kupatwa kwa mwezi leo tarehe 25 april 2013 kuanzia saa tano na dakika nane (11:08 PM)

ambili

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
243
15
Kwa wale wadau wanaopenda kuangalia astronomical events, basi leo inatarajiwa kushuhudiwa kupatwa kwa mwezi kuanzia saa tano hadi saa saba usiku huu, stay tuned.

source: Apr 25, 2013 Penumbral Lunar Eclipse



path720.png
 
Wadau mnaweza kwenda nje sasa taratibu naona mwezi unaanza kumezwa na kivuli cha dunia
 
if it's not true u will pay for my time,mpaka sasa shngo juu ila hamka kitu!
 
if it's not true u will pay for my time,mpaka sasa shngo juu ila hamka kitu!

Mkuu angalia vizuri mduara haupo sawa ,haukuwa hivi nusu saa iliyo pita. Give it sometime, mwenyewe utaniambia.
 
Back
Top Bottom