Kuoa mwanamke wa kichaga

Sasa wametoa sababu gani ambazo ni za msingi? na katika sababu hizo walizozitoa zinakugusa moja kwa moja wewe au? na muoaji hasa ki utaratibu ni ukoo wenu au wewe mwenyewe? kaa nao uwaulize vizuri wakueleze sababu ni nini kisha ipime kama ni ya msingi, pia muombe Mungu maana haya mambo yanakuaga na vita sana, baadae ndio utajua hilo hasa ukisha oa

tatizo la familia zetu za kiafrika. Mke uoe wewe lakini baba, mama, mjomba shangazi, kaka dada, bibi nyanya babu jirani wanataka kufanya uamuzi kama wanaoa wao!
Mradi binti ana tabia nzuri,mchamungu,anajali familia yako mnapendana inatosha. Khs kipato mnapaswa kutafuta ili kesho na keshokutwa atakayebakia aweze kumudu kutunza familia!

Km umependa leo unaweza penda kesho.!tafuta mrembo asiye na kikwazo chochote kwenu.mambo yakiharibika utakimbilia wapi? Umiza moyo 4 a while.,kisha nyakua kwingine

Jamni hii ni kweli kabisa, dada zetu wa kichaga hamjui kitu kabisa.

Nashangaa mmekulia mjini, mmejichanganya lakini badooo kabisa!

dada zetu wa kichagga wapo busy na Masomo na Economic issues muda wa kufundwa wamekosa kabisa!

Mbona mwenzenu nna mchagga lkn namfaudu ile mbaya? nyie inakuwaje mnalalamiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiika!

mmesema mengi lakini sijui kama kwasasa hivi kuna mtu asiyependa pesa na tukienda kwenye sekta husika za hao wanaofanya ngono kwa pesa tukawauliza kabila kwa sasa hivi tutawakuta hata wamasai wakati zamani wamasai walikuwa ni mkuki mlangoni mambo yanaendea but now shee bila pesa mi sikupi

but nachotaka kukushauri wewe kaka mwenye mchumba asiyetakwa na ndugu zako ni vyema ukasikiliza moyo wako wewe ndio mwenye maamuzi na wewe ndio unamjua msichana wako kama unaona huwezi kuendana nae ni bora ukamwambia na kama unaona mnaweza kumudu maisha yenu na watoto wenu wajao usijali cha baba wala mama wewe oa maisha yenyewe haya hakuna mtu atakaye kuja kukulelea watoto wako ukiwa umetoweka ni nyie kuweka mipango mizuri ya baadae.

Afu wewe kama nakujua vile... Hujawahi kuwepo humu jamvini kweli kabla ya juzi..?

the best solution, mwambie mchumba wako abadili kabila!!!!!! vikwazo kwisha. ili usioe uchaga wanaounyanyapaa hao ndugu zako.

sasa mbona tupo kwenye gurudumu moja? na sababu zao haswa ni nn, na ni mchaga tu ndio hawataki au wanataka uoe kabila lako tu?

mchaga tu ndio sumu eti,wanatoa mifano ya wandugu waliooa wachagga b4 wakawekWa under control,then wanasema wachaga wana destur ya ku separate ukoo na kum dominate mwanaume na mwnaume ana base totaly on his wife's destination nk.

Muache dada yangu hasije pata taabu bure kwenu huko kwa unyanyapaa..dada wa watu utakuta mchagga jina tu kakulia mjini maisha yake yote ka mtoto wa kizaramo, lakini kwa vile ana surname ya 'Riwa' basi inakuwa taabu! Tumechoka waChagga bana..Wezi sisi, Wauaji sisi, Wakabila sisi, Chadema sisi...aargh!

kweli wadada wa kichaga tuna rock! Wanatupenda, wanatuogopa, hapo chacha! ILA MWATAKIWA KUJUA MWANAMKE MMOJA WA KICHAGA ANAUWEZO MKUBWA KULIKO WANAUME 5 WA KABILA ZINGNE KTK MAAMUZI NA UZALISHAJI MALI.

Similar Discussions

Back
Top Bottom