Kuondolewa kwa Lowassa, Chenge na RA - CCM na hatima yake na yao

Umedhalilishwa sana, umefedheshwa sana, umeonewa sana!!kwa heshima ya chama chako na serikali yako, there is a wish u grant na hiyo ni uwaziri mkuu ila bado wana endelea kukuletea ufukunyuku, ukakaa kimya bunge liloisha bila kuchangia kwa maandishi wala kwa kuzungumza na bado hawajatosheka.

Dawa ni nawe kuanza kuzungumza yale yote unayoyajua, umewaheshimu wanakuvunjia heshima, umenyamza wao wanapiga kelele, ukianzisha move zako wao wana block kama ubaya ubaya tu sasa mkubwa waanzishie
 
EL,
Umedhalilishwa sana, umefedheshwa sana, umeonewa sana!!kwa heshima ya chama chako na serikali yako, there is a wish u grant na hiyo ni uwaziri mkuu ila bado wana endelea kukuletea ufukunyuku, ukakaa kimya bunge liloisha bila kuchangia kwa maandishi wala kwa kuzungumza na bado hawajatosheka.

Dawa ni nawe kuanza kuzungumza yale yote unayoyajua, umewaheshimu wanakuvunjia heshima, umenyamza wao wanapiga kelele, ukianzisha move zako wao wana block kama ubaya ubaya tu sasa mkubwa waanzishie kabla ya kukuvua nguo mbele za wakwe zako
 
Nionavyo mimi kwa uchambuzi wa haraka mpango mzima wa kuvuana gamba ndani ya CCM ni siri na fasihi ambayo wengi hawaijui. Ninaona JK maana yake ya gamba ni lile wingu la kuzuia mteule wake wa kugombea urais 2015 na si kama wengi wanavyokiria sasa. Mapendekezo ya kamati yake huru iliyoongozwa na katibu mpyo bwana WM ya wastaafu (Akiwemo Sumaye na EL) kuwaondoa CC ili waunde baraza la ushauri ndipo siri kuu ilipojificha. Kama kawaida CCM watakuja na kale kautaratibu kao ka kumpata mgombea kutokea CC. Ili mazingira yasiwe magumu, upanguaji wa CC ya sasa na uteuzi mpya unaonyesha kuwepo weak figures nyingi na moja iliyoandaliwa ikichomoza, na ukizingatia jamaa wa foreign affairs ameondolewa CC. Wapiga kura wameandaliwa sasa. Sura mpya za sasa hizi hapa.
Safu Mpya

WAJUMBE WAPYA WA HALMASHAURI KUU
Peter Kisumo
Mwigulu Nchemba
Januari Makamba
Ally Juma Shamhuna
Wilson Mukama
Emmanuel Nchimbi.

WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU WALIOTEULIWA KAMATI KUU Pindi Chana
Abdulrahman Kinana
Zakhia Hamdan Meghji
Abdallah Kigoda
Steven Wassira
Costansia Buhiye
William Lukuvi
Dk. Hussein Ali Mwinyi
Dk. Maua Daftari
Samia Suluhu
Shanmsi Vuai Nahodha
Omary Yusuf Mzee
Prof. Makame Mbarawa
Mohamed Seif Khatibu

SEKERITARIATI
Nd. Wilson Mukama- Katibu Mkuu

....
Naomba kutoa hoja.

mkuu hapo kwenye RED, watu walishajua muda mrefu, ndo maana hata skendo la mabomu hakuwajibiswa! si unajua nchi inaendeshwa kwa fadhila hii, mzee wake ndo alimtoa jamaa porini akamleta mjini..ila itakula kwao, CDM watachukuwa nchi....
 
Chama cha Mapinduzi kimemaliza/Kimeanza kujivua gamba (kwa Mujibu wao), na kwao kujivua
gamba ni vimabadiriko vidogo ambavyo wamevifanya kwenye uongozi wa kichombo kimoja tu, in fact
kwenye admistration positions za chama hicho tofauti na mategemeo ya wananchi ambao
walitegemea kuona chama hicho kikitangaza kufanya U-Turn kuanzia kwenye sera zinazosimamia
serikali katika maswala hasa ya uchumi, elimu, afya, miundo mbinu, utawala wa sheris na uwajibikaji
nk ili kuleta unafuu na hatimaye kuboresha Maisha yetu.

Naomba kuwakumbusha Watanzania wenzangu kwamba, tusikate tamaa bali tuendelee
na msimamo wetu ule ule tulioudhihirisha kwenye uchaguzi mkuu uliopita wa kujivua gamba
tulilonalo ambalo limesabisha sisi kuwa ni watu wa kuchekwa na nchi majirani kutokana na kuwa
na rasilimali rukuki zisizo na mfano katika ukanda huu wa africa mashariki na kati lakini bado
tunaishi maisha ya kifukara kama vile tunalaana huku viongozi wetu wakubwa wa kitaifa bila aibu
wanasema kwamba hawaelewi kwa nini tuko kwenye hari mbaya na ya kusikitisha namna hii.

Naomba tuendelee kuyarekodi matendo yao ili tusisahau, kwamba hata pale wanapotuambia
kwamba wanajirekebisha bado wanaendelea kufanya mambo ya kisanii kwa ajiri ya
kutufurahisha kwenye TV na kwenye vyombo vya habari.

Kwa muda mrefu watu hawa tumewapa/wamejitwalia mamlaka ya kusimamia maisha yetu
lakini wameshindwa kutusaidia, wananchokifanya ni kutusukumiza kwenye lindi la umasikini
huku wao wakineemeka kwa rasilimali zetu.

Hawa ndio gamba letu, tujivue gamba hili taratibu kama tulivyoanza mpaka litoke viuuri lisituache
na vidonda. Tuendelee kujivua CCM
 
ushauri wa bure,ccm fukuzeni hawa wagema ulimbo watatu halafu nadhani vitega uchumi mnavyo na wanachama mnao kwahiyo changisha kila mwanachama Tsh 10000/= mkiwa na wanachama milioni kumi mnakuwa mko mbali kwa mwaka,ongezeni vitega uchumi,fanyeni hivi kwa kila mwaka,mkifanikiswa naomba hela yangu ya ushauri.njia hii inaweza ikatumiwa na chama chochote kile ila malipo kwa hii huduma yangu mbovu ni lazima msiponilipa hamtofanikiwa.lol
 
wemekusema sana.! Wamekushutumu sana walimwaga maji ukakaa kimya.umenawa ili uanze kula wamemwaga mboga.sasa nawewe mwaga ugali kama mbway mbway huu ndio muda muafaka wakusema ukweli kila kitu

The could be Lowassa's Speech;

Mheshimiwa mwenyekiti, chama chetu ni chama kikongwe,na mkutano huu ndiyo mahali pa demokrasia pakubwa. Hapa ndipo penyewe. Kama katika chombo hiki haki haitaonekana kutendeka chama chetu hakitakwenda vizuri. Hapa ndipo tunategemea tuonyeshane umakini wetu, umahiri wetu katika mambo ya demokrasia. Kwa hiyo nilichofanyiwa napenda kuweka kumbukumbu sawa kwamba naona si sahihi, nimefadhaika sana, nimedhalilishwa sana, nimeonewa sana katika hili. Maana zimechukuliwa tuhuma zikaelezwa hapa kwamba hivi ndivyo ilivyo. Mimi sijaulizwa. Kulikuwa na shida gani kuniuliza. Kwa nini muamini minong'ono ya mitaani kuliko maelezo yangu. Sisi wote hapa ni wanasiasa tukianza kuamini minong'ono ya mitaani niambieni mwanasiasa atakayesimama.

Mheshimiwa Mwenyekiti, mwaka 2008 waliutaka uwaziri mkuu wangu, nikawapa lakini bado wananitafuta. Na sasa nimetafakari kwa makini sana jambo hili nikajiuliza hivi kulikoni mpaka watu wazima wenye uwezo wao, watu maarufu wenye heshima zao, mpaka wafike mahali waache mambo ya msingi waanze kunifuatafuata? Mimi nadhani there is a wish which I am going to grant in three months time, ni Uraisi 2015.
 
hizo ni ndoto tu huyu bado anaendeleza ubabe kwani kwao ni mfalme na ni rais wa wamasai, alipopata fisadi yeye akawambia ukitoka uwazili mkuu unaingia Ufisadi Nyangumi baadaye Ufisadi Papa hapo tu ndio unapata Uraisi 2015 he heeee
 
Haya ni maoni ya msomaji wa gazeti la mwananchi la leo....

"Ngosha 2011-04-13 09:46
Ni kikwete huyo huyo aliyepita kwenye majimbo akiwanadi mafisadi kuwa wanafaa, kwa mfano; alipita akimnadi Mramba kuwa anafaa pia akina masha, Rostam,Chenge, Lowasa and the like. Eti leo anakujakusema anavua gamba gamba gani hilo? huu ni unafiki na ulimbukeni na kulewa madalaka! Umnadi mtu mchafu harafu badae uje useme unajivua gamba! mimi binafsi hainiingii akilin! I think watanzania tufikie mahali tutambue kuwa tunachezewa mchezo mchafu! Harafu viongozi wazuri CCM wanapatikana kwenye ukoo tu! Akitoka mwinyi anaingia mwanae, akitoka makamba anaingia mwanae, akitoka kikwete utashangaa SHALOBALO Lizy anaingia! Tunata upright leaders! " Quote
kama nyinyimmewapitisha kwenye kura za maoni na bado mkawapigia kura za ubunge, JK ni nani mpaka hata awazuie?
 
mimi nawashauri Chadema wawachukue wakina EL, AC na RA , LAKINI kwa MASHARTI. Kwamba hawatapewa wadhifa wa juu kwenye Chama NA waje na wakati wanapokea kadi za uananchama WAKABIDHI DOCUMENTS ZOTE dhidi ya madudu ya serikali na chama tawala.

So what?
 
wemekusema sana.! Wamekushutumu sana walimwaga maji ukakaa kimya.umenawa ili uanze kula wamemwaga mboga.sasa nawewe mwaga ugali kama mbway mbway huu ndio muda muafaka wakusema ukweli kila kitu


Du! Kazi ya kumsafisha jamaa ni ngumu sn. Ubalozi mliopewa ni mgumu sn lkn jitahidini hivyo hivyo mnaweza mkafanikiwa. Kweli Tz ni zaidi ya uijuavyo.
 
mimi nawashauri Chadema wawachukue wakina EL, AC na RA , LAKINI kwa MASHARTI. Kwamba hawatapewa wadhifa wa juu kwenye Chama NA waje na wakati wanapokea kadi za uananchama WAKABIDHI DOCUMENTS ZOTE dhidi ya madudu ya serikali na chama tawala.

We inakubidi ujivue gamba.
 
Baada ya kujivua gamba nategemea kurudi ccm.
Niliasi chama miaka 20 sasa na kutolipia kadi yangU Ilinifanya nisiwe mwanachama wa ccm mwaminifu.
sikushiriki kura za maoni za CCM kwa muda wote.
sababu kubwa
kUWEMO KWA LOWASA NA ROSTAM NDANI YA CCM.
NASUBIRI BAADA YA MIEZI 3 KURUDI CCM KWA KISHINDO
 
kama Edward L, chenge , Rostam ni Magamba au Magalasha yaliyoitenganisha serikali na wananchi wake , sasa aka ka gamba Meghji na Nimrod Mkono wamebaki kufanay nini, je, Huyu Mkono na vijisent vyake si vitaibua ufisadi mpya maana haishiwi dili huyu hasa kwnye mikataba feki na ya kufilisi nchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom