Kuoa mwanamke wa kichaga

katika sifa za mke mzuri, kabila lake halitajwi hata kidogo. Kama anazo sifa zote suala la kukataliwa na ndugu halina uzito wowote. kumbuka ndugu wa siku hizi ukifariki tu wanachokimbilia ni mali zako na sio watoto wako na kama huna mali ndo basi, mke atahangaika mwenyewe na hao watoto. Songa mbele suala la ninani atatangulia kufa ajuaye ni mola tu - si ajabu akatangulia mke nawe ukabaki na wanao.
 
aisee pole sana, waeleweshe vizuri ndugu zako watakuelewa mimi hapa kuna bro wangu (kwetu sisi rombo) mke wake ni mkibosho, ilikuwa ishu sana alipotueleza anataka kuoa mkibosho wazee walikataa sana ikafikia hadi wakamtafutia binti wa kirombo amuoe bro akakataa sana ,mwishoe wazee wakamkubalia sahivi yupo poa na mke wake mkibosho, halafu wazee wamekuja kumpenda sana huyo mke wa bro, ananidhamu na pia muwajibikaji na anaupendo kwa ndugu wote. So nakuhauri kuwa na msimamo

Kwan mkibosho na mrombo ni makabila mawili tofauti?
 
Wanawake wengi wa kichaga walishaharibu ktk jamii nyingi sana na ndiyo maana baadhi ya jamii huwakataa.Wakataaji wanakuwa na mifano ya kutosha kwani tabia zao za kupenda pesa zaidi kuliko utu wakati mwingine ndiyo kinakuwa kikwazo sana.Nadhani ni wakati muafaka kwa wachaga kujisafisha ktk jamii zetu kwamba wao si kama zamani.Jamaa zetu wa Musoma siku hizi wamefanikiwa kuwashawishi watu kwamba wanajua kumpenda mke na hawana tabia ya kupiga wanawake tena na ndiyo maana mabinti wengi wanaolewa na wakurya siku hizi.
 
Wanawake wa kichaga wako bomba haswa kwa maendeleo sema wanapenda kuwa watawala ndani ya nyumba kutokana na kupenda kuendelea wanatamani kuwa nadereva wa familia kipita hata mwanaume hapo ndo virugu huanzia.
 
Nani kakuambia WAZAZI ,NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI WANAWEZA KUKUCHAGULIA MKE WA KUOA.

NAKUSHAURI BILA HILA WALA UNAFIKI.-HUWEZI PATA MKE MZURI ZAIDI YA MCHAGGA.NA UKITAKA KUTOKA HAPO ULIPO KIUCHUMI MWOMBE MUNGU AKUPE TOTO LA KICHAGA.HAYO MENGINE YOOTE NI MADHAIFU YA KAWAIDA NA KILA MWANADAMU ANAYO NA YANAREKEBISHIKA HUKO KUNAKO 6/6.

SIFA ZAO-

1.WACHAPA KAZI
2.WANA UPENDO
3.WANAPENDA UENDELEE YAANI WANA WIVU WA MAENDELEO
4.HAWAKATI TAMAA
5.NI WAVUMILIVU.
6.WANA ROHO YA HURUMA
7.WANA KISMATI CHA MAENDELEO.
8.WANA AKILI TENA ZA KUZALIWA
9.WABUNIFU WA KUPINDUKIA
10.WANAJUA KUMILIKI NA KUTAWALA N.K

Duh.... Ni Kweli kabisa
 
Wanawake wengi wa kichaga walishaharibu ktk jamii nyingi sana na ndiyo maana baadhi ya jamii huwakataa.Wakataaji wanakuwa na mifano ya kutosha kwani tabia zao za kupenda pesa zaidi kuliko utu wakati mwingine ndiyo kinakuwa kikwazo sana.Nadhani ni wakati muafaka kwa wachaga kujisafisha ktk jamii zetu kwamba wao si kama zamani.Jamaa zetu wa Musoma siku hizi wamefanikiwa kuwashawishi watu kwamba wanajua kumpenda mke na hawana tabia ya kupiga wanawake tena na ndiyo maana mabinti wengi wanaolewa na wakurya siku hizi.

Waliharibu nini?
 
katika sifa za mke mzuri,
kabila lake halitajwi hata kidogo. Kama anazo sifa zote suala la
kukataliwa na ndugu halina uzito wowote. kumbuka ndugu wa siku hizi
ukifariki tu wanachokimbilia ni mali zako na sio watoto wako na kama
huna mali ndo basi, mke atahangaika mwenyewe na hao watoto. Songa mbele
suala la ninani atatangulia kufa ajuaye ni mola tu - si ajabu
akatangulia mke nawe ukabaki na wanao.

kama ww ni mchaga oa maana unajua mila na desturi. lkn vinginevyo utasumbuka sana. jiandae kusikia baba mkwe anatembea na mkeo! pamoja na kero rukuki. yalisha nikuta. gusa ufe.
 
The Magnificent ni time for feedback. Ulioa, hukuoa? Mnaendeleaje?

Sikuoa,
Kuna dada mmoja hapa jamvini alini-PM akanipa uzoefu wake,nami nilipo-link na uzoefu wangu nikanyanyua mikono juu,nikaachana nae,akapata mtu mwingine(mchaga mwenzake) nasikia juzjuz hapa kamvisha pete ya uchumba...na November wataoana...
Mimi zoezi la kuoa nimelisiitisha kwanza..
 
Wanawake wengi wa kichaga walishaharibu ktk jamii nyingi sana na ndiyo maana baadhi ya jamii huwakataa.Wakataaji wanakuwa na mifano ya kutosha kwani tabia zao za kupenda pesa zaidi kuliko utu wakati mwingine ndiyo kinakuwa kikwazo sana.Nadhani ni wakati muafaka kwa wachaga kujisafisha ktk jamii zetu kwamba wao si kama zamani.Jamaa zetu wa Musoma siku hizi wamefanikiwa kuwashawishi watu kwamba wanajua kumpenda mke na hawana tabia ya kupiga wanawake tena na ndiyo maana mabinti wengi wanaolewa na wakurya siku hizi.
Hawana haja ya kujisafisha mkuu maana jasiri haachi asili..nimepewa mifano ya familia 10 hivi daah hawa si wanawake kunajamaa yeye ni kabila jingine, wife mchagga daah..hela zipo za kutosha tu..cha ajabu mama mkwe wa jamaa amepekwa kwenye harusi na njaa, halafu hawainagi ajabu ukifika kwao mwanamke kukuuliza unaondoka lini?, nkt ndo umefika tu..daah kwa kweli hawa waoane wenyewe kwa wenyewe ila kwa kuuza sura tu hawa wako fresh..hatare..!!
 
Sikuoa,
Kuna dada mmoja hapa jamvini alini-PM akanipa uzoefu wake,nami nilipo-link na uzoefu wangu nikanyanyua mikono juu,nikaachana nae,akapata mtu mwingine(mchaga mwenzake) nasikia juzjuz hapa kamvisha pete ya uchumba...na November wataoana...
Mimi zoezi la kuoa nimelisiitisha kwanza..

Haikupangwa, that's all l can say, maana pole au hongera nimeshindwa kuchagua nini kinachokustahili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom