Kuoa mwanamke wa kichaga

Kama huwezifanya maamuzi kuhusu maisha yako mwenyewe nina wasiwasi kuwa we bado mtoto! Halafu, ni kigezo gani kilichoelezwa na hao marefa wa maisha yako? Use ur common sense!

Pole sana kaka, kweli ndugu zako bado wako miaka 47. La msingi ni wewe kumwekea mazingira ya kujitegemea mkeo, pamoja na watoto mtakoa wapata, ili mwisho wa siku we ukifa hata tegemea ndugu zako. Naamini pia ndugu zako hawatamchukia ila wana negative mind ya uchaga, mwamabie mchumba ako, awe mwema sana kwa ndugu zako hadi washangae au aprove wrong kwa hao ndugu kwa yale wanayoyaamini hao ndugu zako juu ya wachaga.

mchaga tu ndio sumu eti,wanatoa mifano ya wandugu waliooa wachagga b4 wakawekWa under control,then wanasema wachaga wana destur ya ku separate ukoo na kum dominate mwanaume na mwnaume ana base totaly on his wife's destination nk.

so wanataka ukishaoa bado wao waendelee kuku control? wawapangie lyf stlyle wanaoitaka wao? humpati mwanamke wa hivyo cku hizi...

Shaka juu ya watoto ondoa wao silaha ni watoto labda breed yako iwe mbovu. Ongelea kudhulumiwa watoto kuhusu maisha ili mradi una kianzio wanao wameshatoka. halafu hujui vitabu vimeandika utamuacha baba yako na mama yako na kui....

kweli wadada wa kichaga tuna rock! Wanatupenda, wanatuogopa, hapo chacha! ILA MWATAKIWA KUJUA MWANAMKE MMOJA WA KICHAGA ANAUWEZO MKUBWA KULIKO WANAUME 5 WA KABILA ZINGNE KTK MAAMUZI NA UZALISHAJI MALI.

unamaanisha wewe ni sawa na wakwere watano ? Du ? Inatisha hii?

Nasikitika sana na ukabila ulivyotujaa karne hii,mwezi uliopita kuna rafiki yangu aliomba nimtafutie dadake kazi,nikasikia kuna kazi katika ofisi moja ya mtu naye mfahamu,swali la kwanza huyo dada ni kabila gani kumwambia Mchagga akadai eti kazi ilishapata mtu.Nikamtukana na dada wa watu maskini tukampatia kazi nzuri zaidi sehemu ingine.

Jamni hii ni kweli kabisa, dada zetu wa kichaga hamjui kitu kabisa.

Nashangaa mmekulia mjini, mmejichanganya lakini badooo kabisa!

Hizi generalization mbaya sana. Kwa kuwa ulikutana na wawili au watatu au hata mmoja ukaona hafai ndo kabisa umewatuhumu kuwa wote hawafai. So wote waliooa wachagga wameenda chaka au.
Mkuu kaa na wazazi wako kwa utaratibu uwaulize kisa ni nini na waeleweshe kwenye dunia ya sasa hakuna kitu cha kusema usioe kabila fulani. Hii ni dunia nyingine kabisa ambayo mambo yameshabadilika sana. Watu tumechanganyika sana. Na afterall wewe ndio muoaji na kama ni mambo ya ndani yatakuwa yako wewe na sio yako na wengine. Mambo ya kusema ukitangulia kufa hayapo maana wewe sio Mungu wa kupanga nani atangulie.

kweli wadada wa kichaga tuna rock! Wanatupenda, wanatuogopa, hapo chacha! ILA MWATAKIWA KUJUA MWANAMKE MMOJA WA KICHAGA ANAUWEZO MKUBWA KULIKO WANAUME 5 WA KABILA ZINGNE KTK MAAMUZI NA UZALISHAJI MALI.

haa,haa,haaaaaa!labda wakwe....., huwa mnaendekeza uchaga wenyewe. niliwahi kudate na dada wa kichaga cha kwanza kuniuliza ni kabila langu.sasa ckumwelewa,hapendi mchaga au alitegemea na mi ni mchaga!

Wachaga wezi wauaji,mafisadi matajiri ,masikini wazuri,wabaya wabaguzi,wanapenda biashara,wanaheshimu pesa,tanzania hii Chaga ni kabila la kipekee sana

tuacheni bwana hii topic inanichefua wanaume wako weeeengi duniani

ndugu Zangu wanajf,nipo katika wkt mgumu wa kuamua nifanyeje kutokana na hali ilvyo,nina mpenz wangu na ninampenda sana naye pia naamini ananipenda pia, ni kabila lake, yaani ndugu, jamaa na marafik hawataki kusikia kabila hlo kabisa,uamuzi wa kuoa upo mikonon mwangu lakn kwa vile maisha hayaeleweki.

Nahofia hatapata support yoyote kutoka kwa ndugu kwnye malez na matunzo ya wanangu endapo nitalazmisha ndoa kisha nikaondoka duniani kabla yake make maisha hayaeleweki kesho ktatokea ktu gani,ndugu zangu nishaurin nifanyeje,either nimuache au nimweleze wazi ajue lakn nitamwachaje bila kosa?

Dondoshen ushaur wa maana bandugu coz ths is jus a ver sensitive issue!

Kwani unaoa kwa ajili ya ndugu, jamaa na marafiki!? Umeshawahi kuwaeleza kwanini unampenda mwanamke huyo wa kichagga sana mpaka ukaona kuna umuhimu wa kufunga naye pingu za maisha? Kama hujafanya hivyo basi wataarifu haraka na wewe ndiye mwenye uamuzi wa mwisho kama unampenda kiasi hicho basi we songa mbele tu na kuandaa harusi yenu vinginevyo utakuja kumuacha na kumuoa mwingine ukabaki kujuta for the rest of your life maana ukimuacha njemba nyingine zitawahi.

Wapotezee hao ndugu, jamaa na marafiki ili uamue kufanya kweli, hakuna kabila Tanzania ambao watu wake wako perfect kwenye kila idara ya Wanadamu, kama umempenda na hata kufikia kuwa naye kama mke basi fuata moyo wako na uupe kitu ambacho moyo wako umeridhia. Kila la heri.

NB: Ukifa kabla yake na kama mmejaliwa watoto atachakarika kivyake vyake ili kuhakikisha watoto wenu wanapata malezi bora.

Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom