Kuondolewa kwa Lowassa, Chenge na RA - CCM na hatima yake na yao

NSSF Damu usiache ukweli na hali halisi ya nchi yetu. Kwa kweli EL ameshafika ukingoni kisiasa, aliandaa UVCCM kumponda Sumaye hatimaye ngoma imegeuka. Ukae ukijua JK ana nguvu ya dola, EL apige hesabu ya namna ya kurudisha kadi pamoja na rafikize RA na Chenge. Masikitiko ni kuwa harakati za akina EL zimemponza mzee wa Bumbuli. Hatahivyo sitashangaa EL akarudi kutumia kanisa limtee kuwa kaonewa na hakustahili kutoswa kwa uwazi namna ilivyoyokea
 
Hii inaitwa kujitolea muhanga ili kidogo aanze kukubalika kama itawezekana si mnajua siasa ni mchezo mchafu.....soma maneno haya ya lowasa...."urafiki wetu haukuanzia barabarani kwa hiyo hakuna anayeweza kututenganisha mimi na kikwete".....alisikika kikwete...
 
Haya ni maoni ya msomaji wa gazeti la mwananchi la leo....

"Ngosha 2011-04-13 09:46
Ni kikwete huyo huyo aliyepita kwenye majimbo akiwanadi mafisadi kuwa wanafaa, kwa mfano; alipita akimnadi Mramba kuwa anafaa pia akina masha, Rostam,Chenge, Lowasa and the like. Eti leo anakujakusema anavua gamba gamba gani hilo? huu ni unafiki na ulimbukeni na kulewa madalaka! Umnadi mtu mchafu harafu badae uje useme unajivua gamba! mimi binafsi hainiingii akilin! I think watanzania tufikie mahali tutambue kuwa tunachezewa mchezo mchafu! Harafu viongozi wazuri CCM wanapatikana kwenye ukoo tu! Akitoka mwinyi anaingia mwanae, akitoka makamba anaingia mwanae, akitoka kikwete utashangaa SHALOBALO Lizy anaingia! Tunata upright leaders! " Quote
 
hoja mpaka aipate maana siamini kabisa kama mwenye kaya hakuhusika ili kama kuchafuka wachafuke wote
 
Lowassa kuwa mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ni baada ya kusoma alama za nyakati? Alifanya hivi ilikuwa karibu na kuvimiliki vyombo nyeti vya nchi na serikali ya JK?
 
Haya ni maoni ya msomaji wa gazeti la mwananchi la leo....

"Ngosha 2011-04-13 09:46
Ni kikwete huyo huyo aliyepita kwenye majimbo akiwanadi mafisadi kuwa wanafaa, kwa mfano; alipita akimnadi Mramba kuwa anafaa pia akina masha, Rostam,Chenge, Lowasa and the like. Eti leo anakujakusema anavua gamba gamba gani hilo? huu ni unafiki na ulimbukeni na kulewa madalaka! Umnadi mtu mchafu harafu badae uje useme unajivua gamba! mimi binafsi hainiingii akilin! I think watanzania tufikie mahali tutambue kuwa tunachezewa mchezo mchafu! Harafu viongozi wazuri CCM wanapatikana kwenye ukoo tu! Akitoka mwinyi anaingia mwanae, akitoka makamba anaingia mwanae, akitoka kikwete utashangaa SHALOBALO Lizy anaingia! Tunata upright leaders! " Quote

Mjombajona,

Hata sikulisoma leo, nashukuru kuwa wengi wanafikiri kama ninavyotafakari mambo ya CCM.

Usishangae sana, JK anaweza kuwaambia baadae kuwa ni ajali ya kisiasa
 
Ninawasi juu ya 'kauli na matendo ya JK' hususan katika mambo mazito ya chama/nchi, mara nyingi huwa HAMAANISHI au huwa ANAPUUZIA.
 
wemekusema sana.! Wamekushutumu sana walimwaga maji ukakaa kimya.umenawa ili uanze kula wamemwaga mboga.sasa nawewe mwaga ugali kama mbway mbway huu ndio muda muafaka wakusema ukweli kila kitu

acha kumchuuza mwenzio, nchi zetu hizi? Atapotea sasa hivi, au umemsahau kolimba?
 
Haya ni maoni ya msomaji wa gazeti la mwananchi la leo....

"Ngosha 2011-04-13 09:46
Ni kikwete huyo huyo aliyepita kwenye majimbo akiwanadi mafisadi kuwa wanafaa, kwa mfano; alipita akimnadi Mramba kuwa anafaa pia akina masha, Rostam,Chenge, Lowasa and the like. Eti leo anakujakusema anavua gamba gamba gani hilo? huu ni unafiki na ulimbukeni na kulewa madalaka! Umnadi mtu mchafu harafu badae uje useme unajivua gamba! mimi binafsi hainiingii akilin! I think watanzania tufikie mahali tutambue kuwa tunachezewa mchezo mchafu! Harafu viongozi wazuri CCM wanapatikana kwenye ukoo tu! Akitoka mwinyi anaingia mwanae, akitoka makamba anaingia mwanae, akitoka kikwete utashangaa SHALOBALO Lizy anaingia! Tunata upright leaders! " Quote

Very true, I doubt from JK's actions. Kwa kuwa walifanya madhambi pamoja...hili litamrudia vibaya kabla ya 2015, take my words.
 
Chenge mchango wake ni mdogo sana, anajua kuchota zaidi ya kusaidia chama kujihimarisha, RA kwa upande mwingine ni mzee wa mikakati (mingi ni ya wizi). RA amekuwepo kwenye kila wizi mkubwa hapa nchini, ninapo msifu mimi , amejitahidi kuhusisha watu tofauti kwenye kila deal, kuanzia EL (Richmond) , Viongozi wa Usalama wa Taifa (EPA), Viongozi wa Jeshi (Meremeta etc), etc. Hapa anapata marafiki wengi (wakumlinda) lakini vile vile anatengezena maadui kupitia wivu waki binaadamu, pale wanapo ona kwa nini na wenyewe hawajashilikishwa kwenye madili mengine!
 
kama akiweza kuweka viongozi wa jeshi mfukoni akisaidiwa na Chenge na RA basi JK anakazi nzito. Atajikuta kabaki na green guards na chipukizi wa chama kumlinda!
 
Nionavyo mimi kwa uchambuzi wa haraka mpango mzima wa kuvuana gamba ndani ya CCM ni siri na fasihi ambayo wengi hawaijui. Ninaona JK maana yake ya gamba ni lile wingu la kuzuia mteule wake wa kugombea urais 2015 na si kama wengi wanavyokiria sasa. Mapendekezo ya kamati yake huru iliyoongozwa na katibu mpyo bwana WM ya wastaafu (Akiwemo Sumaye na EL) kuwaondoa CC ili waunde baraza la ushauri ndipo siri kuu ilipojificha. Kama kawaida CCM watakuja na kale kautaratibu kao ka kumpata mgombea kutokea CC. Ili mazingira yasiwe magumu, upanguaji wa CC ya sasa na uteuzi mpya unaonyesha kuwepo weak figures nyingi na moja iliyoandaliwa ikichomoza, na ukizingatia jamaa wa foreign affairs ameondolewa CC. Wapiga kura wameandaliwa sasa. Sura mpya za sasa hizi hapa.
Safu Mpya

WAJUMBE WAPYA WA HALMASHAURI KUU
Peter Kisumo
Mwigulu Nchemba
Januari Makamba
Ally Juma Shamhuna
Wilson Mukama
Emmanuel Nchimbi.

WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU WALIOTEULIWA KAMATI KUU Pindi Chana
Abdulrahman Kinana
Zakhia Hamdan Meghji
Abdallah Kigoda
Steven Wassira
Costansia Buhiye
William Lukuvi
Dk. Hussein Ali Mwinyi
Dk. Maua Daftari
Samia Suluhu
Shanmsi Vuai Nahodha
Omary Yusuf Mzee
Prof. Makame Mbarawa
Mohamed Seif Khatibu

SEKERITARIATI
Nd. Wilson Mukama- Katibu Mkuu

....
Naomba kutoa hoja.
 
Mimi sikutaka aachie ukatibu mkuu
Pumba zake zilisaidia sana kuidhoofisha ccm na serikali kwa ujumla ikawa rahisi kwa upinzani kukubalika

Merytina, nafikiri km ni kazi ameshaifanya sana ya kuidhoofisha CCM....... nami ningependa aendelee kuiua CCM japo ndo maamuzi yashafanywa...........
 
Lowassa anasiri nzito, akiitoa ni nchi kutetemeka based on the TOP current leadership.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom