Mwanamke/mwanamume ambaye hakuolewa/hakuoa hata kama ni tajiri, au ana cheo kwa hakika ni "Maskini na Mhitaji"
"Nisingependa kuishi bila kuoa hata kwa usiku moja tu, hata kama ningekuwa namiliki dunia yote!"
Kweli au si kweli..
fl1 umenikumbusha kidhungu cha question tags!
Jane took your book - tookn't she?
She goes to school everyday- goesn't she lol!
Bwt
sidhani kama ni watu wote wanaoa ama kuolewa! Na kama ingekuwa ni kweli mbona wapo wanaotoka kwenye huo muunganiko na hawatamani kurudi tena? Labda kwa wanaume
wakati naolewa ningekuwa na akili hii ya sasa, nahic nicngeolewa! mbona c lazima ni maamuzi tu na hii kasumba ya kutafcr vibaya ambao hawajaolewa/oa ndio inafanya wa2 wajichomeke ili mradi tu.
FL1 umenikumbusha kidhungu cha question tags!
Jane took your book - tookn't she?
She goes to school everyday- goesn't she lol!
BWT
Sidhani kama ni watu wote wanaoa ama kuolewa! Na kama ingekuwa ni kweli mbona wapo wanaotoka kwenye huo muunganiko na hawatamani kurudi tena? Labda kwa wanaume
wakati naolewa ningekuwa na akili hii ya sasa, nahic nicngeolewa! Mbona c lazima ni maamuzi tu na hii kasumba ya kutafcr vibaya ambao hawajaolewa/oa ndio inafanya wa2 wajichomeke ili mradi tu.
Kwani sasa hivi kinachokufanya uendelee kuolewa ni nini?
Kwa nini unasema hayo? hebu tueleze vizuri,unamaanisha ndoa ni mbaya.Kwa sababu watu wengi ambao hawapo kwenye ndoa wanamuomba Mungu usiku na mchana wapate ndoa,mie naona kama maneno yako ni makali yanakatisha tamaa.cja complain lolote kuhusu mie kuolewa lakini nikasema ningekuwa na akili niliyonayo sasa nicngeolewa....kwasasa coz imeshatokea then nasonga mbele yakinishinda njiani nita2a mzigo....
ZD mie ndo huwa naona kila mtu aingie mwenyewe akaicheki atakavyoikuta huko ndani ni juu yake kuiboreshaKwa nini unasema hayo? hebu tueleze vizuri,unamaanisha ndoa ni mbaya.Kwa sababu watu wengi ambao hawapo kwenye ndoa wanamuomba Mungu usiku na mchana wapate ndoa,mie naona kama maneno yako ni makali yanakatisha tamaa.
ZD mie ndo huwa naona kila mtu aingie mwenyewe akaicheki atakavyoikuta huko ndani ni juu yake kuiboresha
na sisi wanawake katika bible tumeandikiwa kabisa
" mwanamke mpumbavu huivunja ndoa kwa mikono yake mwenyewe " kama sijakosea kunukuu
Kwa nini unasema hayo? hebu tueleze vizuri,unamaanisha ndoa ni mbaya.Kwa sababu watu wengi ambao hawapo kwenye ndoa wanamuomba Mungu usiku na mchana wapate ndoa,mie naona kama maneno yako ni makali yanakatisha tamaa.