Kusema Kweli Ni Sehemu Ya Uadirifu

WanaJF nadhani tayari kuna tatizo la kutoaminiana. Kwasababu hatuonani sura wakati wa kutoa maoni na hatuelewi ni nani huyu kajibu, ni wa jinsia gani, dini gani, ana umri gani, chama gani, kweli ni mtanzania, kweli ni mzalendo (hata kama mtanzania), ni mfanyakazi wa Ikulu/bunge/usalama wa Taifa/Polisi/mfanyabiashara, yuko nchini au nje nk. nk. Hili limesababisha ukungu na pia giza kwenye mawazo ya wana JF. Hakika ipo haja ya kufikiri upya na kwa kina namna ya kuondoa hiki kiza "that is if we truly want JF to remain the home of great thinkers, where people dare to speak openly"
Inawezekana hii JF ni mojawapo la tawi la UWT.
 
Jamani kulikokoni humu jamvini????manake ni kama sielewi kinachoendelea....naomba mnielekeze maana mada maana thread imekuja kwa lugha tamu na ya ukali uliojificha yenye flow nzuri,there is smthg behind here!!! Jf tupe majibu kunyofoa article muhimu ya huyu bwana.......(kinywa siku zote huwa ni jumba la makelele)
 
Kama unayo irushe tena ,au hukuwahi kuihifadhi ,hapa saa ingine inaonekana wapo na woga ,sasa wakiondoa wewe unaiweka mpaka watazoea.

Maana wengine hutoka majumbani na visasi ,wakiwa na hasira kuwa akiingia kwenye kumodereti ataifuta topiki ya fulani au fulani,hivyo tokea nyumbani atokako anakuwa na mawazo hayo na akifika anafanya kweli,ila usichoke iweke tu ,mwisho wake ataisoma na kuifahamu kuwa ni mada murua kabisa,unajua saa ingine hawa mamodereta huingia na jazba ya kasumba za kichama au kidini ,au kama haitoshi huwa amevuta au amepuliza au zaidi itakuwa amekunywa mvinyo ,yote hayo yanawezekana sasa akiingia hapa huwa akili zake sio timamu na machale yanamcheza kuona kilichoandikwa ni hatari kwa usalama wa JF si unajua ukitafunwa na nyoka. Japo walitusifia baada ya kutoka Rupango kuwa sasa JF ni safe heaven na imekamilika kidemokrasia ,lakini ukiangalia utaona imekuwa ni sehemu iliyovamiwa na viwavi jeshi.
 
Nimekuelewa mkuu na nalifanyia kazi wazo lako.
 
Kaazi kweli kweli, lol
 
Kama unayo irushe tena ,au hukuwahi kuihifadhi ,hapa saa ingine inaonekana wapo na woga ,sasa wakiondoa wewe unaiweka mpaka watazoea....

Wameirejesha baada ya kuona nimeiweka tena, ghafla wameiunganisha na ile walio hiweka kizuizini...!

JF...! very sad

Gonga Hapa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom