LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,123
- 9,168
- Thread starter
- #81
Hivi ni kumbe mpaka uchezee selector ndio uwashe ? Kwa hiyo kila mwenye gari automatic ni fundi umeme ??? ,,umetumia njia hii kufikisha ujumbe kuwa wewe ni fundi umeme ,tumekuelewa wenye shida watakutafuta ,binafsi gari automatic sina mzuka nayo kabisa
hahaha mkuu soma post zote ndio utaelewa vizuri.
lengo LA post hii ni juu ya kustua GARI za automatic achana na hayo ya kuwasha GARI ikiwa kwenye D.
sababu hata mafundi wengi ukiwaambia GARI automatic ukistua inagoma wanabisha pia.
mbona humu watu huwa wanaweka maujanja ya kuchakachua simu na hatua zake au kuflush na kufanya modem zisome line zote na watu hata ambao sio mafundi simu au wataalam WA IT huwa wanafanya hivyo na kufanikiwa??
ndio maana nikatoa mfano rahisi ambao hata ww ukiwa unaendesha GARI automatic waweza jaribu pia.
endesha GARI ikiwa kwenye D izime kabisa harafu weka tena switch ON uone kama haita waka??