Kutana na kamanda aliye tayari kwa vita

Joseph

JF-Expert Member
Aug 3, 2007
3,518
1,086
KAMANDA MWEUSI.jpg

Kamanda kama huyu anatufaa sana kipindi kama hiki cha vurugu maana kwa muonekano huu hakuna kuuliza maswali ni kanyaga twende.
 
Kweli hii sura ya kazi anatakiwa apelekwe Zanzibar ILA tukiacha utani hawa jamaa wanaharibu hii nchi.
Hakika CaptainDunga,tunasubiri kuona leo itakuaje maana kuna tetesi kuwa baada ya swala ya ijumaa kutakuwa na maandamano mpaka wampate mtu wao.
 
Back
Top Bottom