settings za internet kwa simu ya kichina?

cheeter

JF-Expert Member
Apr 19, 2011
475
155
naombeni configuration settings za Tigo ili nijiunge na internet kwa simu ya kichina..
inlude:
APn:
Primary Dns:
Secondary Dns:
Ip address:
Thanks
 
Kama Upo Dar Nenda Mliman City Tigo Watakuunganshia Bure,voda Na Airtel Wanazngua
 
ni PM na vocha ya voda ya tsh 3000 nikupe mambo ,haina haja ya kwenda mlimani city
 
tuma neno "internet nokia 6030" kwenda 15300, utafuata maelekezo ya kusave settings,

hapo unakuwa umedanganya aina ya simu yako ni nokia 6030 na setting zitakuaj bila wasiwasi na zitafanya kazi,
 
Kama unasimu ya kichina ni voda pekee ndio huwa wanakubali kuunga net kiurahisi kutokana na ip adress nizijuazo mim
 
wala usihangaike,piga tigo namba 100 kisha endelea hadi uongee na watoa huduma,atakuunganisha line yako moja kwa moja,hakuna haja ya setting
 
Back
Top Bottom