Kundi hili la Vijana ni janga la kitaifa:Zitto, Bashe, January, Ben, Kafulila & masalia ya Zitto CDM

Status
Not open for further replies.
Ben, hebu chukualia yanayosemwa juu yako kam ni fursa ya kujirekebisha kama yan ukweli juu yake, tumia busara, acha kiburi kwani sisi chadema tunakiburi kwa mambo ya kupigania utaifa lakini sio kwa maoni ya watu kam vile ww unavyoyakehi,
 
Sanane mis si Mwanachama wa chama chochote kile na wanaJF wenzangu nashukuru kwa upeo wao wanajua hilo,ila uwa alinidhuhi kuchangia mada ya chama chochote kile si CCM,CDM au CUF.mada yoyote inayokuja machoni pa uso wangu nikaona ina maslahi ya TAIFA hakika uivalia Njuga.

Sijui historia yako ya utotoni,lakini kwenye jamii kuna kizazi kinajua michezo ya Politics toja utotoni kwa kuwa kimezaliwa na kukuta siasa ziko chini ya meza na viti na makabati ya vitabu nami ni baadhi ya aina hiyo ya watoto japo nilisema kamwe sintakuwa mwanasiasa,ila nitasimamia kusema na kulinda UTAIFA.

Kuna kitu ambacho wewe kama mwanasiasa kijana,ambae nakuhurumia kuwa kitakugharimu ni SELF DEFENCE,ambayo kwa wanasaikolojia ni dalili ya ukosefu wa dhamira [Guilt Consciousness]. Ni sawa na mama ambae anawatoto wadogo wa miaka minane atoka nyumbani na kuwaacha watoto ndani analudi na kugundua kuwa watoto wamelamba sukari na maziwa ya kopo.Wakina mama wanajua dhamira za watoto kisaikolojia atakapoita watoto wale kuwauliza nani aliyetenda kitendo hicho yule atakeikurupuka kusema sio mimi hesabu ndie mtendaji wa tendo la wizi.

Nimeona jinsi unavyorespond kujibu hoja humu ndani ya JF ambazo zinakuhusu na zisizokuhusu [maana zina muhusu Zitto] umekuwa very aggressive sana kiasi kuwa umedominate mada na kuzifanya kuwa zako.Najua sasa kuwa tayari una silaha [Academic Knowledge] lakini hakika tayari kumbe hata hiyi Knowledge umeshindwa kuitumia vyema.Na hii sipati shida na kulinganisha na matumizi ya kifaa kinaitwa kisu kikiwa jikoni kisu ni kifaa cha usaidizi wa jikoni lakini kisu hicho hicho kikibebwa DISCO au Kwenye mitaa yetu usiku kisu ni silaha inayoweza kutoa uhai wa mtu kwa sekunde chache sana.

Unapenda sana kuattack kwa matumizi ya neno "unatakiwa uwape solution.Siyo solution ya mkato kama unavyo"
Sentensi hiyo ambayo inaguka geuka kidogo,lakini imekuwa ni moja ya msemo wako sana kwenye thread nyingi humu ikionyesha self defence mechanism yako inavyofanya kazi.Wewe unataka atoe solution [Jawabu] wakati yeye kakutuhumu wewe.Unamtaka atoe jawabu ili iweje?.Kwa kuwa mtuhumu wako anajua Hakimu ni mwingine yeye ni mshitaka kalete mshitakiwa ndani ya JF [Umma baadhi wa Watanzania tena walio wengi wasomi wenye upeo, elimu,busara, umri kushinda wako], wapime maneno yake na kutoa hukumu [Judgment] kuhusu hayo anayo kutuhumu nayo.Ndio maana tukisema nyie kweli bado watoto pamoaja na elimu zenu mnasema majungu.

Umepata elimu nzuri sana lakini,vijana wanategemea elimu yako kuonyesha upevu na ukomavu unaoendelea kwenye kuwajenga kwa misingi ya kitanzania [Yani Mdogo kumuheshimu mkubwa] na kuzingatia maadili ya kutambua kuwa pamoja na nguvu zote za ujana bado watu wazima wana role kubwa sana katika maamuzi ya mstakabari wa maisha yetu sote.Ndio vijana tunaweza kuona kama kasi vile ya watu wazima hawa haitufai,lakini tukumbuke kuwa utu uzima dawa na kuwa mpaka wao wamefika hapo wamekumbana na mengi,na hayo mengi utajifunza nawe wakati ukiendeleea kukua kama mtu mzima.

Tunajua kuna baadhi ya wazee wame mess up na maisha yetu,lakini kwa ufarica na mila zetu kuna njia sahihi za kupambana na aina hiyo ya wazee.Mie sikutegemea Mzee Mkapa angeweza kushikwa koo na kijana mdogo kama Vicent na Mzee yule akaa chini kwa ngumi nzito ya chemba.Na jamii imekubali na kupokea suruba aliyopewa mzee yule kwa style ambayo sisi kama wanajamii maisha yanaendelea,lakini amini moyoni kwa Mzee Mkapa ni fundisho na kuwa huko tunakowenda jamii inavyomchukulia sasa ni tofauti na zamani.

Tunapia hatua hizo hizo mpaka pale tunapopata kiongozi mkuu mwenye vision itakayoendana na kasi sawa ya vijana,lakini sio katika mfano wa Tunisia, au Misri.Ndio huwa inatokea tunawanyooshea vidole wazee wetu hawa kuwaonyesha hayo ya Tunisia lakini kamwe Tanzania haiwezi kupita uko,hata wazee wenu wa CDM, Mbowe na Slaa wanajua hilo na ndio maana labda mnawachukia mkitalajia wapite huko nyie mnakofikia ni sawa kwenye means za RADICAL CHANGE. Ndio maana mnaona muwatimue mkalie viti vyao, maskini poleni sana ndio maana kweli nataka kujiaminisha kuwa kwa ujana wenu huo hakika siasa za Bongo HAMZITAMBUI MBALI YA KUZIPIGIA KELELE MAJUKWAANI Tanzania.

Mcheza sinema na Rais Mstaafu wa Marekani Ronald Regan aliulizwa swali na mtoto wa Juniour High School kwamba wao walikuwa wapi leo hii wao wajukuu wanatumia facebook na maendeleo mengine ya technlogy,yani akimaanisha kuwa anaona kama hakuna chochote walichofanya.Rais yule alimjibu jibu fupi kuwa wanalikuwa wanaangaika kuvumbua hivyo wanavyotumia leo.[Inventors].

Ndio tunamapungufu hayo unayoyaona lakini utamaduni wetu, [Waafika] usio wa kizungu,kichina,kiasia,au kiaarabu ndio utakao amua jinsi ya kukwamuka na matatizo hayo.ni kitu kinachojengwa kwa umakini na ufahamu na sio hizo RADICAL CHANGE [INSTANTLY CHANGE].

Hakika kama wapo humu ndani ya JF wenye msimamo wako huo wa mageuzi,hakika mi si mmoja wao.Naamini sana katika mageuzi ambayo wananchi wote wanafeel pinch na kukili wenyewe kuwa sasa enough is enough kupitia uongozi [cadre ] ambayo imeona njia sahihi za kuwavusha watu toka hatua A kwenda hatua B ni hizi.Na kuptia hatua hizo ndio siasa za Utawala bora zinajulikana na kuwaingia wananchi vichwani na kutendwa pasipo shuruti.

Ombi langu unaweza kuwa na dhamira njema ya kufikisha ujumbe kwa umma na kwa vijana wenzio lakini njia ambayo umechagua kufikisha ujumbe huo inaonyeha ndio siyo SAHIHI.Yani sawa na kusema sio kosa wala dhambi kwa mtu kuwa tajiri bali mbinu na mikakati iliyotumika kuleta utajiri huo ndio utajaji uzuri au uovu wa utajiri huo,na ndio kipimo cha utajiri husika.

Without getting down deep with this kind of conflict of interest hatuwezi kujua viongozi genuine wakoje !! tutawapokea juu kwa juu na kuwapigimia makofi ya kuwashangilia kumbe huko walikotokea wamebeba makovu mazito yasiyoweza kuponywa kwa tiba zetu.Ungeyajua haya ubishi wa mmoja kudai mwenzie alete ushahidi badla ya kuwa smart enough kujua kuwa hajitoshelezi kiuadilifu na kuepuka mijadala itakayofumua yasio pswa kuwa exposed kwa kuwa Jamii itataka majibu ambayo muhusika hana.

Walifuata nini kwenye siasa hao vijana?

DSN,

Kama busara/matumizi mazuri ya taaluma (kwa mujibu wa mfano wako wa kisu) nikusema kile kinachomfurahisha mtu basi nitaendelea kuwa na matumizi mabaya ya taaluma.

Kama hekima ya kijna/matumizi mazuri ya taaluma ni kuendelea kujibu au kuthibitisha tuhuma zilizoletwa na mtu bila yeye kuthibitisha pasipo na shaka basi nitaendelea hivi

Halafu uondoa hilo neno au fikra za kwamba pengine nawachukia akina Mbowe.Au basi onyesha dalili au kiashirio chochote kupitia hekima au taaluma unayoisema ili angalao watu wapate mwanga juu ya assertion yako hii.Tafuta kwenye post zangu zote ili utendee haki nafsi yako na hisia za wana JF

Nasizitiza nina uadilifu wa kutosha,kama kuna mtu mwenye shaka na hilo/anayetaka kuthibitisha otherwise basi aje na ushahidi.Hizi hekima za kushabikia personal vendatta na petty politics hazitoi solution ya matatizo tuliyo nayo zaidi ya undermine the spirit of radical change

Nasonga mbele,sitegemei kumfurahisha mtu yeyote.Ninachojali ni mantiki ya hoja inayotolewa basi.

DSN, In the news and around us, a world-wide change of guard is full motion. New generations of global citizens are fighting to take center stage as the generation of a world before us gives way. As the youth of the world continue our revolution, it's important to stand by the core purpose that brought us to this stage of proactive citizenship: To rid the coming years of the mistakes of the previous years.

We as Tanzanians are at a pivotal epoch in our history. With elections ahead of us in 2015, I simply ask that we as youths (2/3rds of the populace subject to estimate,statistic and data) fully embrace the spirit of REVOLUTION born in Africa that's sweeping the globe. We must make sure the failures of the previous generation do not plague this election because this is OUR moment.Hatima ya maisha yetu iko mikononi mwetu.Nachukia tabia ya vijana kulaumu wazee walipotufikisha,ni lazima tuchukue hatua kwa vitendo.Tusikubali kutumika na wazee wale wale walioshindwa enzi za ujana wao leo hii wananendelea kututumia kwa maslahi yao.Ni lazima tuamue hatima yetu na vizazi vyetu

Kama hekima ya wazee hawa ni kushabikia petty politics na cheap propaganda bila kuhoji,basi hekima hizi ndizo zilizotuharibia taifa hili. Tunahitaji mjadala wa kitaifa hata kabla hatujaanza mchakato wa katiba kuhusu njia ipi tufuate ndipo turudi mezani kuandika mkataba.Tuache kujadilikushabikia majungu,tujadili mambo mazito yatakayotupunguzia matatizo

The idea is simple. We understand our problem isn't a foreboding dictator, but a flawed democracy. Thus the solution is simple. Let's use the simple resources we as individuals have to make our democracy work as a nation.

Tuna 2 limited options,it's either we embrace democracy(transparency and accountability) or face radical movement.Mageuzi/mapinduzi yote duniani huletwa na inspiration/activation.Ofcourse ni lazima kuwe na casualities

Wale wazee wachache wenye busara(siyo wanaotumia fallacy ma uliyotumia hapo juu nilipo-bold blue) kutisha na kulaumu vijana wanaweza kutuongoza katika kufanya maamuzi sahihi kujenga Tanzania tuitakayo.
Hatuhitaji busara zinazotuongoza kujibu tuhuma za uzushi bila envidence halafu tukaachana na changamoto zinazotukabili kama Taifa.sioni kama hili ndiyo matumizi sahihi ya taaluma/hekima katika kutusaidia kuondokana na matatizo tuliyo nayo kama vijana au kama taifa.
Nilikuja kuangalia kama ameleta uthibitisho lakini kumbe yalikuwa ni majungu ya kawaida tu.I'am out for now !
 
Ben, hebu chukualia yanayosemwa juu yako kam ni fursa ya kujirekebisha kama yan ukweli juu yake, tumia busara, acha kiburi kwani sisi chadema tunakiburi kwa mambo ya kupigania utaifa lakini sio kwa maoni ya watu kam vile ww unavyoyakehi,

Kama ingekuwa kweli ningejirekebisha.NASIZITIZA hakuna UKWELI katika haya.

Tumia muda huu au fursa hii sasa umuombe aje na ushahidi juu ya yote ambayo amekuwa akiandika.Let him do credibility a favour,halafu tutambue jukwaa hili si la Chadema ni jukwaa la wazi.

Heshima ya JF siku zote ni data(where we dare to talk openly). Mkuu,unataka nikubali au niombe msamaha kitu ambacho si kweli ili nionekane kwamba sijakebehi?Imekuwa ni tabia ya watu hapa kuleta personal vendatta without sufficient ground ili kutisha watu waache kile wanachosimamia/pigania. Siwezi kusujudia mtu/kundi la watu wa aina hii.....
 
Ben, hebu chukualia yanayosemwa juu yako kam ni fursa ya kujirekebisha kama yan ukweli juu yake, tumia busara, acha kiburi kwani sisi chadema tunakiburi kwa mambo ya kupigania utaifa lakini sio kwa maoni ya watu kam vile ww unavyoyakehi,

Haka kajama ni kichwa ngumu sana na mjeuri aliyepindukia.Tatizo lake anajiamini sana sijui ni kitu gani kinampa jeuri kiasia hicho.Hana tofauti na Ghaddafi,Mugabe au akina Amendejad na ma-ayatolah wa middle east.

Extremists kama hawa ndiyo waliosababisha maafa.hulka za aina hii hazina tofauti na za adolf hitler.hulka za visasi kuonyesha ujerumani ilikuwa superior kuliko taifa lolote kama huyu alivyokuwa anawaonyesha wakenya juu ya tannzania.hulka na misimamo ya aina hii ndiyo inayomfanya kagame huko rwanda afunge gerezani wapinzani wake.Wakuu kama mngemjua huyu msingemshangaa ni kwa nini anamuunga mkono mugabe na kumuita kiongozi wa upinzani moragan tsavangirai kibaraka wa mabeberu.anapinga anchoita demokrasia ya magharibi anataka labda tuwe na udikteta kama wa ghadafi au ni nini hasa?

by the way sijui kama ameshabadili jina lake la mwanzo au bado maanake alikuwa kwenye mchakato wa kisheria kule chuo kikuu kutaka kubadili jina lake la kwanza bern apate jina la kiafrika lakini alikataliwa kwa sababu alikuwa suspected katika hiyo move.walimuambia hadi arudi tanzania au kupitia ubalozini na kipindi hicho hakuwa anaiva na ubalozi baada ya yeye na wenzake kumfanyia fitina balozi hadi alipoitwa tanzania.ugomvi wake na balozi ulikuwa kupinga balozi kufungua matawi ya CCM india .balozi alishangaa akamwambia na yeye basi afungue matawi ya chadema.jama huyu alivyokuwa mshari akakataa na kudai ni kwa nini matawi ya vyama vya siasa yafunguliwe na balozi badala ya kuhimiza umoja na nguvu katika jumuiy za watanzania! likawa jambo kubwa,ni mshari,asiyependa kushindwa na aggressive katika movement zake.Ni leftist mbaya sana mwenye kisirani sijawahi kuona.ningeshangaa kama asingelipiza kisasi kwa akina mbowe kama anavyofanya sasa hivi

Mnahangaika na mtu jeuri, asiyekubali kushindwa, mwenye majivuno, dharau kwa wengine na useless ndani ya chama chake.
 
Kuna kitu ambacho wewe kama mwanasiasa kijana,ambae nakuhurumia kuwakitakugharimu ni SELF DEFENCE,ambayo kwawanasaikolojia ni dalili ya ukosefu wa dhamira [Guilt Consciousness].

Nimeona jinsi unavyorespond kujibu hoja humu ndani ya JF ambazo zinakuhusuna zisizokuhusu [maana zina muhusu Zitto] umekuwa veryaggressive sana kiasi kuwa umedominate mada na kuzifanya kuwazako.

Unapenda sana kuattack
DSN thank you for a useful post, naomba niyarudie maneno yaliyo kwenye bold maana ndiyo hasa character ya huyu jamaa

- Self defence
- Aggressive
- Attack
- Kujiona mtetezi
- He is always right
- Vocabulary yake haina neno SORRY.
 
Nilikuja kuangalia kama ameleta uthibitisho lakini kumbe yalikuwa ni majungu ya kawaida tu.I'am out for now !
Inaonyesha wewe ni mpenda shali na ndio maana lugha yako hapa imekaa kishali shali,kama ni watoto wa kike wa mitaa ya Uswazi picha hii naona ni ya Asha Ngedere kuwa UTANIKOMA.Sitegemei na wala sikutegemea kama ungekuwa humu kwa sura hii bali ulipaswa kuwa unakuja kwa nia ya kujifunza ama kufundisha, kumbe huko humu JF kuona nani kaandika nini kuhusu wewe na team yako.
 
DSN, Kama busara/matumizi mazuri ya taaluma (kwa mujibu wa mfano wako wa kisu) nikusema kile kinachomfurahisha mtu basi nitaendelea kuwa na matumizi mabaya ya taaluma.

Kwa kauli yako nimejilizisha binafsi wewe ni RADICAL,na umethibitishia hilo,kwa kuwa mfano wangu wa kisu ambao umekubali kuutumia,ukiniuliza sentesi yao hapo juu umeside upande gani wa matumizi ya kisu basi uko Disco na mitaani kwetu usiku na kisu chako.

Kama hekima ya kijna/matumizi mazuri ya taaluma ni kuendelea kujibu au kuthibitisha tuhuma zilizoletwa na mtu bila yeye kuthibitisha pasipo na shaka basi nitaendelea hivi
Uwezi kuwa mshtakiwa kisha ukageuka kuwa hakimu sanane uliona wapi hiyo!sisi wengine ambao hatukuwa nanyi huko India au huko sijuia Russia ndio kupitia maelezo yenu tutajua nani ni genuine na nani anaongopa.Mwenzio kaplay party yake vyema ya kutengeneza accustaion=charge dhidi yako wewe, wewe umengangana kuwa judge wapi na wapi? ndio maana mimi binafsi naona unapwaya kwenye utetezi.Ujajibu yale anayo kutuhumu nayo unataka aweke evidence usizunguke mbuyu.Ukishindwa kaa kimya wenye akili zetu tujue uko wapi kuliko kungangania vitu kisha aje na mambo ambayo yako upande wa mabaya sana ambayo wengine hatukutegemea kusikia hadharani kama habari za uhindini.

Nasizitiza nina uadilifu wa kutosha,kama kuna mtu mwenye shaka na hilo/anayetaka kuthibitisha otherwise basi aje na ushahidi.Hizi hekima za kushabikia personal vendatta na petty politics hazitoi solution ya matatizo tuliyo nayo zaidi ya undermine the spirit of radical change
Kwa mwanasiasa alie komaa na mwenye upeo NASISITIZA TENA KWA HERUFI KUBWA KAMA KIJANA MWENZIO KWA KUKUSAIDIA KOMA TENA KOMA UKOMAE USIJE UKAAWAMBIA WATU WAZIMA WENYE AKILI ZAO MANENEO HAYO JUU,TENA UNGEKUWA KARIBU YANGU NINGEKUCHOCHA!!! Uliona wapi swala la uadilifu mtu anajisifia mwenyewe,ni sawa na mtu mwenye tabia nzuri kupita mabarabarani na kuwaambia watu kuwa "msinione mimi hapa mimi natabia nzuri"Hakika kwa kauri yako hiyo sanane I wish ningejua umri wako manke you sound so childish kwenye vitu simple understand general.Haya uyasemayo hapa ya uadilifu sio shati unavaa kisha unageuka kutuuliza washikaji vipi limenitoa chicha nambieni basi wana!!.Achaa kabisa linapofika kuwa swala linahusu mstakabali wa maisha na vizazi upaswi kuwa mtu wa aina hii unayozungumza vitu vya junior school level.Hapo ulipo ni level nyingine ya watu na kipimo cha level yako watu wanakuchuja na kukupoteza kwenye Political Atmosphere kwa kukuona behaviour zako.Sio wewe uamue behaviour gani zitufurahishe Watanzania,au unaamini kuwa Radical unaweza kuwa Kiongozi wa new generation hakika imekula kwako hata kabla hakuja kucha subiri uchaguzi wa Arumeru uishe siongei kama mnajimu au insider naongea kama mwelewa na mwenye ufahamu wa mambo yatakayojilia baada ya uchaguzi huo uenda yakakusaidia ama yakukaanga.

Nasonga mbele,sitegemei kumfurahisha mtu yeyote.Ninachojali ni mantiki ya hoja inayotolewa basi.
Jamani WanaCDM hivi kweli na huyu nae ni kiongozi kweli kabisa,hana hata aibu hana kuwa uzungumzaji wake hapa ni ndani ya kofia ya kisiasa ya CDM vinginevyo no body knows about saanane,mie mwenye nisingekujua kama si CDM.Na CDM ina wanachama, wapenzi na mashabiki wengi wanaofuatilia kuhusu chama chao, ulivyo selfsh unasema "Nasonga mbele,sitegemei kumfurahisha mtu" inasound too personal sana kama wewe upo upo na utegemei instutitional characters.Mwanasiasa daima utegemea kundi au jumuhiya ya watu kumpa support kufikia malengo yake na sio unavyojionyesha too personal yaani I dont care!!!Pole sana Kijana umepoteza kabla ujashika!!Uliko lalia ndio wenzio waliamkia zamani kitambo ile!!

DSN, In the news and around us, a world-wide change of guard is full motion. New generations of global citizens are fighting to take center stage as the generation of a world before us gives way. As the youth of the world continue our revolution, it's important to stand by the core purpose that brought us to this stage of proactive citizenship: To rid the coming years of the mistakes of the previous years.
Yaaah tunajua na kupitia baadhi ya yanayotekea tunatumia kipimo cha nchi yetu kuwakumbusha wanasiasa baadhi aina yenu wajibu wao kwa umma,lakini njia ambazo walizo tumia huko ama wale sizo tutakazo tumia sisi,utasubilia sana Saanane kuona aina ile ya RADICAL CHANGE.na kama ipo ama itaweza kutokea basi haita wahusu Wananchi.

We as Tanzanians are at a pivotal epoch in our history. With elections ahead of us in 2015, I simply ask that we as youths (2/3rds of the populace subject to estimate,statistic and data) fully embrace the spirit of REVOLUTION born in Africa that's sweeping the globe. We must make sure the failures of the previous generation do not plague this election because this is OUR moment.Hatima ya maisha yetu iko mikononi mwetu.Nachukia tabia ya vijana kulaumu wazee walipotufikisha,ni lazima tuchukue hatua kwa vitendo.Tusikubali kutumika na wazee wale wale walioshindwa enzi za ujana wao leo hii wananendelea kututumia kwa maslahi yao.Ni lazima tuamue hatima yetu na vizazi vyetu
Kila kizazi kina makosa yake na mapungufu yake,Nyerere alikuwa na mazuri yake na mapungufu yake,Mwinyi, Mkapa and now Kikwete.Matamamio ya ujana ni kweli tunaitaji kutoka kwenye mwenendo huu,lakini sio swala la kuondoa Dola au Serikali mara moja hili ni swala la mfumo [Its within People's Mind] tena ambao wana maamuzi makubwa juu ya Taifa.Sio swala la kuamua mara moja.Tumeona picha ndogo moja tu ya sekta ya Afya did you see what happen.Ni sawa na Nyerere na Nkwameh wakati Mwalimu anasema Africa ya kikanda mwenzie anasema Africa ya one night.Matokeo yake ni Mwalimu Nyerere japo ndie aliie acha kile alichofikilia kinatekelezeka duniani.Sio swala la kiwepo bali swala la je kitawezekanika?na kwa mfumo upi?lini?na kwa hatua?.Watanzania wanajua sana uwezi kuwaambia hayo wakakulupuka wanajua michjezo ya aina yenu wanasiasa,na michezo yao yote CCM yoyote mwenye sura hiyo uwa wanasema nae mapema sana.

Kama hekima ya wazee hawa ni kushabikia petty politics na cheap propaganda bila kuhoji,basi hekima hizi ndizo zilizotuharibia taifa hili. Tunahitaji mjadala wa kitaifa hata kabla hatujaanza mchakato wa katiba kuhusu njia ipi tufuate ndipo turudi mezani kuandika mkataba.Tuache kujadilikushabikia majungu,tujadili mambo mazito yatakayo tupunguzia matatizo
Sasa hayo mengine tunajua tunaitaji katiba,kama JK mwenyewe Rais anakutana na wazee wakolofi wakongwe ndani ya mfumo ambao awaelewi lugha yake sembuse nyie vijana ambao hata ukuu wa wilaya amjakumbana nao.Dogo acha mzaa basi hivi,unaonekana kweli wewe ni saanane kwa misingi jua kali ujui chochote.Ama kweli wewe kinda sana sana,tena baadaa eeeeeeee sana.Ujui mfumo unavyofanya kazi ukiona watu wamejazana kwenye mikutano yenu ya CDM basi mnaona Nchi mkipewa mtaweza kijana acha matusi ngoma ya watoto aikeshi hata kidogo. Mkiunga na elimu hizo mlizonazo basi shida mnaanza kuota vingora kwa kufikilia mnaweza kumanipulate kundi la vijana lisupport movement yenu, acheni mbona hizo ndoto ubaya wake ni kuwa mna halibu mchakato muhimu na bora ambao wananchi wangeutumia kuetea mageuzi ya kweli matokeo yake wanaingia hofu na mashaka juu ya usahihi wake.Mpinzani wenu CCM akitumia udhaifu ambao ana haki yake kama cha upinzania kutimia madhaifu yenu kuwamaliza kisha mnatuletea kilio cha huruma kuwa mmeonewa wakati nafasi mlipewa.

The idea is simple. We understand our problem isn't a foreboding dictator, but a flawed democracy. Thus the solution is simple. Let's use the simple resources we as individuals have to make our democracy work as a nation.
Rasilimali tunazo tena nyingi sana sana tatizo letu ni uongozi safi,na ndio maana tuna watu kama nyie,from your heart unasemaje mizani yako tuiweke wapi kama ujulikani wewe ni popo au ndege?, mwanasiasa wa mlengo gani?,Je chama ulichopo ndio mwelekeo wako au umeingia ukakuta tayari waasisi walishaunda mwelekeo wao wewe unataka kuweka mapinduzi katika chama ambacho wenzio wana vision yao,kama unaona hawako sawa why dont you step down na muanzishe chama chenu na movement yenu kuliko hii ambayo tukiwaangalia nyie vijana na chama chenu tunaona vitu viwili tofauti kabisa?

Tuna 2 limited options,it's either we embrace democracy(transparency and accountability) or face radical movement.Mageuzi/mapinduzi yote duniani huletwa na inspiration/activation.Ofcourse ni lazima kuwe na casualities
Tuna many many optiins na sio limited,hayo ya ulimited ni yenu nyie wanasiasa ambao mnasimama nyuma ya agenda zenu na sio UTAIFA.

Wale wazee wachache wenye busara(siyo wanaotumia fallacy) kutisha na kulaumu vijana wanaweza kutuongoza katika kufanya maamuzi sahihi kujenga Tanzania tuitakayo. Hatuhitaji busara zinazotuongoza kujibu tuhuma za uzushi bila envidence halafu tukaachana na changamoto zinazotukabili kama Taifa.sioni kama hili ndiyo matumizi sahihi ya taaluma/hekima katika kutusaidia kuondokana na matatizo tuliyo nayo kama vijana au kama Taifa.
Hakika sijui malezi yako yalipitia mikononi mwa nani , inaonyesha kitu fulani kimepungua somewhere?Tumeshasema tunajua tunatatizo la baadhi ya wazee na kwa style yetu ya kiafrika baadhi yao wanapata ujumbe kama aliotoa Vicent Mwanacdm mwenzio,tena kwa style mulua isiyo na shida na ujumbe kufika na kuweka mstakabali wa mtu mzima huyo kuvunjwa makali,kesho na keshokutwa wengineo nao watafikishwa kwenye kona ambayo hawezi kufurukuta.Kinachomatter ni hatua kwa hatua,au kuna tatizo na Afya yako wewe kijana mwenzetu hivyo unataka kula sehemu ya keki yako.Manake mwenye afya mgogolo ndio nazani anaweza kuja na mawazo mfu ya kutaka change za haraka zisizo na macho na matayarisho kukithi haja ya ndoto zake za ponda raha kifo chaja.

Nilikuja kuangalia kama ameleta uthibitisho lakini kumbe yalikuwa ni majungu ya kawaida tu.I'am out for now !
Inaonyesha wewe ni mpenda shali na ndio maana lugha yako hapa imekaa kishali shali,kama ni watoto wa kike wa mitaa ya Uswazi picha hii naona ni ya Asha Ngedere kuwa UTANIKOMA.Sitegemei na wala sikutegemea kama ungekuwa humu kwa sura hii bali ulipaswa kuwa unakuja kwa nia ya kujifunza ama kufundisha, kumbe huko humu JF kuona nani kaandika nini kuhusu wewe na team yako. Namaliza kwa kusema kama ndio mko hivi baada ya uchaguzi wa Arumeru ambao nyie mmeshiliki kuiangusha CDM kukosa kiti cha Arumeru,I hope watakaa chini wakati mnaugumia maumivu ya kukosa kiti cha Arumeru kwa michezo ya kipuuzi kama hii yenu,wana CDM watatafuta wawaweke wapi wewe na wenzio,vinginevyo hatuna sababu ya kuangaikia kuamini tuna vyama vya upinzani kumbe its the bunch of arrogant and stubborn young politicians who know nothing about Tanzania?
 
Ben, this time 2morrow, be humble, kuwa msikivu, acha dharau, accept critics etc,
Iga mfano wa mienendo ya John Heche kwani kijana katulia na watu wanamkubali sana 2, ila ww Ben kutwa kugombana na wa2 ambao ndo wapiga kura wako na baadhi ni vijana wanasiasa kama wewe tena wenye uwezo zaid yako.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
kuna mambo mengi sana ya msingi tunapaswa kuyajadili na kuyachukulia maamuzi badala yake yanakuja mambo ya ujana na urais. tunaona juzi tu vijana wachache wamechaguliwa kwenda kidato cha 5, nilitegemea kuwa na mjadala wa kitaifa juu ya vijana wetu wanaokuja.
 
kwa kusoma tuhuma zake huyu jamaa aneyeitwa Ben na majibu yake nachelea kuamini huyu jamaa ni jasiri sana,mwenye uthubutu na mtetezi kwa kile anachokiamini.labda ndio maana hata chadema wanamhofia kumpa madaraka makubwa...pamoja na tuhuma zake zote kwangu atabaki kuwa shujaa wangu.!!
 
Kweli Jamii Forums ni Chuo cha mafunzo! Kama hutakiri through reply humu utakiri kimoyo moyo! Kama unataka kusikia unachotaka hapa si mahali pake!
 
kwa kusoma tuhuma zake huyu jamaa aneyeitwa Ben na majibu yake nachelea kuamini huyu jamaa ni jasiri sana,mwenye uthubutu na mtetezi kwa kile anachokiamini.labda ndio maana hata chadema wanamhofia kumpa madaraka makubwa...pamaja na tuhuma zake zote kwangu atabaki shujaa.!!
Kweli wanadamu tuko tofauti! Hawa vijana wangekuwa na hekima kama za John Mnyika muda huu CCM ingekuwa chali! Mnyika anajua aseme nini na wakati gani! Hajikwezi,hajisifu,Sijawahi kumsikia akizungumza wazi au kimafumbo vibaya juu ya viongozi wake! Ni mtii kwa kila mtu! Mtu aina ya Mnyika akifikisha 40 yrs unaweza kumkabidhi nchi na akaiongoza kwa hekima sana!! Hawa wanaoropoka ovyo na majivuno kibao ya kufikisha chama kilipo huku kikiwa hata ikulu hakijanusa! Je wakiingia ikulu? Binafsi nakiri tunao vijana watakaokuja kuivuruga hii nchi kuliko Mafisadi walivyokwisha itafuna!
 
kuna mambo mengi sana ya msingi tunapaswa kuyajadili na kuyachukulia maamuzi badala yake yanakuja mambo ya ujana na urais. tunaona juzi tu vijana wachache wamechaguliwa kwenda kidato cha 5, nilitegemea kuwa na mjadala wa kitaifa juu ya vijana wetu wanaokuja.

Kama models ndio hawa majunk design hii unategemea nini wao change wanafikilia mpaka uwe kiongozi tena uwe Rais.Kumbe change zinafanywa na watu mitaani.
 
Kweli wanadamu tuko tofauti! Hawa vijana wangekuwa na hekima kama za John Mnyika muda huu CCM ingekuwa chali! Mnyika anajua aseme nini na wakati gani! Hajikwezi,hajisifu,Sijawahi kumsikia akizungumza wazi au kimafumbo vibaya juu ya viongozi wake! Ni mtii kwa kila mtu! Mtu aina ya Mnyika akifikisha 40 yrs unaweza kumkabidhi nchi na akaiongoza kwa hekima sana!! Hawa wanaoropoka ovyo na majivuno kibao ya kufikisha chama kilipo huku kikiwa hata ikulu hakijanusa! Je wakiingia ikulu? Binafsi nakiri tunao vijana watakaokuja kuivuruga hii nchi kuliko Mafisadi walivyokwisha itafuna!

Kidogo unaweza ukaona picha ya mtu ambae anajaribu kupambana na nyakati za ujana lakini katika mature level
 
Kweli wanadamu tuko tofauti! Hawa vijana wangekuwa na hekima kama za John Mnyika muda huu CCM ingekuwa chali! Mnyika anajua aseme nini na wakati gani! Hajikwezi,hajisifu,Sijawahi kumsikia akizungumza wazi au kimafumbo vibaya juu ya viongozi wake! Ni mtii kwa kila mtu! Mtu aina ya Mnyika akifikisha 40 yrs unaweza kumkabidhi nchi na akaiongoza kwa hekima sana!! Hawa wanaoropoka ovyo na majivuno kibao ya kufikisha chama kilipo huku kikiwa hata ikulu hakijanusa! Je wakiingia ikulu? Binafsi nakiri tunao vijana watakaokuja kuivuruga hii nchi kuliko Mafisadi walivyokwisha itafuna!

mkuu unaosema vijana wakaidi ndani ya chama ndio wanamuona mnyika kama mlamba viatu vya wakubwa. Yaani anajikomba.!
 
Mleta thread hii tofauti yake kubwa na hao anaowaponda ni unafki na kujipendekeza,anajifanya Mtetezi wa CCM na Chadema at the sametime,hao unaowaponda wanasifa moja kubwa wanaweza kuonesha misimamo yao hadharani,anashauri usalama wa Taifa iwashughulikie ,sijui sifa ipi inakufaa kati ya ujinga au upumbavu,hivi kati ya kina zitto na wezi wa maliasili zetu wapi wanapaswa kushughulikiwa na TISS,uzuri wa watu wanafki wanajikoroga kwenye thread zao wenyewe,chagua CCM au upinzani usinye pasuka msamba kwa 'nyege' za kisiasa kutumikia mabasha wawili!
 
kwa kusoma tuhuma zake huyu jamaa aneyeitwa Ben na majibu yake nachelea kuamini huyu jamaa ni jasiri sana,mwenye uthubutu na mtetezi kwa kile anachokiamini.labda ndio maana hata chadema wanamhofia kumpa madaraka makubwa...pamoja na tuhuma zake zote kwangu atabaki kuwa shujaa wangu.!!
Hata Luthifa mbinguni alikuwa jasiri wa kutetea malaika waasi na alikuwa na wapambe kama wewe, kutokana na kibri chake cha kutaka ukuu akashushwa na wapambe wake ambayo kwa sasa yanajulikana kama majini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom