Kuoga baada ya Faragha

Kuoga baada ya faragha ni muhimu na inapendeza ikiambatana na kutoa haja ndogo kidogo (kukojoa), hii inasaidia kusafisha njia na kuua wadudu wasababishao UTI hasa kwa akina mama.
 
nyie peaneni mapointi lakini ndo nimesema.....siogi....
hivi mnajua baridi iliyopo Yaeda sasa hivi nyie.....?

Hold on! Kuna tofauti kati ya kuoga mwili mzima na maji yanayotirika mwilini na kusafisha nyeti kwa Mwanamake aka douching. Hii ni lazima kabla na baada ya ngono kwa Mwanaume na Mwanamke. Halafu kuna kunawa au kutumia kitambaa au taulo na maji vuguvugu kuondoa jasho na uchafu mwili mzima kama upo sehemu ya baridi. Sasa wewe hata kusafisha nyeti baada ya ngono hutaki sababu ya baridi?
 
Back
Top Bottom