Kutembea na wake za watu: Nani ana MAKOSA?

Duu sio mchezo kwanza si unatembea nae mara moha kumuacha au inakuwaje??Kama mara moja kwa week 2 kwanza kuna tatizo hapo??Hahahahaha kazi kweli kweli!!
 
Kosa la uzinzi ni kosa la kukiuka moja ya amri kumi za Mungu alizopewa Nabii Mussa Alaihi Salaam. Amwe mtu ameoa/ameolewa au jajaoa/hajaolewa.

Kitendo cha uzinzi kwa aliyeoa au aliyeolewa kina vunja amri ya Mungu na ya ndoa. Ni vizuri tukajifunza uaminifu kwa mume na mke hali kadhalika.

Kosa la uzinzi ni la wahusika wote wawili. Hii kwaida ya kuwashika makosa wanaume peke yao ni ya ukandamizaji wa jinsia.

Ni kweli kabisa kuwa wanaume ndio wanaokuwa wa kwanza kuwafuata wanawake, lakini na akina mama nao ingawa hawasemi, mara nyingi hufanya vituko na maajabu mengi ya
kuwafanya wanaume wawafuate.

Kwa mfano: Kuvaa sivyo ndivyo, kuwakalia vibaya vibaya, kuwatingishia makalio, kuwarembushia macho, kuwakenulia na kuwalegezea sauti. Wanaume katika majambo haya ni dhaifu sana na akina mama nao hawavumi lakini wamo.
 
....Sasa mimi nashindwa kuelewa,kwanini yule mwanamke aliyechukuliwa ASINYOOSHEWE KIDOLE? au asionekane mkosaji kwa kiwango kile kile?ukizingatia walikubaliana?

Hii dhana inaanzia wapi jamani?

...wala usisikitike ndugu yangu, historia tu inajirudia;

"Adam blamed Eve, Eve blamed the serpent and the 'serpent' didn't have a leg to stand on"

usipotaka lawama 'usiikurubie!' zinaa!
 
...“Adam blamed Eve, Eve blamed the serpent and the 'serpent' didn't have a leg to stand on”[/B][/SIZE][/FONT]

!

KWELI BABA!So inaonekana wanaume wataendelea KUTAWALA,saababu ni wakubwa katika ushawishi na vitu vingine vyote.NA MKUBWA NI JALALA AU SIO?......ndo maana makosa mengine ya ushawishi kama haya yanamwangukia yeye
 
Inategemea ni nchi/sehemu gani.
Kuna sehemu si kosa kabisa!Ukija jamaa anakukaribisha chakuala na mke na anaondoka anakuachia mzigo ushindwe wewe-na ni culture.
Kuna mkoa fulani hapo Tanzania,nasikia mwanamke,tangu kakiwa kadada kanafundishwa kuwa mwanamke mwenye akili lazima awe na wanaume 3,akiwa frustrated kwa huyu anakwenda kwa number 2,3,huko hata rate ya divorce ni <zero .
Nchi zingine za Ulaya its funn na wala hamna anayelaumiwa.Uarabuni kuna nchi ukishikwa na mke wa mtu,hamna kesi hata kama aliileta"....." ameishika mkononi, wewe mwanaume kichwa kinadondoshwa mara 1 na wakati mwingine hadharani
 
Ukiangalia kwa kimantiki utaona mwanamke ndo mwenye kosa....kwa nini akubali wakati anajua wazi kabisa ana mme? na ana mpenda kwa dhati na aliapa wataishi kwa shida na raha! mke ndo mwenye makosa anasaliti ndoa yake.
Kwani mwanamme aliye mtokea alimbaka au alimlazimisha si yeye mwenyeweee kamkubali jamaa.....
 
sometime kuna makosa ila sometime fresh tu. kama mume hamtimizii mkewe ya ndani utegemee nini wakati kaolewa kwayo? mi nikipata ushahidi kuwa mke wa mtu hatoshelezwi, basi mradi huyo mke karidhia, mi nitamtosheleza tu
 
Sawa tu ila siku moja huyo asiyetosheka atakuwa mkeo! Vijana wa kijiweni ambao siku hizi hawana kazi wamshughulikie?
 
Last edited:
Ukiangalia kwa kimantiki utaona mwanamke ndo mwenye kosa....kwa nini akubali wakati anajua wazi kabisa ana mme? na ana mpenda kwa dhati na aliapa wataishi kwa shida na raha! mke ndo mwenye makosa anasaliti ndoa yake.
Kwani mwanamme aliye mtokea alimbaka au alimlazimisha si yeye mwenyeweee kamkubali jamaa.....

Eeewaaaa! wewe ndio tuko ukurasa mmoja.
 
ukiangalia kwa kimantiki utaona mwanamke ndo mwenye kosa....kwa nini akubali wakati anajua wazi kabisa ana mme? Na ana mpenda kwa dhati na aliapa wataishi kwa shida na raha! Mke ndo mwenye makosa anasaliti ndoa yake.
Kwani mwanamme aliye mtokea alimbaka au alimlazimisha si yeye mwenyeweee kamkubali jamaa.....

neno hilo!....................uongo uongoooooooo?!!!!!!!
 
Wanaume ni hulka yao kutoka nje ya ndoa, wameumbwa hivyo (kama wapo wasotoka basi ni wachache but wengi wao wako hivyo. Ndo mana utakuta hana haja ya kuficha kama kaoa au la wengi hutongoza huku vidole vina pete za ndoa!! Tofauti na mwanamke kama atatongoza yeye ataivua na kumfanya atongozwae ahisi huyu mama hajaolewa.

Kwa mantiki hii basi kama tunajua kuwa hii ni hulka yao basi kosa ni kwa mwanamke anayekubali kuchezewa na mtu mwenye mkewe nyumbani. Besides wanawake tumeumbwa kumpenda mmoja kwa wakati mmoja meaning ukiwa umeolewa basi ni mumeo tu ndie anayestahili kuujua utupu wako na si vinginevyo.
 
Wanaume ni hulka yao kutoka nje ya ndoa, wameumbwa hivyo
Sikubaliani na wewe kwa hiyo na wanawake nao ni hulka yao maana anamwacha mmewe anakuwa na watu wa pembeni.
Tofauti na mwanamke kama atatongoza yeye ataivua na kumfanya atongozwae ahisi huyu mama hajaolewa.
Siku hizi kuna wanawake tena na ndoa zao wanatongoza vitoto vya shule na kuvirubuni na kuanza kutembea navyo.tayari hapo mwanamke anakuwa kesha toka kwenye ndoa.

Besides wanawake tumeumbwa kumpenda mmoja kwa wakati mmoja meaning ukiwa umeolewa basi ni mumeo tu ndie anayestahili kuujua utupu wako na si vinginevyo.
wenye msimamo kama huu ni wachache sana kwa wanawake 1000 basi ni 1 au 2 na wewe unaweza ukawemo....lakini nani aliyekuzindua usichana wako?.....oh najua hutasema ili ni siri yako.
mwanamke anapaswa kulaumiwa kwani ndiye anaye mkubalia mwanaume na habakwi anatongozwa anakubali basi jamaa anamaliza sasa utamlaumu vp mwanaume anatembea na wake za watu wkt wewe mwenyewe ndo umemvulia?
 
Eeewaaaa! wewe ndio tuko ukurasa mmoja.

Hapo umenena mkuu.
Mi sholi wangu anatembea na jamaa mwingine eti una mlaumu mwanaume wapi na wapi! Wakulaumiwa na mwenye makosa ni mwanamke kwa nini alimkubalia jamaa?Wakati anajua fika mimi ni mtu wake.
 
Fidel80,
Pamoja na hoja zako nzuri, avitar yako inatia fola, nasakata ndombolo inayopigwa na huyo jamaa hahaaaaaaaaaaa (joke)
 
1. Mara ingine wanawake walioolewa hutoka nje zaidi kwa ajili ya maslahi ya kiuchumi haswa wale akina mama wa sehemu za pwani.

2. Pia kuna swala moja la logic.. idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume..na mschana akishapitisha zaidi ya 30 basi chances za kuolewa na kuzaa watoto salama ni ngumu na wengi unakuta waliringa 20-30 na umri unasogea! sasa kinachotokea wanaume wengi wenye umri mdogo hutafuta waschana wadogo! kwa hiyo hawa akina mama haswa wengi wasomi wanapenda zaidi kupendwa kama wanawake na hivyo wengi hutembea na waume za watu ambao pia finanncially ni stable na pia umri utakuwa umezidi 30's!
 
PIA ZIPO TETESI WAKUU!nasikia kinachowatoa wake za watu nje ya ndoa zao ni 'EXPRESS YOURSELF'

nasikia sikia tu kwamba wapo wanawake waliokuwa wanatumia hicho kilevi 'ENZI ZA UJANA WAO' sasa baada ya kuamua kuingia kwenye ndoa baadhi yao wamekuwa hawapati 'hiyo huduma'.Kutokana na hilo wanawake hawa 'WENYE NDOA ZAO' wanalazimika kutoka nje na kuwasaka 'MAFIRAUNI' kwa ajili ya hiyo huduma.

JAMANI YA KWELI HAYA?
 
Mmmmh hii hapa akija Nyama yao pamoja na BrendaJacob watabisha mpaka basi.Mi iwa nawaambia hii kitu tiGo ipo kwenye soko sasa hivi hadi akina baba nao wanaonja sana tu kwa vibinti vya sokoni.
 
Sikubaliani na wewe kwa hiyo na wanawake nao ni hulka yao maana anamwacha mmewe anakuwa na watu wa pembeni.

Fidel nadhani hujanisoma vema ndugu yangu nimesema wengi wao. Huo ni mtazamo wangu hasa nikijaribu kulinganisha idadi ya wanaotoka nje ya ndoa kati ya wanaume na wanawake. Tokea enzi utakuta idadi kubwa ni wanaume. Najua tasema wanawake mbona wako wengi ni kweli ila uwingi wa wanawake wanaofanya matendo hayo bil awoga tunawezasema its a recent phinomenon. Na hii haimaanishi kuwa wanaume wamepunguza so bado idadi yao ni kubwa kulinganisha na kina mama. Ndipo ilipobase argument yangu ya hulka.

Siku hizi kuna wanawake tena na ndoa zao wanatongoza vitoto vya shule na kuvirubuni na kuanza kutembea navyo.tayari hapo mwanamke anakuwa kesha toka kwenye ndoa.

Ni kweli SIKU HIZI wapo ila je wanapotongoza wanaadvertize kabisa kuwa wanao waume zao au wanasingizia kuwa wako single?. Kilichonifanya nikasema hivyo ni kwa vile nimezoea kuwaona wanaume ambao wanatongoza kina dada wazi wazi na pete zao vidoleni ndo mana nikahisi kuwa ni kawaida ndo mana hawana uwoga but I stand to be corrected.

wenye msimamo kama huu ni wachache sana kwa wanawake 1000 basi ni 1 au 2 na wewe unaweza ukawemo....lakini nani aliyekuzindua usichana wako?.....oh najua hutasema ili ni siri yako.

Inawezekana tumeelewana ndivyo sivyo but niliposema kuwa wanawake tumeumba kumpenda mtu mmoja simaanishi huko ulikokwenda but hebu niambie ni mwanamke gani ambaye yuko tayari kutolewa usichana na mtu ambaye amekubaliana naye kuwa hatamuoa?. Umeniuliza mimi but believe me aliyenitoa usichana wangu nilikuwa na uhakika (niliamini hivyo kwa wakati ule) kuwa ndie atakayenioa ingawa haikuwa hivyo

mwanamke anapaswa kulaumiwa kwani ndiye anaye mkubalia mwanaume na habakwi anatongozwa anakubali basi jamaa anamaliza sasa utamlaumu vp mwanaume anatembea na wake za watu wkt wewe mwenyewe ndo umemvulia?

Ukisoma vizuri post yangu nimekiri hapa kuw awa kulaumiwa ni mwanamke na si vinginevyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom