Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
Kuna dada mmoja tumetokea kuzoena kiasi cha kuwa na relationship. Kabla ya kumegana, katika kuandikiana sms nikamwambia nitakupitia jioni ukanionjeshe. Dada wa watu alinimind sana akasema aniojeshe kwani karanga? Akasema halafu ukishaonja? Inaonekana kumbe muonjaji tu! Nilifanya kazi ya ziada kumbembeleza akanielewa mpaka "kunionjesha". Baadae akaniambia alimuuliza rafiki yake mmoja BF wako akikwambia umuonjeshe utamwambiaje? Rafiki yake akamwambia yeye ataona poa tu kwani ni wapenzi na haina maana mbaya, kwa hiyo atamuonjesha.
Jamani, sisi wengine tumezoea kuropoka ingawa si kwa nia mbaya. Je nilifanya vibaya kumwambia vile mpenzi wangu?
Jamani, sisi wengine tumezoea kuropoka ingawa si kwa nia mbaya. Je nilifanya vibaya kumwambia vile mpenzi wangu?