LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,123
- 9,168
- Thread starter
- #121
vp gari lililosimama ukataka kuwasha acha hiyo sleed 20 au 40 linawaka
mkuu lengo la maada hii ni hilo lakini mm kwa kuanzia nilianza na ukiwa kwenye speed then ndio nifuate njia ya pili.kwa upande wangu naona lazima liwake tuu.
coz mpaka.sasa sijaona kama kuna kitu kinachozuia injine isizunguke ikiwekwa gear D then nakuanza kusukumwa lazima engine itazunguka na kama itazunguka basi lazima itawaka tuu ilimradi ifikie speed husika.
then kuna kitu kingine ambacho gari za automatic zimewekwa ni jinsi fuel pump inavyo oparate wengi wanaweza feli njia hii kwa kugelishwa na fuel pump.
lakini kwa gari za toyota na uhakika hutoweza feli