Jitahidi usifike miaka 30 bila kuoa au kuolewa

Kijana LOGICS

Senior Member
Dec 16, 2023
140
525
Sio lazimaa uoe au kuolewa na harusi kubwa Ila usifike miaka 30 ukiwa single.

Maisha ni kama kamari kuna kupata na kukosa usiogope kuoa kwa sababu uchumi haupo sawa.

kumbuka unaweza kuoa ukiwa maskini ukatajirika na pia unaweza kuoa ukiwa tajiri ukafilisika pia.

Bro kama ukipata soulmate wako usichelewe. Anza nae maisha hata kama mtakua mnaishi kwa room moja muanzie hapo mkue pamoja.
 
Haya mawazo ya kutoa umuhimu na uzito mkubwa kwny kuoa au kuolewa sijui kabla ya miaka 30, ni...

Mawazo ya zama za giza, mawazo ya kijinga na kipuuzi, yaliyo kwny jamii za watu wajinga.

Ni mawazo yaliyojaa ukengefu, upogo na upofu, wa jamii masikini hasa kutoka dunia ya tatu.

Ni mawazo finyu, yanayotokana na uelewa finyu wa dunia na maisha kiujumla.

Mawazo mufilisi kama haya huwezi kuyakuta kwny jamii zilizoendelea kifikra, Kama vile Ulaya, Korea na Japan.
 
D
Sio lazimaa uoe au kuolewa na harusi kubwa Ila usifike miaka 30 ukiwa single.

Maisha ni kama kamari kuna kupata na kukosa usiogope kuoa kwa sababu uchumi haupo sawa.

kumbuka unaweza kuoa ukiwa maskini ukatajirika na pia unaweza kuoa ukiwa tajiri ukafilisika pia.

Bro kama ukipata soulmate wako usichelewe. Anza nae maisha hata kama mtakua mnaishi kwa room moja muanzie hapo mkue pamoja.
Dunia ilipo kwa Sasa ukiwa na furaha tu na maisha yako inatosha. Haya Mambo ya kuoa na kuolewa si lazima Sana. Tafuta furaha. Yaani umnunue mtu aje kukupa furaha? Happiness isn't guaranteed in marriage.! Tafuta watoto kwa idadi unayotaka huko nje then furahia maisha yako bila kero za mtu mwingine. Kwanini uwe committed kwa mke au mme? Faida Ni Nini hasa? Ukihitaji, unakwenda unatafuta mmoja mzuri unamaliza unarudi kwako maisha yanaendelea.
 
Sio lazimaa uoe au kuolewa na harusi kubwa Ila usifike miaka 30 ukiwa single.

Maisha ni kama kamari kuna kupata na kukosa usiogope kuoa kwa sababu uchumi haupo sawa.

kumbuka unaweza kuoa ukiwa maskini ukatajirika na pia unaweza kuoa ukiwa tajiri ukafilisika pia.

Bro kama ukipata soulmate wako usichelewe. Anza nae maisha hata kama mtakua mnaishi kwa room moja muanzie hapo mkue pamoja.
Mkuu wewe umeongea vyema kabisa, sio wale huja na matusi kuwatusi waliofika 30 bila bila. Bandiko lako liko sawa, na umesema, jitahidi, maana yake uweke jitihada maka zitajibu iwe hivyo. Bandiko humble kabisa
 
Back
Top Bottom