Kuseti Internet/WAP kwenye simu za KICHINA,..please Help!!

yshima

Member
Sep 12, 2010
31
1
Jamani nina simu ya kichina ..lakini kila nikijaribu kuseti internet/wap nashindwa. Kinachonishinda hasa ni pale ninapo hitajika kuingiza IP adress...naombeni msaada kwa yeyote wenye ufahamu wa hili...hasa IP adress za mtandao wa zain tz,vodacom tz,nk...Thanks inadvance!!
 
Nashukuru nimefanikiwa kuseti WAP ya Vodacom kwa IP Adress uliyo nipatia. Kilicho baki ni kuseti WAP ya mtandao wa Zain tz, maana nilisha jaribu kuwapigia cutomer care(zain) kuwaomba hiyo IP Address ya zain lakini sikufanikiwa kuipata...NITASHUKURU SANA ukinisaia hilo!!!
Thanks
 
Back
Top Bottom