Kuoa mwanamke wa kichaga

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,694
1,247
ndugu Zangu wanajf,nipo katika wkt mgumu wa kuamua nifanyeje kutokana na hali ilvyo,nina mpenz wangu na ninampenda sana naye pia naamini ananipenda pia, ni kabila lake, yaani ndugu, jamaa na marafik hawataki kusikia kabila hlo kabisa,uamuzi wa kuoa upo mikonon mwangu lakn kwa vile maisha hayaeleweki.

Nahofia hatapata support yoyote kutoka kwa ndugu kwnye malez na matunzo ya wanangu endapo nitalazmisha ndoa kisha nikaondoka duniani kabla yake make maisha hayaeleweki kesho ktatokea ktu gani,ndugu zangu nishaurin nifanyeje,either nimuache au nimweleze wazi ajue lakn nitamwachaje bila kosa?

Dondoshen ushaur wa maana bandugu coz ths is jus a ver sensitive issue!
 
hii 2011 jamani, hiyo familia bado ipo kwenye miaka ya 47.......na vigezo walivyokupa vya kutokuoa mchaga ni vipi...kazi kweli kweli kwenye jamniii zetu.
 
Title haiendani na maelezo uliyotoa hapo chini. try to explain a bit of what is mentined on the tittle. Nimeshindwa kurelate topic na maelezo uliyotoa na kuna uhusiano gani na mwanamke wa kichaga.
 
ndo maana mimi nitatafuta wa kabila langu kuondoa matatizo
dah pole sana hao ndugu zako wameolewa /kuoa kwenye kabila lenu?
 
ndugu Zangu wanajf,nipo katika wkt mgumu wa kuamua nifanyeje kutokana na hali ilvyo,nina mpenz wangu na ninampenda sana naye pia naamini ananipenda pia,tatzo ni kabila lake,yaani ndugu,jamaa na marafik hawataki kusikia kabila hlo kabisa,uamuzi wa kuoa upo mikonon mwangu lakn kwa vile maisha hayaelewek,nahofia hatapata support yoyote kutoka kwa ndugu kwnye malez na matunzo ya wanangu endapo nitalazmisha ndoa kisha nikaondoka duniani kabla yake make maisha hayaeleweki kesho ktatokea ktu gani,ndugu zangu nishaurin nifanyeje,either nimuache au nimweleze wazi ajue lakn nitamwachaje bila kosa?dondoshen ushaur wa maana bandugu coz ths is jus a ver sensitive issue!
we kabila gani kwani?
 
hapo sasa ndo uchanganye akili zako na za kuazima ulipoambiwa kua uyaone sio magorofa ni mambo kama hayo
 
sali sana rafiki ,ukwel kuna logic ya kuoa kwenu ni vema zaidi ,ila kuoa mbali si vibaya kwa mfumo wa sasa kimaisha ,nakushauri; nionacho mm ndugu umeendekeza udependant ww na mpenzio pamoja ni chama wengine hawez kukuamlia ongeza bidii ya kazi na muandae mkeo awe tayari kwa lolote likitokea ukizingatia ni mchaga naamini anaweza jifunza biashara vizuri ,duniaya baba kuwa kichwa hadi kiuchumi imepitwa na wakti.nawasilisha
 
hii 2011 jamani, hiyo familia bado ipo kwenye miaka ya 47.......na vigezo walivyokupa vya kutokuoa mchaga ni vipi...kazi kweli kweli kwenye jamniii zetu.

Kumbe wamekukataza kuoa M.....,?? pole waelimishe vizuri ndugu zako, kwani ni wao wanao au ni wewe...!!!!!
 
Muache dada yangu hasije pata taabu bure kwenu huko kwa unyanyapaa..dada wa watu utakuta mchagga jina tu kakulia mjini maisha yake yote ka mtoto wa kizaramo, lakini kwa vile ana surname ya 'Riwa' basi inakuwa taabu! Tumechoka waChagga bana..Wezi sisi, Wauaji sisi, Wakabila sisi, Chadema sisi...aargh!
 
Muache dada yangu hasije pata taabu bure kwenu huko kwa unyanyapaa..dada wa watu utakuta mchagga jina tu kakulia mjini maisha yake yote ka mtoto wa kizaramo, lakini kwa vile ana surname ya 'Riwa' basi inakuwa taabu! Tumechoka waChagga bana..Wezi sisi, Wauaji sisi, Wakabila sisi, Chadema sisi...aargh!

na cc dada zenu wanatuita magogo kwenye yale mambo, kazi kweli!
 
ongea na familia yako waelewe kwa sasa tumechanganyikana hakuna cha mchaga wala mkurya tunajenga familia moja.
 
na cc dada zenu wanatuita magogo kwenye yale mambo, kazi kweli!
Jamni hii ni kweli kabisa, dada zetu wa kichaga hamjui kitu kabisa.
Nashangaa mmekulia mjini, mmejichanganya lakini badooo kabisa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom