Kutembea na wake za watu: Nani ana MAKOSA?

Hii issue ni ni very ambiguous.Mimi mfano kuna mke wa mtu alisaka namba yangu hadi akaipata na kuanza porojo zake....mumewe alivyomshtukia na kumuuliza who i am alimjibu kua mm ndo nliyentoa bikra while that is a mere lie!! Najitahidi sana kumkwepa bse i dont wanna risk my life. Worse enough ni kua she is still young miaka 25! Mumewe ana pesa nyingi tu sasa sijui why she is cheating on him. This is so weird!!
 
Kumbe kama umetoa bikra ni ruksa kukumbushia hata kama ni mke wa mtu....bado najiuliza kwa nini huyu mke amekuwa na kiburi cha kutamka hayo maneno??? Na mume wake atakuwa b.we.ge type? Kwa jibu hilo mwanaume wa ukweli lazima amkusanyie vilivyo vyake....Huyo dada ana akili nzuri au ndio wale Bongo movie type? Ameolewa kwa utashi au mume ni king'ang'anizi?

Kwa hiyo kila mke wa mtu anaendelea kutembea na alomtoa bikra...teh teh teh...

Na kila mwanaume alobahatika kutoa bikra anaendelea kutoa dozi hata kama ana familia????

Hii issue ni ni very ambiguous.Mimi mfano kuna mke wa mtu alisaka namba yangu hadi akaipata na kuanza porojo zake....mumewe alivyomshtukia na kumuuliza who i am alimjibu kua mm ndo nliyentoa bikra while that is a mere lie!! Najitahidi sana kumkwepa bse i dont wanna risk my life. Worse enough ni kua she is still young miaka 25! Mumewe ana pesa nyingi tu sasa sijui why she is cheating on him. This is so weird!!
 
Mkuu nyumba kubwa sio kweli kua nilimtoa bikra!! Yeye tu ndo aliamua kumwambia hivyo mumewe. na kwa kweli. sijajua lengo la yeye kunisingizia.....au nahisi alikua anajitetea tu labda...Laiti ningekua nimemwonja ata nisingemaind kihivyo.She is putting my life at risk u know?
 
Najua si kweli...ila nilikuwa najaribu kuelewa her line of thinking...

Mkuu nyumba kubwa sio kweli kua nilimtoa bikra!! Yeye tu ndo aliamua kumwambia hivyo mumewe. na kwa kweli. sijajua lengo la yeye kunisingizia.....au nahisi alikua anajitetea tu labda...Laiti ningekua nimemwonja ata nisingemaind kihivyo.She is putting my life at risk u know?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom