana na ulivyo ji-expresss kwa mdada na mazungumzo yenu mafupi.. hili mimi sioni ajabu sana hasa kwa watumiaji wa daladala au any public transport
1. we nani =atakupa kwa kutegemea muendelezo wa mahusiano kikazi kimsaada, kiushauri, kibiashara, kielimu nk nk.
2. unaharaka lakini kunapoint ya muhimu hamjaiweka sawa = kupata wasaa wa kutafutana na kumalizia
3. mazingira hayaruhusu = kunajambo ambalo haliwezi kuongelewa katika mazingira mliyopo
4. anakutega = nitabia yake kushobokea wanaume i mean ni loose
 
kuna wengine akikupa namba ndo 'amekubali' tongozo

kuna wengine anakupa namba kama njia ya 'kukufukuza kwa haraka' ukipiga hapokei

kuna wengine anakupa namba 'ili muwasiliane zaidi' kabla ya kukubali tongozo

kuna wengine anakupa namba kikazi zaidi,kiofisi au kibiashara zaidi,hataki mapenzi\

kuna wengine 'uarafiki tu wa kawaida'...

Ebwana umemaliza kila kitu!
All in all..nothing should be taken for granted!
 
Wana JF,
Mwaume unakutana na binti/dada/mwanamke kwenye mizunguko yako ya kimaisha.
Katika kuongea ongea naye, unaomba namba ya simu ya binti/dada/mwanamke.
Katika kuomba simu,
Baadhi ya wanawake hutoa namba zao bila hiyana hata kama mumezungumza kwa dakika mbili tu.
Kwa upande mwingine, baadhi ya akina dada hukataa kutoa namba zao za simu kwa sababu zao binafsi.

Maswali,
Binti/dada/Mwanamke anapotoa/kutotoa namba yake ya simu huwa anatoa ujumbe gani kwa muombaji?
Na akina dada huwa mnajisikije kutoa/kutotoa namba za simu zenu kwa wanaume ambao mumezungumza nao dakika mbili tu?
Wanaume huwa mnajiskiaje binti/data/mwanamke akikupa/akikunyima namba yake ya simu?

Karibuni wanaJF, tushare uzoefu.

dah! hii mada inanihusu wakuu,nampango wa kuchukua number mda si mrefu hapa,namzoea ili asibane kuitoa...
 
kuna wengine akikupa namba ndo 'amekubali' tongozo

kuna wengine anakupa namba kama njia ya 'kukufukuza kwa haraka' ukipiga hapokei

kuna wengine anakupa namba 'ili muwasiliane zaidi' kabla ya kukubali tongozo

kuna wengine anakupa namba kikazi zaidi,kiofisi au kibiashara zaidi,hataki mapenzi\

kuna wengine 'uarafiki tu wa kawaida'...

Nakubaliana na wewe!
 
We hujausikia ule wimbo.

"I don't want your nuuumber, I'll hit you under the Facebook..."
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom