X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,610
- 1,810
- Thread starter
- #21
Inawezekana hii JF ni mojawapo la tawi la UWT.WanaJF nadhani tayari kuna tatizo la kutoaminiana. Kwasababu hatuonani sura wakati wa kutoa maoni na hatuelewi ni nani huyu kajibu, ni wa jinsia gani, dini gani, ana umri gani, chama gani, kweli ni mtanzania, kweli ni mzalendo (hata kama mtanzania), ni mfanyakazi wa Ikulu/bunge/usalama wa Taifa/Polisi/mfanyabiashara, yuko nchini au nje nk. nk. Hili limesababisha ukungu na pia giza kwenye mawazo ya wana JF. Hakika ipo haja ya kufikiri upya na kwa kina namna ya kuondoa hiki kiza "that is if we truly want JF to remain the home of great thinkers, where people dare to speak openly"