Kundi hili la Vijana ni janga la kitaifa:Zitto, Bashe, January, Ben, Kafulila & masalia ya Zitto CDM

Status
Not open for further replies.

wewe ni mjinga na una hulka za kidikteta kama hao vijana.kwani mimi kuwa ccm au chadema kwa pamoja kuna tatizo gani wewe au inakuhusu nini.najua youth patriotic movement anayotaka kusajili ben ni kwa ajili ya kuvunja nguvu UVCCM baada ya kuona bavicha imeshindwa kupambana na uvccm.ni kwa nini asisaidiane na heche kuimarisha bavicha ili ipambane na uvccm? bahati mzuri usalama wa taifa walimshtukia wakamkatalia usajili na hela amabzo alipata kutoka Rwanda patriotic front zimezuiwa standard charterd bank .

Jamani kama hizi accusation ni kweli basi Ben ana mengi ya kutwambia Watanzani.Ben I hope all eyes on you!!!Tutasikia mengi.Mwenye Profile ya primary school ya Ben atushushie uenda tukajua jambo.

Kama dogo yuko kwa anga ya Kagame huu mziki mwingine,uwa nina hisia kuna mambo yanayokwenda kichwani mwa Kagame,na tamaa ya kutawala East Africa na hasa Tanzania kupitia mlango wa chuma,bahati mbaya anajua uwezo wa Tanzania uwa ni mkubwa kumshinda mbali sana,Ila I hope uwa anajaribu kadri anavyoweza.Manake hata mambo ya Congo yameshasemwa sana kuwa wanataka kupata Nchi inaitwa KIVU.

Ben na Mwenzio mnamengi sana sana ya kutwambia Watanzania KITAELEWEKA HIYO NDIO TANZANIA YA BABU YETU MWALIMU JULIUS K NYERERE.

Ukifika wakati mtataja mpaka kuku!!! taratibuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nimepita kote huko with all that ABADILIKE he is too young and well educated,awe mwanasiasa kwa mujibu wa mazingira ya Kitanzania.Otherwise you said all.Alipokuwa anasisitiza kuwa yuko sawa wakati sio maana yake ni sawa kaenda washroom ya kibongo unaomba toilet paper,hakika kwa wahusika utakuwa umeleta matusi,tena kwa waafrika asilia watatema mate chini kumaanisha ufahi kuwa mwanajamii wao, kwanini watafanya yote hayo kwa kuwa umeomba yasiyo sahihi, sehemu isiyo sahihi, kwa watu wasio sahihi na hicho ulichoomba.Hapa mwenye tatizo sio wao waombwa toilet paper bali mwenye tatizo ni muomba toilet kuwa unajua toilet inatumika washroom je jamii unlioenda inatumia toilet paper au kwa mzaingira yake wana aina yao ya matumizi.

Niliwai kwenda na rafiki yangu mwamerika mweusi maeneo ya vijijini kwangu,wanajamii wangu wakawa wanaona ni mweusi mwenzao lakini aongei kiswahili wala lugha yangu,ambazo ni lugha zinatumika na wakijijini. Mmarekani huyo akawa yeye na kimarekani chake,inabidi tena mimi kuwepo wakti wote kutafsiri.Mapokeo ya kwanza ilikuwa shida sana walimuona kama mjivuni inakuwaje mweusi awezi kuongea lugha hizo.

Yani tafsiri inakuwaje yeye ni mweusi asiongee lugha yao wakati yuko Padre mzungu yeye wanaongea nae kiswahili na kilugha.Hawajui kuwa mpaka Padre huyo anafika pale tayari kesha pita kwenye vyuo vya mafunzo wao wanakutana nae tayari kesha kamilika anaongea nao lugha zao moja, lakini sio kiingereza ambayo ni lugha ya Mzungu.Mimi na mmarekani huyu ambae amenitembelea mimi hatukuwa kwenye progrmme ile yeye kanitembelea kama rafiki,Jamii yangu mpaka kuja kulielewa somo langu ilichikua muda sana, wako baadhi tulipunguza makali pale walipomuona anapanda baiskeli na kucheza mpira na wanakijiji,lakini ilipofika wakati wa kuwasiliana ilikuwa kasheshe.

Tungeweza kufanya vizuri sana kama angepelekwa Tarime M brothers akatumia miezi sita pale hakika wasingejua, na tusingepata shida yote yaliyojili wangejifunza ugeni wake kama jambo la kawaida lakini sio kwenye hard way kama hiyo.Vivyo hivyo kwa vijana hawa walioko kwenye siasa za bongo wakati mwingine naona vyama vyao vimekumbatia new brains lakini sidhani kama kuna seminar za kuwafundisha kuhusu siasa za Tanzania,zaidi ya hizi reality wanazokumbana nazo kwenye chaguzi na makongamano ya kisiasa.

This guy is so down to everyone I think, nanimegundua nayeye mwanzo ilibidi areact vile sababu wengi waliokuwa wakicomment walikuwa wanaongelea mabaya yake mpaka wanafikia kuyabadilisha mazuri yake kuwa mabaya (yeyote anayejiona mtakatifu awe wa kwanza kunyanyua jiwe na kumpiga mwivi)

Kwani kuna asiyekosea? Au kufanya kosa ndio ujichukie yaani huwezi fanya masafi mengi baadae? Mleta uzi huu ungeacha zile posti za mwanzo hata mimi ungenikomvince kumchukia huyu Ben but ulipoendelea nimeendelea kujua who you are and what you want. Anyway ninadigrii ya kwanza ya Land Survey, ya pili ya MIB na MBA hivyo siasa sipo kabisa. Ila mpaka hapa umenipa kumpenda Ben na kumtetea kila nitakaposikia akiongelewa na zaidi kulike any post here JF hata kabla sijazisoma na kuelewa kaniingiza chaka na sasa naanza kutafuta FB yake niwe mmoja wa followers wake. Thanks Nuclia1 kwa hili
 
mhh...kumbe extremists mko wengi? utakufa kwa chuki mkuu.dr.slaa alipoambiwa kaiba mke wa mtu hukuona madhara yoyote kwa chama chake?kama hujutii au huangalii matendo ya watu wapenda totoz wakichukua nchi mabinti zetu na wake zetu watapona kweli?
halafu naomba tuheshimiane mimi si kibaraka wa ukoloni.kuna tofauti gani kati ya ukoloni mamboleo unaoletwa na ubepari na chadema ambayo ben ni mwanachama?muulize msimamo wake kuhusu mfumo wa uchumi na chadema inasimamia nini?how can you be a capitalist and at the same time a leftist?

Nuclear1,

Concentrate kwenye majungu yako usingilie kwenye hizi anga nyingine kabisa.Uache kupotosha watu hapa.Usini-lable kama capitalist kabisa na kama unanijua kama unavyotaka kuaminisha watu hapa ungejua nilichosimamia kwenye mdahalo wa wazi uliondaliwa na Allahabad University,Delh Universty wakishirikiana na Jawahlal Nehru University kuhusu mifumo ya uchumi,itikadi za kisiasa na mtikisiko wa uchumi duniani.Hoja hiyo ilishawahi kujadiliwa hapa kwenye thread hii https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/159386-the-way-forward.html na majibu yangu yalikuwa hivi.Acha kupotosha watu,achana na thread za majungu na kuchafua watu ili upate muda wa kujadili thread kama hizo hapo juu

My Ideology is a mix of capitalism,socialism and communism.None of them should be practised to the extreme.
Until recently when the economy of the US,father of capitalism crumbled under extreme patronage of capitalist ideals and the heavy multiplier effects in most economies in western Europe,everyone thought capitalism was the best system.Hata leo US inakaribia kutangazwa Mufilisi kwa sababu GOPs wanashikilia misimamo yao,ikumbukwe hawa Republicans ndiyo conservative kabisa kwenye Ubepari.

However,I would support 45% capitalism coz inspite of everything,people need to know that to reach a certain class,one has to compete.I don't support a classless society,that's my grouch with communism,it leads to laziness which in turn affects both the quantity and quality of production.What belongs everybody belongs to nobody.My grouch with unchecked practice of capitalism is the fact that it leads to corruption,it becoms a dog eat dog affair since everyone wants to make a huge profit at all cost,there has to be some control from the government by way of rules and regulation and also certain aspect of the economy should either be solely government owned or jointly owned with the private sector

This is where I give a 35% support to communism because this prevents total exploitation of the citizenry which is too rife with capitalism.My remaining 30% goes to socialism becoz of its ability to distribute wealth fairly better than the ruthless capitalism and the classless communism.However,socialism also have the attendant problem of communism,lack of competion which leads to reduction in both quality and quantity,the difference is that it's not just at state level like communism.

When it comes to social issue I am more to the right,I believe social change should not be rapid,part of the problem the West is having is as a result of silly views skwed towards the left,issues like legality Same-sex practice,abortion,nudist beaches and other weird social misnormer.

As for funding education,I beliv it is impossible to fund education from primary to tertiary that is not realistic,rather basic education(primary and secondary) should be free or almost free but tertiary can't be free,it should be a combination of student bursaries,scholaships and the likes to deserving students.
Health also should be heavily subsidized but not totally free Because that too is almost impossible.
For system of Government especially as it concerns Tanzania,i strongly believe in a disciplined Federalism tuachane na miko na wilaya. That way there is strong competion to develope without necessarily depending on any region.
 
This guy is so down to everyone I think, nanimegundua nayeye mwanzo ilibidi areact vile sababu wengi waliokuwa wakicomment walikuwa wanaongelea mabaya yake mpaka wanafikia kuyabadilisha mazuri yake kuwa mabaya (yeyote anayejiona mtakatifu awe wa kwanza kunyanyua jiwe na kumpiga mwivi)

Kwani kuna asiyekosea? Au kufanya kosa ndio ujichukie yaani huwezi fanya masafi mengi baadae? Mleta uzi huu ungeacha zile posti za mwanzo hata mimi ungenikomvince kumchukia huyu Ben but ulipoendelea nimeendelea kujua who you are and what you want. Anyway ninadigrii ya kwanza ya Land Survey, ya pili ya MIB na MBA hivyo siasa sipo kabisa. Ila mpaka hapa umenipa kumpenda Ben na kumtetea kila nitakaposikia akiongelewa na zaidi kulike any post here JF hata kabla sijazisoma na kuelewa kaniingiza chaka na sasa naanza kutafuta FB yake niwe mmoja wa followers wake. Thanks Nuclia1 kwa hili

Well said hata mimi nimevutiwa kuwa shabiki yake, maana nimemkubali alivyoupokea ushauri wako yaani kwa ustaarabu na unyenyekevu utafikiri sio yeye aliyekuwa anabishana na vivuli vya fake ID. Nimempenda ghafla na nimewachukia wote waliomshindilia ubaya. Nitamsapoti kwa nguvu zote ingawa simjui wala kumfahamu kama nilivyompokea Heche wakati sikuwahi hata kumsikia ila reaction kwa wabaya wake nikampenda na kumpa moyo. Go Ben usiwape nafasi
 
Wewe dada unabusara sana, I guess you are one of a Million, yaani umeliangalia hili swala in all perspectives na kufanya conclusion ningekuwa Ben ningekulike then nifunge mjadala, ila kama kweli wewe sio Ben mwenyewe au mmoja wa watu wake wakaribu. Ben take a road way forward jamaa keshatafuta watu wakukutea Mungu kaona kazi yako ya kuwatetea wakina Zitto na yeye kakuletea wa kwako. Achana nao hawa tafuta thread zenye mashiko weka mambo hii ipotezee kabisa hawa wanataka wakuvue nguo wakudhalilishe tu
 
Jamani kama hizi accusation ni kweli basi Ben ana mengi ya kutwambia Watanzani.Ben I hope all eyes on you!!!Tutasikia mengi.Mwenye Profile ya primary school ya Ben atushushie uenda tukajua jambo.

Kama dogo yuko kwa anga ya Kagame huu mziki mwingine,uwa nina hisia kuna mambo yanayokwenda kichwani mwa Kagame,na tamaa ya kutawala East Africa na hasa Tanzania kupitia mlango wa chuma,bahati mbaya anajua uwezo wa Tanzania uwa ni mkubwa kumshinda mbali sana,Ila I hope uwa anajaribu kadri anavyoweza.Manake hata mambo ya Congo yameshasemwa sana kuwa wanataka kupata Nchi inaitwa KIVU.

Ben na Mwenzio mnamengi sana sana ya kutwambia Watanzania KITAELEWEKA HIYO NDIO TANZANIA YA BABU YETU MWALIMU JULIUS K NYERERE.

Ukifika wakati mtataja mpaka kuku!!! taratibuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Maisha yake ya primary siyajui,ila nitaendelea kufuatilia nitaleta data za kutosha.ila najua sekondari alisoma maua seminary ikamshinda ndani miezi 2 tu
.alinusurika kufukuzwa na dogo nasikia alihangaika sana kupata shule kwani wazazi wake walikataa kumlipia private kwani walitaka kajamaa kasomee upadre.walitaka aurudi seminary au shule aliyofaulu kwenda sekondari Mzumbe.Mzumbe walimkatalia wakamwambia muda ulishaisha.ilibidi kajama kalisoma shule kama tatu hivi kabla hajamaliza form four.alianza kulipiwa ada baada ya kufaulu vizuri fom four
sasa hivi anakomaa na kesi mbili alizofungua kutaka kuitisha mahakama iachie fedha hizo milioni 105.wanausalama walijaribu kufuiatilia ile account wakakuta ile account ya YPm inatumika na hizo fedha ndiyo zilikuwa zimeingia BoT wakawabinya fasta.Brela walikuwa wamewapa usajili leo na baada ya siku mbili wakaaihirisha haraka hilo zoezi.labda wanaweza kuwashinda mahakamani na ninavyojua kisirani chake ataanza kumtafuta huyo mchawi aliyetoa hizo taarifa kama alivyofanya baada ya kushinda kesi aliyofungua kupinga chuo kumzuia kugombea baada ya kampeni zake na wenzake kutawaliwa na vurugu na wanafunzi 7 kuuwaa na majeruhi kibao.chuo klifungwa kwa muda na yeye akapigwa marufuku kugombea.akaweka pingamizi mahakamani.baada ya kushinda akagombea ingawa kulikuwa na wizi mkubwa wa kura.alianza kuunda kundi la wahuni mtaa wa laahbad(wanaitwa gundas) kuwatarget wajumbe wa kikao kilichomzuia kugombea.baadhi ya maprofesa walijua huyu dogo anahusika lakini sijui walimvumilia tu amalize ama ilikuwaje wakamuacha.ana kisirani kibaya
hawa wanadanganyana sana baadhi ya vijana waliokutana nao nairobi mwaka jana ambao walienda kutimuliwa na anc.mark zindonga aliyetoka zimbabwe hadi leo yupo ndani alipotua tu kutoka nairobi.kuna picha fualni nilbandika huku kutoka kwa jama yangu yuko nairobi wakiwa na hicho kikundi chao cha african patritic movement.

This guy is so down to everyone I think, nanimegundua nayeye mwanzo ilibidi areact vile sababu wengi waliokuwa wakicomment walikuwa wanaongelea mabaya yake mpaka wanafikia kuyabadilisha mazuri yake kuwa mabaya (yeyote anayejiona mtakatifu awe wa kwanza kunyanyua jiwe na kumpiga mwivi)

Kwani kuna asiyekosea? Au kufanya kosa ndio ujichukie yaani huwezi fanya masafi mengi baadae? Mleta uzi huu ungeacha zile posti za mwanzo hata mimi ungenikomvince kumchukia huyu Ben but ulipoendelea nimeendelea kujua who you are and what you want. Anyway ninadigrii ya kwanza ya Land Survey, ya pili ya MIB na MBA hivyo siasa sipo kabisa. Ila mpaka hapa umenipa kumpenda Ben na kumtetea kila nitakaposikia akiongelewa na zaidi kulike any post here JF hata kabla sijazisoma na kuelewa kaniingiza chaka na sasa naanza kutafuta FB yake niwe mmoja wa followers wake. Thanks Nuclia1 kwa hili

kampende kwani inatuhusu nini.nenda na wewe umegwe.wanawake mnapenda vibaya halafu mnadai mnadhalilishwa.hata hao uliosema wamedhalilishwa walikurupuka kama wewe

sina chuki nae kama unavyofikiria.ni muda mrefu sana nimekuwa nikisema jama huyu jama hafai kuendesha siasa za utulivu.Kama ni udhallishaji kwa wanawake anafanya huyo player anayeibia watu madem zao
.wewe wafundishe viongozi wa chama chako waache kudhalilisha wanawake.hata slaa alipoiba mke wa mahimbo nilisema.

si kila mtu ni player kama wewe uliyekurupuka kupenda leo
 
Wewe dada unabusara sana, I guess you are one of a Million, yaani umeliangalia hili swala in all perspectives na kufanya conclusion ningekuwa Ben ningekulike then nifunge mjadala, ila kama kweli wewe sio Ben mwenyewe au mmoja wa watu wake wakaribu. Ben take a road way forward jamaa keshatafuta watu wakukutea Mungu kaona kazi yako ya kuwatetea wakina Zitto na yeye kakuletea wa kwako. Achana nao hawa tafuta thread zenye mashiko weka mambo hii ipotezee kabisa hawa wanataka wakuvue nguo wakudhalilishe tu

who knows kama huyo ni mojawapo wa hawara zake.pengine huyo ni juliat shonza au esther bulaya
na wewe ni nani unadandia hoja tu kwa mbele? acha ushambenga wewe m****e
 
jamaa anawachukia wakenya lakini mademu zao anamega na kunyang'anya.watu wakiwa marais yataokea yale yale ya babu seya na mkulu ambaye mnamsingizia

Maskini dada wa watu kajama kalimchomoa kanisani alikokuwa anaimba kwaya kwa uroho wake tu.huyu anaitwa koii Githae mkikuyu aliyepokelewa fasta alipotua new delh.ben akamchukulia ofisa mmoja wa ubalozi wa nigeria hamadou Ofue(Ogah Ofue)

View attachment 50498View attachment 50499
huyo wa katikati huyo hapo chini
View attachment 50501

sijui mdada unakaaje na lijama libishi kama hili,jeuri linalofananna na ghadafi linaloamini kile lilichosimamia tu .wanawake ni viumbe wa ajabu sana.haka kajama ukikaona kamekaa karibu na demu ,binti au ndugu yako wa kike unaanza kujiuliza litakalofuata baada ya hapo.sasa anaaminika kweli anapopigania maslahi ya vijana wa kike?

Nimepata picha ya mleta mada na tuhuma zote hizi kwa ben ambazo mpaka sasa Ben ajajibu chochote zaidi ya kujieleza.Nini kimepelekea mleta mada kuja na thread ya iana hii.Picha kuu ninayoiona hapa ni Ben yawezekana kwenye blacket Ben kawafanyia maumivu ya UWANAUME [yani kawatafunia wake au mabibi zao] na mabibi hao HAWASIKII KITU KWA BEN.

Na daima the worst fight on boys and mens its all about [Money,Women and Power].Ndio maana wanasias walio wengi yawapasa kuwa makini sana linapokuja swala la wanawake kwa kuwa ndio sehemu ya ovyo ya MAADUI WAKO KUKUMALIZA.

Hivyo style ya kijana Ben kucheza kama Mzee wa 007 [James Bond] hakika ina gharama zake ndio kama hizi,unamega videmu vyao wanaamua kukualibia.Mwanaume ugomvi wake mkubwa ni kumegewa demu /mkewe na mwanaume mwenzie huwa ni maumivu makali sana.Kwa kuwa huo ndio udhaifu wa watoto wa kiume na baba zao,tena mbaya iwe mwanaume anampenda mtoto wa kike ama mkewe.

Kwa picha hii nalazimika au nashawishika kukubali kuwa mwenye thread ana CONFRICT OF INTEREST [COI] ambayo ndio hiyo ya kuchukuliwa kwa girlfriend wake na hivyo kaamua kujibu mapigo kwa kuangalia angle ambayo itamfanya Ben asikie maumivu makali.Hivyo Ben na wadau wako hizo ndio kanuni za mchezo,UKIPENDA KULA VYA WATU UJUE NAWE UTALIWA.

Haitajalisha hayo ni mambo personal hivyo hayapaswi kuja kwenye siasa,ilo Ben sahau kanuni za mchezo ni kuakikisha unaishi kwa mujibu wa macho ya kuupendeza umma na sio hii ya kila sketi unataka iwe yako.Kuna wataalamu walifanya utafiti wakasema mwanaume akiwa mwelevu [Intelligent] ugonjwa wake mkubwa unakuwa huo.Ulipaswa kujua wewe unabeba aina gani ya kariba hivyo ujue udhaifu wako utajidhibiti vipi uweze kufika malengo yako.

Sasa ebu angalia umetaka vyote kwa wakati mmoja,tena kibaya umefanya hadharani,na ndio huyu jamaaa nakuwa na guts za kukushamulia bila huruma kwa kuwa anajua ulitenda, baya ni kuwa watatafuta the Negative side of yours kukumaliza.
Ebu kaa kitako kabla ya tusnami inayokuja!!!!!!!!!!!!!!
 
wacha zako wewe.kwani wewe inakuhusu nini?

Haya,Hussein bashe hadi sasa anaunda genge lake huku akitumia fedha za habari corporation kujijenga nzega huku wafanyakazi wa kampuni ambayo yeye ni mkurugenzi hawana mishahara.ni kijana mwenye uwezo wa kujenga hoja.so far anataka kuunda kundi ndani ya ccm ili kujinufaisha na uchaguzi ndani ya chama.yeye ndiye aliyekabidhiwa jukumu la kuhakikisha waasi wa ANC umoja wa vijana wanabadilishana uzoefu na kundi la akina Malisa

Dr.Kitila Mkumbo

Huyu alikuwa rais wa serikali ya wanafunzi UDSM. ni mjumbe wa kamati kuu chadema lakini ni bingwa wa mikakati.hili kundi litamudhalilisha mbowe uchaguzi ndani ya chama.Ana tuhuma za kuchakachua uchaguzi wa viti maalum akishirikiana na Zitto ambao wamesoma pamoja.hawa ndiyo waliotuhumiwa uchaguzi wa bavicha kuuunda aliiance na walikuwa wanakutana na akina ben saanane hill park na mliman city kupanga mbinu za kusambaratisha ngome ya mbowe kabla ya kundi la akina heche kwenda kuomba msaada kwa akina mbowe na wazee.na kweli nashukuru Mungu wazee walichukua tahadhari na genge hili sijui kama tanzania ingekalika kama hili genge lingeongoza bavicha.wazee walitumia busara kuwanusuru akina heche ambao walikuwa wanaelekea kudhalilishwa pamoja na kuwa na historia ndefu na chadema.

hapa kulikuwa na kila dalili akina ben saanane,kitila na zitto kuendesha baraza la vijana watakavyo na pengine kusababisha machafuko. Pamoja na kwamba ben anajua kujenga hoja tujiulize nguvu kubwa aliyokuja nayo na kupata attention ya media kupita wengine kwenye uchaguzi ule ilitoka wapi?mbona kwenye cv yake hakuweka diploma aliyosoma ya forensic science?alihofia nini?

Zitto Kabwe na akina Kafulila na mtatiro so far wanajulikana walivyo ambitious,waroho wa madaraka na misimamo yao.Tulinusuru taifa hili.Uasi wa kundi hili la vijana dhidi ya wazee ndani ya vyama vyao ni hatari kwa mustakabali wa nchi na huko baadae

binafsi sielewi mtazamo wao dhidi ya slaa,au lowassa lakini najua hili kundi la chadema lina vita kali na mbowe na vijana wake ambao wameshindwa kumtetea mwenyekiti wao.Vijana wa chadema na CCM msikubali kuingizwa katika uasi wa kundi hili

Kweli unaonekana una chuki binafsi....
 
Maisha yake ya primary siyajui,ila nitaendelea kufuatilia nitaleta data za kutosha.ila najua sekondari alisoma maua seminary ikamshinda ndani miezi 2 tu
.alinusurika kufukuzwa na dogo nasikia alihangaika sana kupata shule kwani wazazi wake walikataa kumlipia private kwani walitaka kajamaa kasomee upadre.walitaka aurudi seminary au shule aliyofaulu kwenda sekondari Mzumbe.Mzumbe walimkatalia wakamwambia muda ulishaisha.ilibidi kajama kalisoma shule kama tatu hivi kabla hajamaliza form four.alianza kulipiwa ada baada ya kufaulu vizuri fom four
sasa hivi anakomaa na kesi mbili alizofungua kutaka kuitisha mahakama iachie fedha hizo milioni 105.wanausalama walijaribu kufuiatilia ile account wakakuta ile account ya YPm inatumika na hizo fedha ndiyo zilikuwa zimeingia BoT wakawabinya fasta.Brela walikuwa wamewapa usajili leo na baada ya siku mbili wakaaihirisha haraka hilo zoezi.labda wanaweza kuwashinda mahakamani na ninavyojua kisirani chake ataanza kumtafuta huyo mchawi aliyetoa hizo taarifa kama alivyofanya baada ya kushinda kesi aliyofungua kupinga chuo kumzuia kugombea baada ya kampeni zake na wenzake kutawaliwa na vurugu na wanafunzi 7 kuuwaa na majeruhi kibao.chuo klifungwa kwa muda na yeye akapigwa marufuku kugombea.akaweka pingamizi mahakamani.baada ya kushinda akagombea ingawa kulikuwa na wizi mkubwa wa kura.alianza kuunda kundi la wahuni mtaa wa laahbad(wanaitwa gundas) kuwatarget wajumbe wa kikao kilichomzuia kugombea.baadhi ya maprofesa walijua huyu dogo anahusika lakini sijui walimvumilia tu amalize ama ilikuwaje wakamuacha.ana kisirani kibaya
hawa wanadanganyana sana baadhi ya vijana waliokutana nao nairobi mwaka jana ambao walienda kutimuliwa na anc.mark zindonga aliyetoka zimbabwe hadi leo yupo ndani alipotua tu kutoka nairobi.kuna picha fualni nilbandika huku kutoka kwa jama yangu yuko nairobi wakiwa na hicho kikundi chao cha african patritic movement.

kampende kwani inatuhusu nini.nenda na wewe umegwe.wanawake mnapenda vibaya

sina chuki nae kama unavyofikiria.ni muda mrefu sana nimekuwa nikisema jama huyu jama hafai kuendesha siasa za utulivu.Kama ni udhallishaji kwa wanawake anafanya huyo player anayeibia watu madem zao
.wewe wafundishe viongozi wa chama chako waache kudhalilisha wanawake.hata slaa alipoiba mke wa mahimbo nilisema.

si kila mtu ni player kama wewe uliyekurupuka kupenda leo

Ningekushauri uache chuki ambazo hata shetani atakukana siku ya hukumu, najaribu kukufikiria kama ni mwanaume basi una uwalakini tena wa ukameruni samahani kukuona hivi sababu ni picha unayonipa kupitia maandishi yako ambayo yanasukumwa na ubongo wako. Umeelewa fika Suzie hapo kasema kumpenda kwa maana ipi wewe unakosa maneno unaanza na ngumi na mawe kweli nakuhakikishia hutafanikiwa kwa mwenzio kabisa.
 
Well said hata mimi nimevutiwa kuwa shabiki yake, maana nimemkubali alivyoupokea ushauri wako yaani kwa ustaarabu na unyenyekevu utafikiri sio yeye aliyekuwa anabishana na vivuli vya fake ID. Nimempenda ghafla na nimewachukia wote waliomshindilia ubaya. Nitamsapoti kwa nguvu zote ingawa simjui wala kumfahamu kama nilivyompokea Heche wakati sikuwahi hata kumsikia ila reaction kwa wabaya wake nikampenda na kumpa moyo. Go Ben usiwape nafasi
Josephine na wewe umeanza kupenda dogo dogo?umeachana na mzee?hii tabia yako ya kupenda penda ndiyo iliyokuletea kesi.sasa hivi unakesi ya talaka.usiingilie huu mjadala.kama unatangaza mahaba katangaze kupitia pm.mahaba yenu hadharani hayana maana.una mtoto mchanga bado unapenda penda hovyo na utadai kudhalilishwa?tuachie sredi hii tuucheze mziki

chadema mmempata Zuma au Jk wenu.kwa u-handsome wake ningefurahi kama angekuwa shemeji yangu ningepata wapwa wazuri maanake dada yangu pia ni wa haja.kama mnasema nina hofu nae basi hofu yenye ni kama ikitokea akamuo dada yangu halafu wakaibuka totoz wenye makalio makubwa na waliosheheni kifuani si dada yangu atatelekzwa?hofu akipata madaraka makubwa huko baadae je kodi zetu si zitalipia akina Lewisky?si wengine tutahama nchi jama
 
Nuclear1,

Concentrate kwenye majungu yako usingilie kwenye hizi anga nyingine kabisa.Uache kupotosha watu hapa.Usini-lable kama capitalist kabisa na kama unanijua kama unavyotaka kuaminisha watu hapa ungejua nilichosimamia kwenye mdahalo wa wazi uliondaliwa na Allahabad University,Delh Universty wakishirikiana na Jawahlal Nehru University kuhusu mifumo ya uchumi,itikadi za kisiasa na mtikisiko wa uchumi duniani.Hoja hiyo ilishawahi kujadiliwa hapa kwenye thread hii https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/159386-the-way-forward.html na majibu yangu yalikuwa hivi.Acha kupotosha watu,achana na thread za majungu na kuchafua watu ili upate muda wa kujadili thread kama hizo hapo juu

My Ideology is a mix of capitalism,socialism and communism.None of them should be practised to the extreme.
Until recently when the economy of the US,father of capitalism crumbled under extreme patronage of capitalist ideals and the heavy multiplier effects in most economies in western Europe,everyone thought capitalism was the best system.Hata leo US inakaribia kutangazwa Mufilisi kwa sababu GOPs wanashikilia misimamo yao,ikumbukwe hawa Republicans ndiyo conservative kabisa kwenye Ubepari.

However,I would support 45% capitalism coz inspite of everything,people need to know that to reach a certain class,one has to compete.I don't support a classless society,that's my grouch with communism,it leads to laziness which in turn affects both the quantity and quality of production.What belongs everybody belongs to nobody.My grouch with unchecked practice of capitalism is the fact that it leads to corruption,it becoms a dog eat dog affair since everyone wants to make a huge profit at all cost,there has to be some control from the government by way of rules and regulation and also certain aspect of the economy should either be solely government owned or jointly owned with the private sector

This is where I give a 35% support to communism because this prevents total exploitation of the citizenry which is too rife with capitalism.My remaining 30% goes to socialism becoz of its ability to distribute wealth fairly better than the ruthless capitalism and the classless communism.However,socialism also have the attendant problem of communism,lack of competion which leads to reduction in both quality and quantity,the difference is that it's not just at state level like communism.

When it comes to social issue I am more to the right,I believe social change should not be rapid,part of the problem the West is having is as a result of silly views skwed towards the left,issues like legality Same-sex practice,abortion,nudist beaches and other weird social misnormer.

As for funding education,I beliv it is impossible to fund education from primary to tertiary that is not realistic,rather basic education(primary and secondary) should be free or almost free but tertiary can't be free,it should be a combination of student bursaries,scholaships and the likes to deserving students.
Health also should be heavily subsidized but not totally free Because that too is almost impossible.
For system of Government especially as it concerns Tanzania,i strongly believe in a disciplined Federalism tuachane na miko na wilaya. That way there is strong competion to develope without necessarily depending on any region.

For the good of you usione ufahali kusimamia haya kwa stlyle yako hii ya kila kitu sokoni.Fidel Castrol wakati anafanya mapinduzi ya Cuba miaka hiyo alikuwa na team ya watu 76,baadae miaka imeenda amekuja kuulizwa kama angepata nafasi tena ya kufanya mapinduzi angefanyaje.Akajibu kwa kusema kama alitumia watu 76 wakati ule sasa angeitaji watu 16.
 
Maisha yake ya primary siyajui,ila nitaendelea kufuatilia nitaleta data za kutosha.ila najua sekondari alisoma maua seminary ikamshinda ndani miezi 2 tu
.alinusurika kufukuzwa na dogo nasikia alihangaika sana kupata shule kwani wazazi wake walikataa kumlipia private kwani walitaka kajamaa kasomee upadre.walitaka aurudi seminary au shule aliyofaulu kwenda sekondari Mzumbe.Mzumbe walimkatalia wakamwambia muda ulishaisha.ilibidi kajama kalisoma shule kama tatu hivi kabla hajamaliza form four.alianza kulipiwa ada baada ya kufaulu vizuri fom four
sasa hivi anakomaa na kesi mbili alizofungua kutaka kuitisha mahakama iachie fedha hizo milioni 105.wanausalama walijaribu kufuiatilia ile account wakakuta ile account ya YPm inatumika na hizo fedha ndiyo zilikuwa zimeingia BoT wakawabinya fasta.Brela walikuwa wamewapa usajili leo na baada ya siku mbili wakaaihirisha haraka hilo zoezi.labda wanaweza kuwashinda mahakamani na ninavyojua kisirani chake ataanza kumtafuta huyo mchawi aliyetoa hizo taarifa kama alivyofanya baada ya kushinda kesi aliyofungua kupinga chuo kumzuia kugombea baada ya kampeni zake na wenzake kutawaliwa na vurugu na wanafunzi 7 kuuwaa na majeruhi kibao.chuo klifungwa kwa muda na yeye akapigwa marufuku kugombea.akaweka pingamizi mahakamani.baada ya kushinda akagombea ingawa kulikuwa na wizi mkubwa wa kura.alianza kuunda kundi la wahuni mtaa wa laahbad(wanaitwa gundas) kuwatarget wajumbe wa kikao kilichomzuia kugombea.baadhi ya maprofesa walijua huyu dogo anahusika lakini sijui walimvumilia tu amalize ama ilikuwaje wakamuacha.ana kisirani kibaya
hawa wanadanganyana sana baadhi ya vijana waliokutana nao nairobi mwaka jana ambao walienda kutimuliwa na anc.mark zindonga aliyetoka zimbabwe hadi leo yupo ndani alipotua tu kutoka nairobi.kuna picha fualni nilbandika huku kutoka kwa jama yangu yuko nairobi wakiwa na hicho kikundi chao cha african patritic movement.

kampende kwani inatuhusu nini.nenda na wewe umegwe.wanawake mnapenda vibaya halafu mnadai mnadhalilishwa.hata hao uliosema wamedhalilishwa walikurupuka kama wewe

sina chuki nae kama unavyofikiria.ni muda mrefu sana nimekuwa nikisema jama huyu jama hafai kuendesha siasa za utulivu.Kama ni udhallishaji kwa wanawake anafanya huyo player anayeibia watu madem zao
.wewe wafundishe viongozi wa chama chako waache kudhalilisha wanawake.hata slaa alipoiba mke wa mahimbo nilisema.

si kila mtu ni player kama wewe uliyekurupuka kupenda leo

I can go to bed with him evenif it happens akanidump at the moment amenitumia I will never regreat, because am alwayz loyal to pipo who are well good upstairs like him but not goigoi like you, don't you know that a woman body need to be played in order to feel satsfactions? Oooops sorry siko MMU. To tell you the trueth huna mpya mwanaume tafuta hela acha kutafuta majungu, if you are a real man why busy gossip about other man na wanawake tufanyeje kaka yangu nina wasiwasi na jinsia yako puliiiiz act like a man yaani use your PC or phone looking for money not cheap popularity like this jamani.

I guess you don't need more, nahisi umesoma na umeelimika tatizo je kuelimika kwako kunakusaidia au kumebakia historia na yeye anadigree?

Unalalamika anawamega mademu sasa tutaacha kumfata na wewe ndio unayemsaidia kuadvert how good he is kaka yangu wewe? Muache mwenzio bwana anza kivyako utasapotiwa.
 
Nimepata picha ya mleta mada na tuhuma zote hizi kwa ben ambazo mpaka sasa Ben ajajibu chochote zaidi ya kujieleza.Nini kimepelekea mleta mada kuja na thread ya iana hii.Picha kuu ninayoiona hapa ni Ben yawezekana kwenye blacket Ben kawafanyia maumivu ya UWANAUME [yani kawatafunia wake au mabibi zao] na mabibi hao HAWASIKII KITU KWA BEN.

Na daima the worst fight on boys and mens its all about [Money,Women and Power].Ndio maana wanasias walio wengi yawapasa kuwa makini sana linapokuja swala la wanawake kwa kuwa ndio sehemu ya ovyo ya MAADUI WAKO KUKUMALIZA.

Hivyo style ya kijana Ben kucheza kama Mzee wa 007 [James Bond] hakika ina gharama zake ndio kama hizi,unamega videmu vyao wanaamua kukualibia.Mwanaume ugomvi wake mkubwa ni kumegewa demu /mkewe na mwanaume mwenzie huwa ni maumivu makali sana.Kwa kuwa huo ndio udhaifu wa watoto wa kiume na baba zao,tena mbaya iwe mwanaume anampenda mtoto wa kike ama mkewe.

Kwa picha hii nalazimika au nashawishika kukubali kuwa mwenye thread ana CONFRICT OF INTEREST [COI] ambayo ndio hiyo ya kuchukuliwa kwa girlfriend wake na hivyo kaamua kujibu mapigo kwa kuangalia angle ambayo itamfanya Ben asikie maumivu makali.Hivyo Ben na wadau wako hizo ndio kanuni za mchezo,UKIPENDA KULA VYA WATU UJUE NAWE UTALIWA.

Haitajalisha hayo ni mambo personal hivyo hayapaswi kuja kwenye siasa,ilo Ben sahau kanuni za mchezo ni kuakikisha unaishi kwa mujibu wa macho ya kuupendeza umma na sio hii ya kila sketi unataka iwe yako.Kuna wataalamu walifanya utafiti wakasema mwanaume akiwa mwelevu [Intelligent] ugonjwa wake mkubwa unakuwa huo.Ulipaswa kujua wewe unabeba aina gani ya kariba hivyo ujue udhaifu wako utajidhibiti vipi uweze kufika malengo yako.

Sasa ebu angalia umetaka vyote kwa wakati mmoja,tena kibaya umefanya hadharani,na ndio huyu jamaaa nakuwa na guts za kukushamulia bila huruma kwa kuwa anajua ulitenda, baya ni kuwa watatafuta the Negative side of yours kukumaliza.
Ebu kaa kitako kabla ya tusnami inayokuja!!!!!!!!!!!!!!

mkuu huyu hawezi kunichukulia maana wa kwangu namjua ana misimamo mikali.huko chadema chukue ni tahadhari atawamalizia wa viti maalum. wanasiasa ni wafuska sana.nilishangaa hadi mnyika .ila bora mnyika kuliko haka kajama kalitembea hadi na wana ccm.hata lile faili la upelezi wa kesi yao alimponza dada wa kihindi priyanka manishi kumar wa watu aliyelitoa kwa sababu ya kuingizwa mkenge kimahaba.alikuwa nafanya kazi ofisi ya upelelezi Rohtak,India.watanzania yeyote aliyekuwa delh mwaka 2009 sakata hili linajulikana ingawa polisi walikosa ushahidi ama waliona wataharibu intergrity ya idara yao ya usalama

Ningekushauri uache chuki ambazo hata shetani atakukana siku ya hukumu, najaribu kukufikiria kama ni mwanaume basi una uwalakini tena wa ukameruni samahani kukuona hivi sababu ni picha unayonipa kupitia maandishi yako ambayo yanasukumwa na ubongo wako. Umeelewa fika Suzie hapo kasema kumpenda kwa maana ipi wewe unakosa maneno unaanza na ngumi na mawe kweli nakuhakikishia hutafanikiwa kwa mwenzio kabisa.

peleka usagaji wako huko.si kila mmoja anauza upatu au tende hapa
 
Josephine na wewe umeanza kupenda dogo dogo?umeachana na mzee?hii tabia yako ya kupenda penda ndiyo iliyokuletea kesi.sasa hivi unakesi ya talaka.usiingilie huu mjadala.kama unatangaza mahaba katangaze kupitia pm.mahaba yenu hadharani hayana maana.una mtoto mchanga bado unapenda penda hovyo na utadai kudhalilishwa?tuachie sredi hii tuucheze mziki

chadema mmempata Zuma au Jk wenu.kwa u-handsome wake ningefurahi kama angekuwa shemeji yangu ningepata wapwa wazuri maanake dada yangu pia ni wa haja.kama mnasema nina hofu nae basi hofu yenye ni kama ikitokea akamuo dada yangu halafu wakaibuka totoz wenye makalio makubwa na waliosheheni kifuani si dada yangu atatelekzwa?hofu akipata madaraka makubwa huko baadae je kodi zetu si zitalipia akina Lewisky?si wengine tutahama nchi jama

Aaaaaaaaaaah huyu ni yule mama mke wa Mzee Slaa!! Huku kwenye thread hii kafuata nini kwenye kimbembe hiki cha vijana na mashositito.Huku ni zile style za Bad boys aren't Good but Good boys aren't fun.
 
I can go to bed with him evenif it happens akanidump at the moment amenitumia I will never regreat, because am alwayz loyal to pipo who are well good upstairs like him but not goigoi like you, don't you know that a woman body need to be played in order to feel satsfactions? Oooops sorry siko MMU. To tell you the trueth huna mpya mwanaume tafuta hela acha kutafuta majungu, if you are a real man why busy gossip about other man na wanawake tufanyeje kaka yangu nina wasiwasi na jinsia yako puliiiiz act like a man yaani use your PC or phone looking for money not cheap popularity like this jamani.

I guess you don't need more, nahisi umesoma na umeelimika tatizo je kuelimika kwako kunakusaidia au kumebakia historia na yeye anadigree?

Unalalamika anawamega mademu sasa tutaacha kumfata na wewe ndio unayemsaidia kuadvert how good he is kaka yangu wewe? Muache mwenzio bwana anza kivyako utasapotiwa.

naomba tuheshimiane.huna tofauti na priyanka aliyetoa faili la upelelezi kisa mahaba.mahaba yako yatakufikisha pabaya.atakutumia tu huyo na kukuacha halafu utaanza kulia lia unadhalilishwa.kuna mtu kasema ati ben hajakanusha hizi tuhuma,hawezi kwa kuwa ni kweli.hata kinara wa kundi lake zitto hajawahi kukanusha sakata lake na amina chifupa.watu wamekalia mwigulu nchemba mzinzi na wao hawajioni humo ndani.naomba siku moja kondom zipasuke wapate ukimwi wafie mbali tuepuke genge hili la wazinzi
 
Josephine na wewe umeanza kupenda dogo dogo?umeachana na mzee?hii tabia yako ya kupenda penda ndiyo iliyokuletea kesi.sasa hivi unakesi ya talaka.usiingilie huu mjadala.kama unatangaza mahaba katangaze kupitia pm.mahaba yenu hadharani hayana maana.una mtoto mchanga bado unapenda penda hovyo na utadai kudhalilishwa?tuachie sredi hii tuucheze mziki

chadema mmempata Zuma au Jk wenu.kwa u-handsome wake ningefurahi kama angekuwa shemeji yangu ningepata wapwa wazuri maanake dada yangu pia ni wa haja.kama mnasema nina hofu nae basi hofu yenye ni kama ikitokea akamuo dada yangu halafu wakaibuka totoz wenye makalio makubwa na waliosheheni kifuani si dada yangu atatelekzwa?hofu akipata madaraka makubwa huko baadae je kodi zetu si zitalipia akina Lewisky?si wengine tutahama nchi jama

Yaani hata haujui kaka yangu unataka kusema nini kwenye hii post yako maana tukijaribu kuchangia na mifano inayokamilika unaanza kuleta personal attack kwa hiyo unatuogopesha tusiseme tunachokiona tusapoti ujinga wako tu kisa unataka kumuharibia mwenzio? Don't think every JK is Jakaya Kikwete kuna Nyerere, Jamuhuri Kiwelu kwahiyo siyo kila Josephine ni mama Slaa, even am just a shadow like you, aisee dogo behave mjini hapa papara zitakulostisha na zaidi si kila anayesuka nywele na kutoboa sikio ni mwanamke wengine ni masharobaro tu wewe vipi hujui kama ID JF ni swagga tu.......upo hapo bado
 
mkuu huyu hawezi kunichukulia maana wa kwangu namjua ana misimamo mikali.huko chadema chukue ni tahadhari atawamalizia wa viti maalum. wanasiasa ni wafuska sana.nilishangaa hadi mnyika .ila bora mnyika kuliko haka kajama kalitembea hadi na wana ccm.hata lile faili la upelezi wa kesi yao alimponza dada wa kihindi priyanka manishi kumar wa watu aliyelitoa kwa sababu ya kuingizwa mkenge kimahaba.alikuwa nafanya kazi ofisi ya upelelezi Rohtak,India.watanzania yeyote aliyekuwa delh mwaka 2009 sakata hili linajulikana ingawa polisi walikosa ushahidi ama waliona wataharibu intergrity ya idara yao ya usalama
Ben karibu kwa matukio, kwanini asingekuwa humble na kujifunza kuishi kama mtu mwenye malengo ya juu.Naamini wananume tunawategemea wanawake na wanawake wanatutegemea.Ila maisha ya mwanaume unapojikuta umekuwa na mvuto [striker] basi ni vyema kucheza mpira huo kwa ufundi na umahiri.

Ndio kina dada wanavutika na watu wanaojiamini sana,wenye nafasi ya kuwaonyesha kuwa wakiwa nao basi wako kwenye mikono yenye usalama zaadi.Udhaifu wa mabinti /dada zetu kwa aina ya watu wanaitwa mastriker ni mkubwa sana, mwanamuziki wa kimarekani na single yake Mary B kayasema haya. Lakini muhusika anapaswa kujua vya watu navyo ni sumu,sio vyema kila gauni litakalo kushobekea na kukupatikia lazima ujue ndani yake kuna maua ya rangi gani?Ndio hapo tunapesama welevu wako unachuja mahusiano ya leo yanaweza kuwa na maumivu [Impact] kubwa sana kesho hvyo kujiepusha nayo leo ilikesho uwe salama.Uwezi kuwashinda MAADUI HASA WANAPOJUA UDHAIFU WAKO NI GAUNI.
 
peleka usagaji wako huko.si kila mmoja anauza upatu au tende hapa

Pole unafukuza kivuli chako hujitambui, nashukuru nimefanikiwa kukamata majuha kama wewe this was my good idea never ever. Go back to school acha umbeya kijana waarabu wapo watapropose kama ndio lengo lako dogo. Kumbe Mwigulu ndo amekutuma usijali tushajua maana yule ni mwenyeji wa visiwani na waarabu walikaa kule, nashangaa asimtume mkewe akutume wewe au unamsaidia nyumba kubwa? Anyway stick to the point unataka nini kijana wawatu
 
I can go to bed with him evenif it happens akanidump at the moment amenitumia I will never regreat, because am alwayz loyal to pipo who are well good upstairs like him but not goigoi like you, don't you know that a woman body need to be played in order to feel satsfactions? Oooops sorry siko MMU. To tell you the trueth huna mpya mwanaume tafuta hela acha kutafuta majungu, if you are a real man why busy gossip about other man na wanawake tufanyeje kaka yangu nina wasiwasi na jinsia yako puliiiiz act like a man yaani use your PC or phone looking for money not cheap popularity like this jamani.

I guess you don't need more, nahisi umesoma na umeelimika tatizo je kuelimika kwako kunakusaidia au kumebakia historia na yeye anadigree?

Unalalamika anawamega mademu sasa tutaacha kumfata na wewe ndio unayemsaidia kuadvert how good he is kaka yangu wewe? Muache mwenzio bwana anza kivyako utasapotiwa.
ooooooooooh God umeevumilia mwishowe umefunguka mama "Bad boys aren't good and Good boys aren't fun" ama kweli Mary B akukosea its your nature no wonder.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom