Kupanda kwa nauli kuna faida zake hivyo tuvumiliane

NANCA

Member
Jun 23, 2023
92
100
Nyie mnaolia kupanda kwa nauli mnataka sheli za olypiacos, blue coast na lake oil zimuuzie nani mafuta? Nyie mnapolipa nauli kubwa ndo makampuni ya mabasi yanapokua na pesa nyingi za kujaza full tanki na kupelekea masheli hayo na mengine kua na mzunguko mkubwa, kukua na hatimae kuongeza ukwasi wake na hata kuvutia masheli mengine.

Watu wanahoji oooh mbona mafuta yameshuka bei? Ndio yameshuka lkn tunacheza na elasticities ambapo tumeamua kuongeza purchasing power parity ya wateja wetu (mabasi) kwa kuongeza bei ili waweze kunnua mafuta mengi na hatimae kuchochea uchumi na biashara, au ww huoni mashelli mapya yanavyochipukia Kama uyoga? Hii yote ni sbbu wametengenezewa soko na mazingira ya uhakika katika biashara hiyo

Sasa nyie mkitaka twende kwa nauli za bei ya mchicha wa hamsini hamsini mnadhani masheli hayo yataendelea? Mnadhani mabasi ya kina kingi koki na mtaka yataendeleaje? Au mnataka walio na hisa katika kampuni za mabasi waishije? Au mnataka wafirisike ili mwishowe wageukie twiga na chura wa kihansi? Tunapashwa kupongeza juhudi na kuvumilia ktk wakati wa mpito hasa wakati huu ambao dunia inapitia kipindi kigumu sabb ya vita vya urusi na gaza. Kwani mmevumilia mangapi hadi mshindwe kuvumilia hili? Au mnataka wenye masheli na mabasi wafirisike ili wafanane na sisi? Acheni roho mbaya ndugu zangu, tupendane na upendo ni pale unapokubali kuvumilia maumivu kwaajili ya mwingine

Tena mjiandae kisaikolojia maana Putin na Mohamed bin Salman wekutana ili kushawishi wanachama wa OPEC+ kupunguza uzalishaji wa mafuta ambao direct utasababisha bei kupanda.

Nasema mjiandae sbbu mimi kusafiri safari ndefu ni kila baada ya miaka mitano, chakula nachokula sanasana ni viazi vitam vya kujilimia mwenyewe, ni mkulima wa jembe la mkono, matibabu ya afya ata sio mbali ni kwa mguu. Kiufupi safari zangu nyingi ni mguu, vyakula vyangu vingi ni vya kujioteshea tena kwa mbegu zilezile hivyo gharama za mafuta au usafiri hazinihusu ila zingekua zinanihusu basi nsingekua kama nyie wa kulalamikia uvunguni bali ngefika kwa mwenye nchi straight maana ni kweli nauli zinapanda KIBEPARI
 
Nimetoka kapa kwa kweli
 
Kuna faida kwa wafanyabiashara wa usafiri na usafirishaji tu, lakini siyo kwa abiria.
 
NANGA akili zako bure beleshi. I'm
Screenshot_20231129-204551.png
 
Takataka tupu……..
 
Back
Top Bottom