Kuonyesha Chaneli Za Tz kwny Visimbuzi.

Naomba Kufahamishwa,hatua walizofikia kampuni za AzamTv na Dstv katika kuonyesha channel za Ndani
Iko hivi leseni ziko aina mbili yaani paytv na local,wenye local wana nafasi ya kuuza na Chanel za ziada shart kampuni isajiriwe tz Iwe na miundombinu ya ardhini(DTT yaani antenna) zile Chanel 5 bure ni zile zilizo na leseni ya kitaifa,paytv Chanel ya bure ni mbili TBC utalii,pia mitambo yao hawalazimishwi kuweka nchini wana Uhuru popote,labda sheria ibadirike bila hivyo hali ndiyo hiyo mkuu,karibu kwa swali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom