View attachment 68533
Kamanda kama huyu anatufaa sana kipindi kama hiki cha vurugu maana kwa muonekano huu hakuna kuuliza maswali ni kanyaga twende.
Hebu mcheki kama ana sura ya kichotara,hapo full black hakuna mambo ya yakhe niwekee urojoo!
aisee nlikuwa nmwona mume wangu mweusi kumbe ni mwarabu kwa huyu.View attachment 68533
Kamanda kama huyu anatufaa sana kipindi kama hiki cha vurugu maana kwa muonekano huu hakuna kuuliza maswali ni kanyaga twende.
Hakika CaptainDunga,tunasubiri kuona leo itakuaje maana kuna tetesi kuwa baada ya swala ya ijumaa kutakuwa na maandamano mpaka wampate mtu wao.Kweli hii sura ya kazi anatakiwa apelekwe Zanzibar ILA tukiacha utani hawa jamaa wanaharibu hii nchi.
mjaluo au mkurya