Kushtua gari ya automatic

Mkuu Off The Topic., hivi inawezekana kuweka USB port kwenye gari ambayo haina???

ndio mkuu inawezekana.
kuna aina mbili hapo.unaweza ukawekea kiberiti.

au ukanunua socket ambayo huwa inakuwa na sehem za chaji za simu inakuwa na sehem kama 4 hivi kwahiyo ni uamuzi wako tuu.

ila ile ya kiberiti cha gari ndio huwa inakuwa nzuri kunasehem ukiiweka huwa inatulia na kuwa kama original yake uzuri upatikanaji wa viberiti ni rahisi sana.
 
Mkuu niko off topic kidogo, kuna hii Gari mazda rx8 nataka kuinunua lkn naona engine yake ni rotary engine yani haina piston, mkuu unazoefu wowote na Gari zenye engine ya dizaini hii labda mapungufu yake na vitu vingine mkuu
 
mkuu kila kitu huwa kinaanza kwa na hatua ya kwanza majaribio ya kwanza ili twende pamoja nitakapo kuwa na kwambia au kukushawishi kuwa Gari ya automatic inastulika ni hivi chukua Gari ya automatic iendeshe kwa speed mpaka ifike 80 or 60 izime kisha iache mpaka speed ifike kwenye 40 then weka switch ON uone kama Gari haita waka tena??.

wakati naanzisha hili watu walibishana sana na mm na kunidharau mwisho wa siku wao ndio wakawa wanajishangaa.

nilianza kuliwaza hili zamani sana wakati nafanyia wiring Gari 1 wakati nasumbuka kuiwasha baada ya kuifanyia wiring nilijikuta nimeiwasha Gari bila hata kuipiga starter baada yakugusa WAYA kwenye igniter na tester.

siku nyingine nikatumia njia hiyo kuiwasha Suzuki baada ya kuzima betri ilienda down.

wazo kuu nililipata baada ya kuwa nilikuwa nafungua gear box wakati nakata converter ukiweka P converter haizunguki ukiweka N linazunguka na Ukiweka kwenye gear inakuwa ngumu sana ukizungusha.kama utaweka D nakuizungusha tairi utaona kabisa ulemzunguko unaingia mpaka ndani ya gearbox hapo ndio wazo LA kujaribu kustua lilipo kuja.
kwakuwa nikajua nikiwaambia watu wanisukume tufanye majaribio hayo hakuna ambaye atakubali na nitaonekana mm hamnazo ikabidi nifanye majaribio hayo nikiwa peke yangu.

kwanza nilichukua Gari na kuiwasha na kuiendesha speed nikaizima kabisa nilipo weka tena on ikawaka kama kawaida.

jaribio LA pili nikaenda kwenye mteremko nikawasha Gari nikaweka D wakati naanza kushuka nikaizima kabisa nikashuka nayo wakati namaliza mteremko nika iweka ON ikawaka kama kawaida.

HEMBU JARIBUNI NA NYIE TUONE

shida yako kubwa ni kwamba majaribio yote ulifanya gari iliwa inatembea.. swala ni gari uliyoipaki na unataka kuishtua utaanza vipi ili ufanikiwe... kumbuka ugumu wa kusukuma gari ikiwa kwenye D hadi upate hizo speed 20 hadi 40
 
tatizo wabongo Maneno mengi. kama inawezekana kushtua eleza kwa namna gani. kama haiwezekani mseme, Maneno mengi ya nini?
 
nashukuru kwa kufanya jaribio.nashukuru pia kwa kusoma thread yangu pia.lakini kwa bahati mbaya nasema kunasehem kidogo hukuelewa au hatukwenda sawa kwenye post zangu nami nasikitika kusema kuna coment 1 niliandika lakini nazani hukuipa uzito sana.

kwwnza naomba nikuulize hiyo nissan ulio jaribia wewe ni old model au hii new??

kuna aina 2 kwenye gari za kuanzisha mzunguko wa fuel pump kabla gari haijawaka.

kwanza kuna gari ambazo ukiweka switch ON tuu mafuta yanakwenda kwa sekunde kadhaa na kukata
aina hii itakubali bila tatizo lolote zoezi lako lazima lifanikiwe.100%

aina ya pili kuna gari ambazo ukiweka switch ON fuel pump haifanyi kazi but yenyewe aina hii control yake huwa inaruhusu kutoa signal ya kwenda kwenye fuel pump relay mpaka unapopiga starter.signal ya starter inapokwenda kwenye control ndio pump huanza kutoa mafuta.kwa aina hii lazima itakutoa kijasho kidogo.hapo ili gari iwake kwa urahisi unachomoa fuel pump na kuiweka ON Mda wote ipeleke mafuta ili sisubili mpaka upige starter kwa kuwa gari itakuwa kwenye D huwezi piga.

mkuu hatua ulizo anza nazo zote kuwasha gari ingekuwa vigumu kidogo jaribio ambalo ni rahisi nilikwambia chukua gari endesha speed kama 50 & 40 hivi baada ya hapo zima gari.ukisha zima likipungua speed mpaka kufika 20 or 15 weka switch ON lazima litawaka tuu.

kesho nenda katest njia hiyo then uje ulete majibu hapa kama imegoma au laa??

kama itagoma tufunge mzigo tunatafuta na shahidi m1 wahapa jukwaani.

kwa nissan nilijaribu na nissan march macho ya panzi ilikubali.

mkuu sasa kama gari linatembea yanini ushitue?? tunataka gari iliyopaki tuiwashe
 
hiki unachokisema sio kushtua gari sasa, kushtua gari ni pale linakuwa limezima na halitembei then unaliwasha kwa kutumia motion bila kutegemea nguvu ya betri kwenye starter.....KWA HIYO MKUU USIJE UKAJISIFU ATI UMESHTUA GARI YA AUTOMATIC
 
nguvu ya betri hata kwenye gari manualy huwa lazima iwepo mkuu.

kama utaweza pata nguvu au utaweza lisukuma mpaka kupata speed kubwa lazima litawaka tuu.

sijawahi kupata gari ya kuvuta nikalivuta lakini siku nikipata nitatafuta gari nalivuta likiwa kwenye D then naweka switch ON
 
shida yako kubwa ni kwamba majaribio yote ulifanya gari iliwa inatembea.. swala ni gari uliyoipaki na unataka kuishtua utaanza vipi ili ufanikiwe... kumbuka ugumu wa kusukuma gari ikiwa kwenye D hadi upate hizo speed 20 hadi 40

kwahiyo unakubaliana na.mimi kuwa zikipatikana.nguvu za kutosha au ukalivuta kwa gari nyingine litawaka??
 
nguvu ya betri hata kwenye gari manualy huwa lazima iwepo mkuu.

kama utaweza pata nguvu au utaweza lisukuma mpaka kupata speed kubwa lazima litawaka tuu.

sijawahi kupata gari ya kuvuta nikalivuta lakini siku nikipata nitatafuta gari nalivuta likiwa kwenye D then naweka switch ON

cku unalivuta hilo gari ili ulishtue naomba uwe umejiandaa kabsa kufanya matengenezo kwny gear box...
 
kwanini unasema hivyo mkuu hembu nipe maelezo ya kifundi na nini kitaharibika au uharibifu utakuwaje na utasababishwa na nini?
 
anajaribu kutuatia nja mbadala wakati wa dharula gari ianweza kukuzimikia porini na kuna wa usukuma why not try? kwa kifupi napngeza kwa ubunifu mm nacukua hizi nondo zake huwezi jua kuna siku zitaniaidia!! Bravo LEGE!

Hivi ni kumbe mpaka uchezee selector ndio uwashe ? Kwa hiyo kila mwenye gari automatic ni fundi umeme ??? ,,umetumia njia hii kufikisha ujumbe kuwa wewe ni fundi umeme ,tumekuelewa wenye shida watakutafuta ,binafsi gari automatic sina mzuka nayo kabisa

anajaribu kutuatia nja mbadala wakati wa dharula gari ianweza kukuzimikia porini na kuna wa usukuma why not try? kwa kifupi napngeza kwa ubunifu mm nacukua hizi nondo zake huwezi jua kuna siku zitaniaidia!! Bravo LEGE!

Sawa mkuu chukua tu kama vipi kafanyie kazi ushauri wake sasa hivi kabisa ili ukiwa porini usipate tabu ,Mimi gari automatic sina kazi nayo mkuu
 
Msaada hapo kwa kuchomoa fuel pump na kuiweka on muda wote unaanzia wapi?

ukifungua box fuse utakuta kuna relay imeandikwa fuel pump relay unachokifanya unaichomoa hiyo na kuweka kipande cha waya kwenye pini.

au kama unaweza unabandua mfuniko wa relay na kuweka kitu ili kuifanya contact za relay zibane au unazibanisha machenically.

ila kama unakuwa unazifaham relay haiwezi kukupa shida sana
 
Back
Top Bottom